Anna Kulaya (National Coordinator WiLDAF) anasema natamani tuangalie namna ya kuunganisha sauti za Vijana na Wanawake kwasababu makundi yote haya mawili yana Watu wengi
-
Kwa sasa tunayaweka makundi haya tofauti lakini kwa kutumia ubunifu wa Vijana tunaweza kupata suluhu ya changamoto zinazowakabili wanawake kwenye matumizi ya Huduma za kidijitali
-
Ameeleza "Tunapopambania #KatibaMpya, inabidi tujiulize tunataka nini. Kwasababu hata katika Katiba iliyopo masuala ya Haki za Binadamu yametajwa ila tujiulize yanazingatiwa? #Katiba haiwezi kuja kubadili tabia wala mienendo yetu. Katiba Mpya sio suluhisho la kila kitu"
-
Ameongeza Ndani ya Miaka 30, tumefikia asilimia 10 pekee ya uwiano katika Uongozi Nchini kati ya Wanawake na Wanaume. Hii inamaanisha ili kufika 50/50 itatuchukua Miaka 150. Wito wangu ni tutumie #Teknolojia ili kuweza kufikia hili kwa haraka kwani naamini inawezekana
#JamiiForums #GenderEquality #GenderBalance #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI #Governance #JFWomen

π1
Aneth Gerana (FUWAVITA): Tumezungumzia namna wanawake wanavyodhalilishwa Mtandaoni. Lakini Wanawake wenye ulemavu tunadhalilishwa zaidi. Kwanza tunadhalilishwa kutokana na Ulemavu wetu, Pili kutokana na Umasikini na Tatu kutokana na Jinsia yetu
Natamani kujua AZAKI zinazotetea Haki za Wanawake zinachukua hatua gani kutusaidia Wanawake wenye Ulemavu
#JamiiForums #DigitalRights #EndGBV #CSOWeek2023

Richard Mabala: Demokrasia bila Elimu haiwezekani. Ndio maana mwanzoni niliitaja kama moja ya misingi ya Demokrasia
Tumezungumzia masuala ya VPN na kusimamia Haki Zetu za Kikatiba lakini ni watu wangapi wanaelewa haya? Ndio maana tunakuwa na uoga, tunakubali βKuliwa na Chawaβ
Hivyo tutapigania vitu vikubwa kama Mabadiliko ya Katiba lakini bila uelewa wa Mwananchi mmoja mmoja hakuna mabadiliko tutakayofanya
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #Democracy #JFDemokrasia #CSOWeek2023

π3
Akiwa kwenye Wiki ya AZAKI, Joseph Ngwegwe (Mwenyekiti wa Bodi JamiiForums) ametoa wito kwa AZAKI kuacha kuwa βVictimβ na kujifanya kama hawana cha kufanya bali wachukue nafasi ya Uongozi
-
Ngwegwe amesema "Mihimili ya Dola inaiona Teknolojia katika Macho mawili, kama nyenzo ya kuwasaidia lakini pia kama adui. Ni vipi tutawasaidia kuweza kuiona kwa jicho moja kama sisi tunavyoiona?"
-
Ameongeza"Kuna kitu kingine ningependa tukikomeshe, nacho ni Watu wakiwa βWakubwaβ kujiona wao ndio wana Haki na wanaanza kuwagawia wengine. Na sisi tunapaswa tuache kusubiri kupewa Haki. Kila mmoja ana Haki na anapaswa kuisimamia kwa nafasi yake."
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #Accountability #CSOWeek2023

