Mzazi ndani ya JamiiForums.com anaomba Ushauri wa namna ya kuchagua Shule bora ya Msingi kwaajili ya Mtoto wake sababu Matokeo yake ya Kitaaluma sio mazuri kwenye Shule aliyopo
Anasema Mwanaye anasoma kwenye Shule za Serikali na hana Uwezo wa kumpeleka kwenye Shule za Binafsi
Mjadalal https://jamii.app/KuchaguaShuleMtoto
#JamiiForums #HudumaZaKijamii #ElimuNiHaki #ServiceDelivery #JFChitChats #JFStories

π3β€1
Unaposhiriki kutoa maoni yako au kutafuta taarifa, iwe mtandaoni au nje ya Mtandao, unatekeleza Haki yako ya Uhuru wa Kujieleza
Unapokosoa Serikali yako kwa kushindwa kutimiza ahadi zake, unatekeleza Haki yako ya Uhuru wa Kujieleza.
Unapohoji au kujadili Mila, Siasa, Jamii au Tamaduni, unatekeleza Haki yako ya Uhuru wa Kujieleza.
#StayInformed #SautiYetuUhuruWetu #FreedomOfSpeech #DemocracyMatters #HakiZaBinadamu #HumanRights

π1
Msemaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Geofrey Tengeneza ameelezea hoja za Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu changamoto za Uandikishaji wa Vitambulisho iliyopo Wilayani Uyui, ambapo amekiri kuna uchache wa Watumishi lakini Serikali inatambua hilo na inalifanyia kazi
Amesema βTumepata Watumishi wapya ambao wameajiriwa kutoka Tume ya Utumishi, wapo kwenye mafunzo Makao Makuu baada ya hapo watasambazwa katika vituo tofauti ili kuongeza nguvu kwenye vituo.β
Kuhusu hoja ya kuongeza siku za kujiandikisha kwenye Kata wanazopita amesema wamelipokea na watalijadili katika ngazi ya uongozi, wakati huohuo wameelekeza Vituo vifungwe Saa 11 au 12 Jioni badala ya Saa 9:30 Alasiri kama ilivyopangwa awali
Soma https://jamii.app/NIDAUyui
#JFHuduma #ServiceDelivery #JamiiForums #Accountability

DEMOKRASIA: Kila Mtanzania ana haki sawa ya kushiriki katika maamuzi ya nchi yake, bila kujali jinsia.
Wanawake wenye ndoto za kuleta mabadiliko, huu ndio wakati wa kusimama, kugombea na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa 2025.
Tangaza nia, chukua fomu, jinadi. Usiruhusu historia kuendelea kukuweka pembeni, wakati ni sasa
#JamiiForums #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen #WomenInPolitics #Democracy #GenderBalance

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba ametoa wito kwa Wanasiasa Wanawake waliodumu kwenye Ubunge kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi Vijana
Amesema hayo wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 15 ya Taasisi ya ULINGO na Miaka 30 ya Azimio la Beijing, ambapo amesisitiza Wanawake wajitokeze kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa 2025
Soma https://jamii.app/SophiaSimba
Video Credits: Jambo TV
#JFSiasa #JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025 #Uchaguzi2025 #Democracy #UsibakiNyuma #ThubutuGombeaOngoza #JFWomen

π4
MOROGORO: Wateja wa Nyumba za Wageni wamejulishwa kuwa hawatakiwi kuandika taarifa za wanapotoka au wanapoelekea katika Vitabu vya nyumba hizo, kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka Sheria ya Taarifa Binafsi
Mkurugenzi wa Usajili na Uzingatiaji wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa (#PDPC), Stephen Wangwe amesema Watu wanatakiwa kujua Sheria ya #TaarifaBinafsi ili wasiingie matatizoni, kwa kuwa taarifa hizi hazina uhusiano na wao kufika katika nyumba hizo
Aidha, amesema tangu kuanza kutumika kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, mtu anapoona taarifa zake zimetumika bila ridhaa yake anaruhusiwa kulalamika kisha hatua zitachukuliwa dhidi ya wahusika au mhusika
Soma https://jamii.app/PDPCMarch1
#JamiiForums #DataProtection #UlinziWaTaarifaBinafsi #UlinziWaFaragha #DataPrivacy #DigitalRights #TaarifaZakoMaishaYako

