JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Unaposhiriki kutoa maoni yako au kutafuta taarifa, iwe mtandaoni au nje ya Mtandao, unatekeleza Haki yako ya Uhuru wa Kujieleza

Unapokosoa Serikali yako kwa kushindwa kutimiza ahadi zake, unatekeleza Haki yako ya Uhuru wa Kujieleza.

Unapohoji au kujadili Mila, Siasa, Jamii au Tamaduni, unatekeleza Haki yako ya Uhuru wa Kujieleza.

#StayInformed #SautiYetuUhuruWetu #FreedomOfSpeech #DemocracyMatters #HakiZaBinadamu #HumanRights
👍1