Asha Abinallah (CEO Tech & Media Convergency): Mara zote tunapojadili masuala ya Teknolojia utasikia βTufanye Nini?β
Mimi naamini sisi kama wana-AZAKI tuko katika nafasi ya kutoa suluhu na sio kusubiri kutoka nje. Kama unafanya kazi na vijana, basi fanya mabadiliko kupitia shughuli zako hizo hizo zinazogusa vijana. Mabadiliko yatafanywa na sisi wenyewe
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #Accountability #CSOWeek2023
Mimi naamini sisi kama wana-AZAKI tuko katika nafasi ya kutoa suluhu na sio kusubiri kutoka nje. Kama unafanya kazi na vijana, basi fanya mabadiliko kupitia shughuli zako hizo hizo zinazogusa vijana. Mabadiliko yatafanywa na sisi wenyewe
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #Accountability #CSOWeek2023
π2
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo, amsema awali tulipoanza kufanya Uhakiki wa Taarifa (Fact-Checking) kupitia JamiiCheck tulitumia Akili Mnemba '#ArtificialIntelligence' (AI). Baada ya muda tuliona si mara zote AI inapatia kwasababu inatumia taarifa zilizopo na tunajua upatikanaji wa Taarifa Mtandaoni hapa Nchini unachukua muda
-
Hivyo, tulilazimika kufanya Ushirikiano wa Kimkakati na Taasisi na hata Watu binafsi kuweza kupata ukweli wa taarifa mbalimbali. #JamiiCheck ndio jukwaa pekee Afrika linalofanya Uhakiki wa Taarifa (Fact-Checking) iliyo shirikishi kwa Wananchi
-
Yaani Wananchi ndio wanaweka Taarifa ili zifanyiwe uhakiki na pia wanaweza kushiriki katika mchakato wa kuhakiki kwa kuongezea taarifa au vithibitisho na hata kupingana na kilichowekwa na wenzao
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #JamiiCheck #CSOWeek2023

Dkt. Rose Reuben (TAMWA): Wanawake, Wasichana na Watoto wamekuwa wahanga sana wa Taarifa zisizo za kweli
Mara nyingi wanakutana na Taarifa wasizojua undani wake na kupatwa na shauku ya kuzisambaza
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #JamiiCheck #CSOWeek2023
Mara nyingi wanakutana na Taarifa wasizojua undani wake na kupatwa na shauku ya kuzisambaza
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #JamiiCheck #CSOWeek2023
β€1π1
Nuzulack Dausen (Nukta Africa): Sisi kama Nukta Africa, haturuhusu maudhui yaliyotengenezwa kwa msaada wa Artificial Intelligence (AI) kwenda kwa Mlaji bila kupitiwa na Binadamu, kwasababu kuna suala la muktadha, Teknolojia hii (AI) haitambui muktadha
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #FactChecking #CSOWeek2023

Nuzulack Dausen (Nukta Africa): Kwenye matumizi ya Artificial Intelligence (AI) kuna changamoto ya Faragha (Privacy).
Unaweza ukawa unafanya makala ya uchunguzi ukaenda kuiingiza kwenye βToolβ ya AI bila kujua kwamba hizi tools zinaendeshwa na Wanadamu
AI inaweza kusababisha kuvuja kwa Taarifa kabla ya wakati au hata ambazo hutaki zijulikane kabisa
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #FactChecking #CSOWeek2023
Unaweza ukawa unafanya makala ya uchunguzi ukaenda kuiingiza kwenye βToolβ ya AI bila kujua kwamba hizi tools zinaendeshwa na Wanadamu
AI inaweza kusababisha kuvuja kwa Taarifa kabla ya wakati au hata ambazo hutaki zijulikane kabisa
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #FactChecking #CSOWeek2023
Baruani Mshale (Twaweza): Hatuwezi tukafikia mahali ambapo tutaondoa sintofahamu kwa 100%
Hatuwezi kusubiri katika kuandaa Sera na Sheria za kusimamia Teknolojia mpya wakati maendeleo ya Kiteknolojia hayatusubiri
Tuendelee kutengeneza na kuboresha kadri tunavyoendelea kupata taarifa
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #FactChecking #CSOWeek2023
Hatuwezi kusubiri katika kuandaa Sera na Sheria za kusimamia Teknolojia mpya wakati maendeleo ya Kiteknolojia hayatusubiri
Tuendelee kutengeneza na kuboresha kadri tunavyoendelea kupata taarifa
#JamiiForums #DigitalRights #AccessToInformation #FactChecking #CSOWeek2023
π1
Harold Sungusia (Rais wa TLS) akiwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya AZAKI, anasema Suala la #Ukoloni kuwa umeisha au bado upo ni hadithi isiyo na mwisho. Tunapozungumzia Ukoloni kwenye muktadha wetu ni muhimu kujikumbusha tulipotoka
Ukoloni ni nini? Ukoloni kama tulivyofundishwa Shule ni hali ambayo Taifa moja lenye nguvu linapora uhuru wa Taifa jingine. Tunaweza kusema Ukoloni ni hali ya Mtu mwenye Maarifa au nguvu zaidi ya mwingine kutwaa #Uhuru na #Haki za mwingine/wengine
Tunaposema tunaondoa Ukoloni tunaondoa hali ya kupoteza #Uhuru au #Haki. Lakini kwa vitabu vingi tunavyosoma tunaona kuwa Utawala mmoja unapoondoka unakuja mwingine.
#JamiiForums #Colonisation #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #SocialJustice

