JamiiForums
52.7K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Harold Sungusia (Rais wa TLS) akiwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya AZAKI, anasema Suala la #Ukoloni kuwa umeisha au bado upo ni hadithi isiyo na mwisho. Tunapozungumzia Ukoloni kwenye muktadha wetu ni muhimu kujikumbusha tulipotoka

Ukoloni ni nini? Ukoloni kama tulivyofundishwa Shule ni hali ambayo Taifa moja lenye nguvu linapora uhuru wa Taifa jingine. Tunaweza kusema Ukoloni ni hali ya Mtu mwenye Maarifa au nguvu zaidi ya mwingine kutwaa #Uhuru na #Haki za mwingine/wengine

Tunaposema tunaondoa Ukoloni tunaondoa hali ya kupoteza #Uhuru au #Haki. Lakini kwa vitabu vingi tunavyosoma tunaona kuwa Utawala mmoja unapoondoka unakuja mwingine.

#JamiiForums #Colonisation #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #SocialJustice
👍21