JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
#JFDATA: Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolewa na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishika nafasi ya pili kwenye Soko la Dunia

Kampuni ya #Apple yenye Simu za #iPhone iko nafasi ya 2 kwenye Soko la Afrika huku ikiongoza kwenye Soko la Dunia ikiwa na 30.61% ya Wateja. Kampuni za #China zinazozalisha Simu za #Huawei, #Xiaomi, #Oppo, #Tecno, #Itel, #Infinix na #Vivo nazo zimeendelea kushika Soko la Afrika

Vipi Mdau, unatumia Simu gani hapo?

Soma https://jamii.app/MobileShare

#JamiiForums #DigitalRights #JFDigitali
2👍1🤯1