π2β€1
Harold Sungusia (Rais TLS): Dola zote Duniani zinaongozwa na kuhodhi taarifa na kuhodhi matumizi ya nguvu. Unapoanza kuhoji vitu hivi ndipo unaingia kwenye misuguano na dola.
Kwa sasa kutokana na maendeleo ya #Teknolojia, dola nyingi zinapoteza 'monopoly' hii ya taarifa ndio maana zinazidi kutunga #Sheria za kubana 'information flow' yaani upashanaji wa taarifa na utafutaji wa taarifa, mfano ni kukataza matumizi ya #VPN
#JamiiForums #WikiYaAZAKI2023 #CSOWeek2023 #DigitalRights #AccessToInformation #Governance

β€2π1
Dkt. Aikande Kwayu (JamiiForums) anasema Linapokuja suala la kuondoa #Ukoloni, 'Decolonization' sio kitu cha kufanyika mara moja. Mchakato huu inatakiwa uwe endelevu
Lengo kuu linatakiwa kuwa kumpa Mtu uwezo wa kujisimamia mwenyewe yaani 'Self-determination'. Hata baada ya #Uhuru bado tuko kwenye aina fulani ya Ukoloni
Asasi za Kiraia (AZAKI) zilianzishwa ili kuwajengea Wananchi uwezo wa kujisimamia na kujitawala, kuweza kujieleza na kushiriki kwenye masuala muhimu yanayowahusu. Kwa kifupi kazi zetu zote lengo lake ni #Decolonization
Tunapaswa kujiuliza sisi kama #AZAKI, katika huu mchakato wa 'Decolonization' hususani ukiangalia ukweli kwamba tunapata Fedha za kazi zetu kutoka Mataifa ya Nje, tunakuwa sehemu ya kukuza au kuondoa Ukoloni?
#JamiiForums #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #Governance

Harold Sungusia(TLS) anasema Kuna 'Cultural genocide' inayotokea ukiwa hujui wewe ni nani. Hapa Utu wako utadhalilishwa tu. Lakini pia, unaweza kufanya 'Cultural suicide'; inayotokana na kuthamini maadili/tamaduni za wengine kuliko zetu wenyewe
Kuna kitu kinaitwa 'Stockholm Syndrome'. Hapa ni pale ambapo Mtekaji na Mtekwaji wanapendana; yaani yule Mtekwaji anajikuta anampenda aliyemteka na hadi kuimba nyimbo zake
Wakati wa Uchaguzi tunashuhudia hili. Kiongozi tangu achaguliwe hajarudi kwa Wananchi lakini wakati wa Uchaguzi unakuta anarudi kwao anawapa khanga nao wanasahau yote yaliyopita
#JamiiForums #WikiYaAZAKI2023 #CSOWeek2023 #Democracy #Governance

π5
Andrew Karamagi (Uganda), akiwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya AZAKI, ametambulisha dhana inaitwa 'Techno-Feudalism' yaani Ukabaila wa Kiteknolojia
Anasema Duniani kuna Kampuni kubwa Tano (5) za #Teknolojia yaani Alphabet (inamiliki #Google), #Meta (inamiliki Facebook, #Instagram, #WhatsApp), Amazon, #Apple na Microsoft
Kampuni hizi zinamilikiwa na Watu wachache na tunawapa taarifa nyingi mno ikiwemo alama za vidole, sura zetu n.k. Hatujui zinaenda wapi na Kampuni hizi zina pesa sana kiasi kwamba Bajeti ya kununua vifaa vya Ofisi tu vya #Google ni zaidi ya pato la Taifa la Nchi zetu.
Je, nchi zetu zikitaka kutengeneza #Sheria za kusimamia Kampuni hizi zitaweza?
Kila mara unapoenda Mtandaoni kununua kitu unaamini unanunua bidhaa, ila ukweli mchungu ni kuwa wewe ndio bidhaa. #Taarifa zako zinauzwa kwa Kampuni mbalimbali na zina thamani kweli kweli
#JamiiForums #DigitalWorld #TechnoFeudalism #TechGiants #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #Technology

