Je, Matumizi sahihi ya Digitali yanaweza kuboresha Usimamizi wa Rasilimali za Umma?
#JamiiForums #Accountability #Technology #JFDigitali

Ukuaji wa Sekta ya #Teknolojia umekuja na fursa mbalimbali kwa Jamii, ikiwemo #Ajira, Biashara na Ujasiriamali
Ni muhimu kwa Wananchi kupatiwa Ujuzi wa Kidigitali ili Maendeleo ya Teknolojia yawanufaishe na wajikwamue kiuchumi
#DigitalSkills #Technology #JFDigitali

👍2❤1
Unazingatia vitu gani unaponunua simu? Umeshawahi kuuziwa "simu feki"?
Mjadala zaidi https://jamii.app/TechAdv
#JFDigitali #Technology
Mjadala zaidi https://jamii.app/TechAdv
#JFDigitali #Technology
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema licha ya Mageuzi ya Kidigitali, bado kuna maeneo yanahitaji kufanyiwa kazi zaidi ili kuimarisha Matumizi ya #Teknolojia
Je, unaridhishwa na Huduma zinazotolewa Kidigitali?
#RipotiCAG23 #JFDigitali #DigitalRights #Technology

LEO KATIKA HISTORIA: Aprili 3, 1973 Mhandisi wa Kampuni ya Motorola, Martin Cooper au kwa wengine "Baba wa Simu za Mkononi" alifanya Maongezi ya kwanza ya simu
Simu hiyo iliyotengenezwa kati ya Mwaka 1972-1973 na Timu iliyoongoza na Martin ilikuwa na uzito wa zaidi ya Kilo 1, ilihitaji kuchajiwa kwa zaidi ya saa 10 na ilikuwa na Maisha ya Betri ya takriban dakika 25 za kuzungumza
Zaidi, soma https://jamii.app/Simu

👍9
Bila Mageuzi ya Kidigitali, idadi kubwa ya Wananchi wataendelea kubaki nje ya Mitandao na kukosa fursa mbalimbali ambazo zinapatikana kupitia Teknolojia
Ukiangalia tulipotoka, tulipo na tunapokwenda unadhani #Tanzania itakuwa wapi Kidigitali Miaka 10 ijayo?
#DigitalRights #JFDigitali #Technology

👍3😁1
Taasisi za Serikali kukosa Mikataba na Makubaliano na Watoa Huduma za #TEHAMA kunaweza kusababisha kukatika kwa Huduma
Mipango yako ya siku imewahi kuvurugwa kwasababu ya kukosekana Huduma uliyohitaji Mtandaoni?
Zaidi, soma https://jamii.app/THMRipoti
#RipotiCAG2023 #JFDigitali #JFHuduma #Technology

👍1
MITANDAO NI DARASA TOSHA, INATUMIKA IPASAVYO?
Wadau ndani ya JamiiForums.com wanasema #Teknolojia ni Mwalimu mzuri, na Ujuzi/Mafunzo mengi yapo Mitandaoni. Hata hivyo, watu wengi hawaitumii ipasavyo kujifunza
Ni kitu gani umefanikiwa kujifunza kupitia Mtandao na unakitumia mara kwa mara?
Soma https://jamii.app/AdvMitandao
#JFDigitali #Technology #JFTech

👍6❤1
Ulivyokuwa na Umri wa Miaka 14 ulikuwa wapi?
Soma zaidi https://jamii.app/GeniusWaSpaceX
#JamiiForums #Teknolojia #Technology #DigitalWorld

👍5❤2🫡1
BOT: WANAOTUMIA CRYPTOCURRENCY WAKITAPELIWA MIFUMO YA TANZANIA HAIWEZI KUWASAIDIA
Benki Kuu ya Tanzania imesema Watumiaji wa Huduma za #Cryptocurrency (Sarafu Mtandao) wapo hatarini kupata hasara ikitokea kuna madhara kwenye Fedha wanazowekeza katika Mfumo huo kwa kuwa inaweza kuwa ngumu kwao kuzirejesha
Gavana wa Benki Kuu (BoT), #EmmanuelTutuba, amesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Ripoti ya FinScope Tanzania 2023 akisisitiza wanatoa tahadhari kwa kuwa ni ngumu kubaini upi ni Mfumo wa kitapeli na upi wa kweli
Amesema "BoT tunaendelea kufanya tafiti kwa ajili ya kupata Mifumo itakayosimamia huduma hiyo, takwimu zinaonesha kuna Vijana 1.7% wanaona kuna fursa katika Cryptocurrency na kuwekeza Fedha kitu ambacho ni hatari."
Soma https://jamii.app/Cryptocurrency
#DigitalWorld #Technology #JamiiForums

