ITALIA: KAMPUNI YA #APPLE YATOZWA FAINI YA TSH. BILIONI 27.8 KWA UPOTOSHAJI
> Mamlaka imesema Kampuni hiyo imetangaza #iPhone mbalimbali zina kinga dhidi ya maji (Water-Resistant) bila kuelezea uwezo huo upo ktk baadhi ya mazingira pekee
Soma - https://jamii.app/AppleFineItaly

#APPLE YAZINDUA PROGRAMU YA DHARURA KUKABILIANA NA HATARI YA USALAMA
Hatua hiyo ni baada ya Watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kufikia vifaa kupitia huduma ya iMessage bila hata watumiaji kubonyeza kiungo (link) au faili
Soma https://jamii.app/AppleSoftware

KAMPUNI YA #APPLE YASHAURI WATEJA KUSASISHA (UPDATE) VIFAA VYAO KWENDA IOS 15.6.1
Imesema kuna udhaifu ktk Mifumo unaoathiri #iPhones zilizoanzia modeli 6S, iPad 5th na baadaye, iPad Air 2 na zilizofuata, iPad mini 4 na kuendelea, iPad Pro zote, iPod 7th
Soma - https://jamii.app/AppleUpdates

👍4
#BRAZIL: Kampuni ya #APPLE imepigwa faini ya Tsh. Bil 46.6 kwa kuuza Simu bila chaja huku Jaji akiuita utaratibu huo 'Matusi ya Biashara' kulazimisha wateja kununua Bidhaa ya ziada
> Sept. 2022 ililipa Tsh. Bil 5.8 kwa suala hilo
Soma https://jamii.app/AppleChaja
#DigitalRights

👍20
ELON MUSK ANADAI APPLE IMETISHIA KUIONDOA TWITTER
Mmiliki huyo wa #Twitter amedai #Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kutishia kuiondoka katika program zake
Apple haijatoa majibu ya madai hayo
Soma https://jamii.app/TwitterApple

👍9
#JFDATA: Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolewa na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishika nafasi ya pili kwenye Soko la Dunia
Kampuni ya #Apple yenye Simu za #iPhone iko nafasi ya 2 kwenye Soko la Afrika huku ikiongoza kwenye Soko la Dunia ikiwa na 30.61% ya Wateja. Kampuni za #China zinazozalisha Simu za #Huawei, #Xiaomi, #Oppo, #Tecno, #Itel, #Infinix na #Vivo nazo zimeendelea kushika Soko la Afrika
Vipi Mdau, unatumia Simu gani hapo?
Soma https://jamii.app/MobileShare
#JamiiForums #DigitalRights #JFDigitali

❤2👍1🤯1
KENYA: Rais #WilliamRuto ameiagiza Wizara ya #TEHAMA na Uchumi wa Dijitali kuandaa Sheria itakayovutia Uwekezaji wenye Ushindani katika Masuala ya Kidijitali huku akieleza kuwa Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yatakayovutia Kampuni za Teknolojia kuwekeza zaidi Nchini humo
Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya #Marekani na #Uingereza ambako amefanya mazungumzo na baadhi ya Kampuni za Kiteknolojia zikiwemo #Starlink, #Apple, #Intel, #Google, na #Microsoft
Kupitia ziara hiyo, Bosi wa Apple, #TimCook aliahidi kuwa kampuni hiyo itaanza maandalizi ya kuwekeza katika Chuo cha Wanasidi Programu (Developers) huku Bosi wa Microsoft, #BradSmith akiielezea #Kenya kuwa kivutio cha Uwekezaji mkubwa wa Kampuni za Kimarekani
Soma https://jamii.app/RutoOnICT
#JamiiForums #DigitalRights #Innovations #Technology #TechWorld #Accountability #Governance

👍8🔥1👏1
Benki ya Dunia (WB) imeitaka Kenya kufanya mabadiliko ya Sheria inayoweka ulazima kwa Kampuni Nchini humo kutunza #TaarifaBinafsi kwenye 'Server' zilizopo ndani ya Nchi ikilenga kurahisisha Uwekezaji wa Huduma za Kidijitali kutoka Mataifa mengine
Kwa mujibu wa WB, Sheria hiyo inaweka vikwazo vya Kibiashara kwa Huduma za Dijitali hasa wakati ambao Kampuni kubwa Duniani ikiwemo #Google, #Meta, #TikTok, #Netflix, #Oracle, #Apple na #Microsoft zikizidi kufungua fursa za Uwekezaji Nchini humo na kuwa chanzo muhimu cha Ajira na Mapato ya Kodi
Soma https://jamii.app/ServerKenya
#JamiiForums #Governance #PersonalDataProtection #DataPrivacy #Accountability