Leo Oktoba 27, 2023 ni Siku ya Mwisho ya #WikiYaAZAKI2023 ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo ni Mzungumzaji katika 'session' ya Masterclass: Business and Human Rights in Digital Era, ambayo inafanyika Simba Hall, AICC
Wazungumzaji wengine ni Jovina Mchunguzi na Godfrey Munisa kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG)
Kufuatilia bofya https://jamii.app/BusinessAndHumanRights
#JamiiForums #WikiYaAZAKI2023 #CSOWeek2023 #HumanRights

π3β€1
Godfrey Munisi: Tume ya Haki za Binadamu ni idara huru ya Serikali ambayo imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba. Ni idara huru kwa maana kwamba hailekezwi wala kupangiwa majukumu yake na Serikali
Hii ni Tume ya Muungano. Ina ofisi maeneo mbalimbali Nchini na ina matawi mbalimbali
Inaundwa na Makamishna 7 na Katibu Mtendaji ambao ni wateule wa Rais. Uteuzi wao ni wa wazi ambao unachagiwa na Kamati
Tume ina idara mbalimbali zikiwemo idara ya Sheria na Idara ya Haki
#HumanRights #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #JamiiForums

Godfrey Munisi: Tunapokea malalamiko mbalimbali ya kuhusu Utawala Bora na Haki za Binadamu na kufanya Uchunguzi
Pia, tunafanya tafiti, na sisi ni washauri wakuu wa Rais kuhusu Haki za Binadamu na Utawala Bora. Tunashauri kuhusu Sheria, tuna jukumu la kufungua kesi kunapokuwa na changamoto za Utawala Bora
Hatuko nyuma na masuala ya Teknolojia, tunafanya kazi kwa Mfumo wa Kidijitali unaoitwa 'Haki App' ambapo tunashughulikia malalamiko. Tuna kurasa za 'Social Media' na tunatumia namba *152*00# kupokea malalamiko kwa Simu
Tunafanya kazi kama Mahakama japo sisi si Mahakama, tunatoa 'Summons' n.k. Hata hivyo kuna vitu hatuwezi kufanya kama vile Kumchunguza Rais wa JMT au ZNZ pamoja na Mahusiano ya Kimataifa
#JamiiForums #WikiYaAZAKI2023 #CSOWeek2023 #HumanRights #Democracy

Jovina Muchunguzi: (Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG): Tunafanya Kazi na CSO nyingi katika kusisitiza agenda ya Biashara na Haki za Binadamu
Tanzania ni mdau mkubwa wa Ajira. Katika hilo, Watu wanaajiriwa na kuwekeza katika Miradi mbalimbali. Kupitia Biashara, Watu hupata kipato na Miundombinu inaboreshwa. Hizo ni 'positive impacts' za Biashara
Shughuli za Biashara zina upande hasi ambao ni pamoja na Migogoro ya Ardhi, Uchafuzi wa Mazingira na Usimamizi mbovu hasa kwenye Viwanda. Pia, kuna malalamiko ya Haki za Kazi ikiwemo kukosa Mikataba, kukosa Likizo na Ukatili wa Kingono kazini
#Democracy #HumanRights #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #JamiiForums #SocialSecurity

Maxence Melo: Kwa kusingizia 'Usalama' huwa Haki zinavunjwa kama hivi kuzuia VPN, ukiuliza wanasema hatujazuia lakini mjisajili
CHRAGG mlisema CSO zinabidi zi-confront Kampuni, sio tu Kampuni hata Serikali. Kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki Serikalini, Siku hizi imekuwa kawaida kukuta Matokeo ya Mtu ya Shule yamefungiwa maandazi. Serikali ina taarifa zetu nyingi na inazitoa bila kuwa na mpangilio
Kufuatilia bofya https://jamii.app/BusinessAndHumanRights
#DigitalRights #JamiiForums #WikiYaAZAKI2023 #CSOWeek2023 #HumanRights #Democracy #DataPrivacy #HumanRightsViolation #PersonalDataProtection