👍9❤1🏆1
KENYA: Rais #WilliamRuto ameiagiza Wizara ya #TEHAMA na Uchumi wa Dijitali kuandaa Sheria itakayovutia Uwekezaji wenye Ushindani katika Masuala ya Kidijitali huku akieleza kuwa Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yatakayovutia Kampuni za Teknolojia kuwekeza zaidi Nchini humo
Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya #Marekani na #Uingereza ambako amefanya mazungumzo na baadhi ya Kampuni za Kiteknolojia zikiwemo #Starlink, #Apple, #Intel, #Google, na #Microsoft
Kupitia ziara hiyo, Bosi wa Apple, #TimCook aliahidi kuwa kampuni hiyo itaanza maandalizi ya kuwekeza katika Chuo cha Wanasidi Programu (Developers) huku Bosi wa Microsoft, #BradSmith akiielezea #Kenya kuwa kivutio cha Uwekezaji mkubwa wa Kampuni za Kimarekani
Soma https://jamii.app/RutoOnICT
#JamiiForums #DigitalRights #Innovations #Technology #TechWorld #Accountability #Governance

👍8🔥1👏1
Andrew Karamagi (Uganda), akiwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya AZAKI, ametambulisha dhana inaitwa 'Techno-Feudalism' yaani Ukabaila wa Kiteknolojia
Anasema Duniani kuna Kampuni kubwa Tano (5) za #Teknolojia yaani Alphabet (inamiliki #Google), #Meta (inamiliki Facebook, #Instagram, #WhatsApp), Amazon, #Apple na Microsoft
Kampuni hizi zinamilikiwa na Watu wachache na tunawapa taarifa nyingi mno ikiwemo alama za vidole, sura zetu n.k. Hatujui zinaenda wapi na Kampuni hizi zina pesa sana kiasi kwamba Bajeti ya kununua vifaa vya Ofisi tu vya #Google ni zaidi ya pato la Taifa la Nchi zetu.
Je, nchi zetu zikitaka kutengeneza #Sheria za kusimamia Kampuni hizi zitaweza?
Kila mara unapoenda Mtandaoni kununua kitu unaamini unanunua bidhaa, ila ukweli mchungu ni kuwa wewe ndio bidhaa. #Taarifa zako zinauzwa kwa Kampuni mbalimbali na zina thamani kweli kweli
#JamiiForums #DigitalWorld #TechnoFeudalism #TechGiants #CSOWeek2023 #WikiYaAZAKI2023 #Technology

👍2
Kwa mujibu wa Ripoti mpya kutoka Shirika la Fedha Duniani (#IMF), Akili Mnemba (Artificial Intelligence) inatarajiwa kuathiri 40% ya Ajira Duniani kote na kuongeza pengo la Usawa
Karibu 60% ya Ajira zitaathiriwa katika Nchi za Uchumi wa juu. Katika nusu ya hali hii, Wafanyakazi wanaweza kunufaika na Matumizi ya #AI na kuimarisha ufanisi wao
Katika hali nyingine, AI itakuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu ambayo yanafanywa na Binadamu. Hii inaweza kupunguza mahitaji ya Ajira, kuathiri Mishahara, na hata kufukuzwa Kazi
Soma https://jamii.app/AIEffectsJobsIMF
#Employments #Equality #Technology #ArtificialIntelligence #DigitalWorld #JamiiForums

👍3❤1
MAREKANI: Akihojiwa wakati wa kikao cha Bunge la Seneti, Mkurugenzi Mtendaji wa #Meta, #MarkZuckerberg ameomba msamaha kwa Familia zinazodai Watoto wao waliathiriwa au kujidhuru kutokana na maudhui ya Mitandao ya Kijamii
Zuckerberg anayemiliki #WhatsApp #Instagram na #Facebook amesema hayo katika kikao ambacho pia kilihusisha Viongozi wa TikTok, Snapchat, X (Twitter) na Discord ambapo wote kwa pamoja walihojiwa kwa Saa Nne
Pia, Shou Zi Chew kutoka TikTok aliulizwa kama kampuni yake inatoa 'data' za watumiaji wa Marekani katika mtandao wao na kuipa Serikali ya China, alikanusha jambo hilo
Soma https://jamii.app/MitandaoKwaWatoto
#DigitalWorld #DigitalRights #ChildRights #Technology #JFDigitali #JamiiForums