Andrew Karamagi (Uganda), akiwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya AZAKI, ametambulisha dhana inaitwa 'Techno-Feudalism' yaani Ukabaila wa Kiteknolojia
Anasema Duniani kuna Kampuni kubwa Tano (5) za #Teknolojia yaani Alphabet (inamiliki #Google), #Meta (inamiliki Facebook, #Instagram, #WhatsApp), Amazon, #Apple na Microsoft
Kampuni hizi zinamilikiwa na Watu wachache na tunawapa taarifa nyingi mno ikiwemo alama za vidole, sura zetu n.k. Hatujui zinaenda wapi na Kampuni hizi zina pesa sana kiasi kwamba Bajeti ya kununua vifaa vya Ofisi tu vya #Google ni zaidi ya pato la Taifa la Nchi zetu.
Je, nchi zetu zikitaka kutengeneza #Sheria za kusimamia Kampuni hizi zitaweza?
Kila mara unapoenda Mtandaoni kununua kitu unaamini unanunua bidhaa, ila ukweli mchungu ni kuwa wewe ndio bidhaa. #Taarifa zako zinauzwa kwa Kampuni mbalimbali na zina thamani kweli kweli
#JamiiForums #DigitalWorld #TechnoFeudalism #TechGiants #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #Technology

👍2
#AFYA: Machungwa yana kiwango kikubwa cha #Vitamini C ambayo husaidia kuongeza kinga ya Mwili dhidi ya Magonjwa na hupunguza hatari ya kupata Homa ya Baridi
Ndizi Mbivu ni chanzo kizuri cha Nishati kwasababu zina kiwango kikubwa cha Wanga, huku Tufaa (#Apple) husaidia katika utaratibu wa mmeng'enyo wa Chakula na kuhifadhi Nishati
Aidha, Parachichi husaidia kudumisha Afya ya Ngozi na kutoa Nishati ya muda mrefu huku ulaji wa Papai ukiboresha Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula na kusaidia katika kudumisha Afya ya Ngozi
Vipi Mdau, umekula Tunda gani leo kati ya haya?
Soma https://jamii.app/MatundaMsimuWaBaridi
#JamiiForums #JFLishe #PublicHealth #AfyaJamii #LisheBora

👍5❤1
#MAREKANI: Kampuni ya #Apple imekiri kutoa taarifa za itikio la haraka (push notification) kwa siri kwa Serikali mbalimbali ambazo zimekuwa zikifuatilia shughuli za Programu za Watumiaji wa Simu za Apple na #Google na kuwezesha Upelelezi wa Serikali hizo
#PushNotifications ni sehemu ya Programu ya Simu ambayo humjulisha Mtumiaji kuhusu Ujumbe mpya wa Maandishi, Barua Pepe, Maoni kwenye Mitandao ya Kijamii, Habari mpya, na shughuli yoyote ya programu ambayo haijafunguliwa.
Soma https://jamii.app/AppleDataBreach
#DataPrivacy #PersonalDataProtection #JFDigitali #Accountability #JamiiForums #JFSC

👍7❤1
MAREKANI: Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali kesi iliyodai kwamba Kampuni 5 kubwa za Teknolojia (#Apple, #Microsoft, #Tesla, #DellTechnologies na Kampuni Mama ya #Google, #Alphabet) zilikuwa zimehusika kutumikisha Watoto katika kuchimba Kobalti Nchini DR Congo kwa kuwa ndio Wateja wakubwa wa Kolbati (Colbat)
DRC inazalisha 60% ya Kobalti inayosambazwa Duniani, madini muhimu yanayotumika katika utengenezaji wa vifaa vingi vya Elektroniki, ambapo takriban Watoto 25,000 wanatajwa kufanya kazi katika Migodi hiyo
Kesi hiyo ilifunguliwa Mwaka 2019 na Shirika la International Rights Advocates, lililokuwa linawakilisha Watoto walionusurika au kuumia, pia Familia za Watoto waliopoteza Maisha wakati wakifanya kazi katika Migodi hiyo
Soma https://jamii.app/ChildLabourDRC
#JamiiForums #HumanRights #DRC

👍1
MAREKANI: Kampuni ya #Apple imekubali kulipa takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao
Hata hivyo, imeelezwa maamuzi ya mwisho ya Mahakama yatakayotolewa Februari 14, 2025 yanaweza kuitaka Apple ilipe fidia nyingine ya Mabilioni ya Fedha kwa Wateja waliokuwa wakimiliki vifaa vya Apple kati ya Septemba 17, 2014 hadi mwishoni mwa Mwaka 2024
Kila mtumiaji atakayeshtaki anaweza kulipwa hadi Dola 20 (takriban Tsh. 49,300) kwa kila kifaa kinachotumia mfumo wa 'Siri', ingawa kiasi cha malipo kinaweza kutofautiana kulingana na idadi ya madai yaliyowasilishwa. Aidha, Watumiaji wanaostahili kulipwa watawekewa vikwazo vya kudai fidia ya vifaa visivyozidi vitano.
Soma https://jamii.app/SiriFined
#JamiiForums #DataProtection #DataPrivacy #DigitalRights #JFDigitali

👍2👎1