π2
MOROGORO: Washereheshaji wenye tabia ya kusambaza picha za Watu kama hawajapata idhini ya wahusika au mhusika wametakiwa kuwa makini kwa kuwa kufanya hivyo wanavunja Sheria
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia akishiriki Warsha kuhusu dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi amesema kuna baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na mtu au Watu na hawataki yasambazwe kwa kuwa kufanya hivyo ni kuingilia faragha ya mtu
Anaseme βUnakuta umeenda kwenye sherehe, wale MC wanakupiga picha mnato au video baadaye unaonekana Mtandaoni ukiwa umejiachia, ni muhimu kupata ridhaa ya Mtu kabla ya kutumia taarifa zake kama jina, picha, namba za simu, makazi, anuani, taarifa za kifedha na afya.β
Soma https://jamii.app/TaarifaBinafsiSheria
#JamiiForums #DataProtection #UlinziWaTaarifaBinafsi #UlinziWaFaragha #DataPrivacy #DigitalRights #TaarifaZakoMaishaYako
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia akishiriki Warsha kuhusu dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi amesema kuna baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na mtu au Watu na hawataki yasambazwe kwa kuwa kufanya hivyo ni kuingilia faragha ya mtu
Anaseme βUnakuta umeenda kwenye sherehe, wale MC wanakupiga picha mnato au video baadaye unaonekana Mtandaoni ukiwa umejiachia, ni muhimu kupata ridhaa ya Mtu kabla ya kutumia taarifa zake kama jina, picha, namba za simu, makazi, anuani, taarifa za kifedha na afya.β
Soma https://jamii.app/TaarifaBinafsiSheria
#JamiiForums #DataProtection #UlinziWaTaarifaBinafsi #UlinziWaFaragha #DataPrivacy #DigitalRights #TaarifaZakoMaishaYako
π3
ARUSHA: Timu ya #Simba imeendelea kupambana kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2024/25 baada ya kuishushia kichapo Coastal Union ya Tanga Magoli 3-0, yote yakiwekwa wavuni na mshambuliaji Steven Mukwala dakika ya 30, 45+2 na 56 kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid
Simba imefikisha alama 54 katika Michezo 21 ikiwa nafasi ya pili, nyuma ya Yanga kwenye msimamo wa ligi hiyo ambayo ina alama 58 katika Mechi 22
Upande wa Coastal ambayo imecheza Michezo 22 imeendelea kubaki nafasi ya Tisa baada ya matokeo hayo ikiwa na pointi 24
Soma https://jamii.app/CoastalSimba
#JFSports #JamiiForums #JFLigiKuu25

MICHEZO: Msimu wa 2024/2025 unaendelea katika Ligi mbalimbali, hizi ni baadhi ya namba zilizotengenezwa na Timu na Wachezaji katika siku za hivi karibuni kwa mujibu wa Tovuti ya Squawka
Soma https://jamii.app/TakwimuUlaya
#JFSports #JFDATA #JamiiForums
Soma https://jamii.app/TakwimuUlaya
#JFSports #JFDATA #JamiiForums
π1
Ripoti ya Freedom House na Article 19 inaonesha wasiwasi miongoni mwa Wananchi juu ya juhudi za Serikali kudhibiti nafasi ya Kidijitali ambapo ilidhihirishwa na amri ndogo ya awali ya kuanzishwa kwa Lango la Mtandao la Kitaifa (National Internet Gateway - NIG)
Japo utekelezaji wa NIG uliopangwa kuanza Februari 16, 2022, ulizuiwa, Wananchi wanahofia kwani NIG ingekusanya Taarifa za Mtandao, kuwa na mamlaka ya kuzima mtandao, kuhifadhi taarifa kwa mwaka mmoja na kuzitoa kwa mamlaka inapohitajika, na Watoa Huduma wa Mawasiliano wasiotii wangepewa adhabu kali.
Soma https://jamii.app/DigitalThreatsIndoPacific
#DigitalThreats #DigitalSecurity #DataPrivacy #DataProtection #IndoPacificRegion #DigitalThreats