JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
#MAREKANI: Kampuni ya #Apple imekiri kutoa taarifa za itikio la haraka (push notification) kwa siri kwa Serikali mbalimbali ambazo zimekuwa zikifuatilia shughuli za Programu za Watumiaji wa Simu za Apple na #Google na kuwezesha Upelelezi wa Serikali hizo

#PushNotifications ni sehemu ya Programu ya Simu ambayo humjulisha Mtumiaji kuhusu Ujumbe mpya wa Maandishi, Barua Pepe, Maoni kwenye Mitandao ya Kijamii, Habari mpya, na shughuli yoyote ya programu ambayo haijafunguliwa.

Soma https://jamii.app/AppleDataBreach

#DataPrivacy #PersonalDataProtection #JFDigitali #Accountability #JamiiForums #JFSC
👍71