👍4
#TEKNOLOJIA: Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha Azimio la kwanza la Kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI), likiziomba Nchi kulinda #HakiZaBinadamu, kulinda Taarifa binafsi, na kufuatilia kwa karibu Teknolojia hiyo ili kubaini hatari zinazoweza kujitokeza
Azimio hilo linapigania kila Nchi kuimarisha Sera za Faragha kutokana na hofu kwamba #AI inaweza kutumiwa kuvuruga michakato ya Kidemokrasia, kuchochea udanganyifu au kusababisha Watu kupoteza kazi kwa kiasi kikubwa.
Soma https://jamii.app/UNRightsAI
#Accountability #DataPrivacy #DigitalRights #DataProtection #JamiiForums #Technology

👍3
Siku ya Kimataifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu huadhimishwa Septemba 16 kila mwaka ili kuangazia umuhimu wa Sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi (STI) katika nchi zinazoendelea ili kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo Umaskini, Ukosefu wa Usawa na Uendelevu wa Mazingira
Siku hii inasisitiza umuhimu wa 'STI' katika kukuza Maendeleo Endelevu na kuongeza Ubora wa Maisha kwa watu waliopo nchi za Kanda ya Kusini ambapo bado kuna ufikiaji mdogo wa Teknolojia ya hali ya juu na utafiti wa Kisayansi
Soma https://jamii.app/STIDay2024
#JamiiForums #Science #Innovation #Technology #SaveOurPlanet #STIAction #TechWorld

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MOROGORO: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa ameelekeza kuwa ifikapo Mei 12, 2025, Saa 6 Usiku, ujenzi wa Minara ya Mawasiliano Vijijini uwe umekamilika na minara yote 758 iwe imewashwa, ili Wananchi waweze kupata huduma za mawasiliano
Amesema hayo Machi 14, 2025 wakati akikagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara katika Kijiji cha Kidete, Kata ya Chanzuru, Wilayani Kilosa na kueleza Serikali imetenga Tsh. Bilioni 126 kujenga minara 758 ya Mawasiliano Vijijini
Imeelezwa, kupitia Mradi wa Tanzania ya Kidijitali, Minara 304 imeongezwa nguvu na imekamilika kwa 100%. Aidha, katika ujenzi wa minara 758, tayari minara 420 imeshakamilika, ikiwa ni zaidi ya 55% ya mradi huo
Soma https://jamii.app/MinaraKuwashwa
#DigitalWorld #JFMatukio #JamiiForums #Technology #ICT #TEHAMA #SerikaliMtandao

CHINA: Uongozi wa Mji wa Beijing umetoa maelezo kuwa Shule zote za Jiji hilo zinatakiwa kutoa angalau Saa Nane ndani ya Mwaka wa Masomo kwa Wanafunzi kufundishwa kuhusu Akili Mnemba (AI)
Wanafunzi wanatakiwa kufundishwa AI katika somo linalojitegemea au linaweza kuingia katika masomo yaliyopo ya Sayansi na Teknolojia ya Habari
Wanafunzi wenye umri wa Miaka 6 hadi 12 watatakiwa kupata elimu hiyo kisha itaendelea hadi kwa Ngazi za Juu huku kila ngazi ikiwa na levo yake ya kujifunza #AI
Soma https://jamii.app/AIInChina
#JamiiForums #JFDigital #Technology #DigitalWorld

Mdau wa JamiiForums.com ameanzisha Mjadala kuhusu Matumizi ya Akili Mnemba (AI) kwa kuzingatia Maadili (Ethical use of AI) akilalamikia suala la baadhi ya Watu kuitumia AI kudhalilisha wengine, badala ya kujinufaisha kwa kuongeza Maarifa na kipato
Ametoa mfano wa kauli iliyotolewa na mmoja wa Watumiaji wa Mtandao wa X ya kukemea matumizi mabaya ya AI kufuatia matukio ya hivi karibuni
Wewe unaitumia #AI kufanyia nini?
Mjadala https://jamii.app/MatumiziAI
#JamiiForums #JamiiAfrica #AIBenefits #Technology #Cyberbullying