HAKI ZA KIDIGITALI: Mapema Mwezi Machi 2023, JamiiForums ilifanya kikao na Taasisi ya #CIPESA kutoka Uganda kama mdau wa kuandaa Kongamano la Uhuru wa Mitandao Barani Afrika (#FIFAfrica23) linalotarajiwa kufanyika Nchini Tanzania Septemba 2023
Uamuzi wa kuandaa Kongamano hili linalotarajiwa kuwakutanisha Wadau takriban 1,000 wa Haki za Kidigitali hususan Uhuru wa Mtandaoni, unalenga kutambua mabadiliko ya Nchi katika kuendeleza Mfumo wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu
CIPESA ni Wadau wakubwa wa Haki za Kidigitali Afrika na wamekuwa wakiandaa Kongamano la Uhuru wa Mitandao barani Afrika kila Mwaka tangu 2014
#JamiiForums #DigitalRights #Accountability #JFDigitali #HakiZaKidigitali

❤4
#Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa Miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika (Forum for Internet Freedom in Africa 2023) ulioandaliwa na #CIPESA #Uganda katika Hoteli ya Hyatt Regency, The Kilimanjaro, Jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 27 hadi 29, 2023
Kama Washirika wa CIPESA na Wachechemuzi wa #HakiZaKidijitali, JamiiForums tunatarajia kushiriki kikamilifu kwa kutoa mada kuhusu "Usimamizi wa Taarifa na Viwango vya Faragha Barani Afrika, Fursa na Changamoto Zake Sasa na Baadaye" Alhamisi ya Septemba 28, 2023
#JamiiForums #FIFAfrica2023 #InternetFreedomAfrica #DataProtection #DataPrivacy

👍9👎1👏1🤯1
CIPESA KUZINDUA RIPOTI YA MIAKA 10 YA HALI YA UHURU WA MTANDAO BARANI AFRIKA
Akizungumza katika Ufunguzi wa Mkutano Jukwaa la Uhuru wa Mtandao Afrika (FIFAfrica23) Mkurugenzi Mtendaji wa #CIPESA, Dkt. Wairagala Wakabi amesema Jukwaa hilo lilianzishwa Miaka 10 iliyopita (2013) kwa sababu ilionekana kuna umuhimu wa mtandao na fursa inayoweza kuleta
Amesema, "Leo tunakwenda kuzindua ripoti kuhusu Hali ya Uhuru wa Mtandao Barani Afrika. Ripoti hiyo inazungumzia masuala yanayosababisha ukandamizaji wa Uhuru wa mtandao, na inaonesha kile kilichotokea miaka 10 iliyopita"
Ameongeza "Hitimisho letu ni kwamba mbele yetu bado kuna giza, lakini kuna upande mzuri wa hii. Inaweza kuwa kichocheo cha kuboresha Elimu, Afya na Sekta nyingine"
Fuatilia zaidi hapa https://jamii.app/FIFAfrica23
#JamiiForums #InternetFreedomAfrica #FreedomOfExpression

❤1👍1
JamiiForums kwa kushirikiana na #CIPESA iliendesha mafunzo ya Kuelewa Usalama wa Waandishi wa Habari wa Kike na Watu wenye Ushawishi yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam
Lengo likiwa kuweka wazi changamoto na utatuzi wa unyanyaswaji wa Wanahabari Wanawake Nchini Tanzania ambapo Watalamu wa Digitali walitoa mafunzo huku washiriki wakipata nafasi ya kuchangia mada na kuelezea changamoto mbalimbali wanazokutana nazo
Wahusika walipewa elimu juu ya umuhimu wa kulinda Taarifa zao za Faragha Mitandaoni
Zaidi soma https://jamii.app/FemaleJournalist
#JamiiForums #DigitalRights #JFDigitali #DataPrivacy #DataProtection #InternetFreedomAfrica

👍2👏1
JamiiForums kwa kushirikiana na #CIPESA kupitia Mfuko wa Haki za Kidijitali wa Afrika (The Africa Digital Rights Fund - ADRF) wameendesha mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari, Julai 26, 2024 Jijini Dar es Salaam
Lengo la mafunzo hayo ni sehemu ya kuwajengea uwezo katika majukumu kwa kuweza kutambua taarifa potofu pamoja na athari zake hususan kwenye kipindi cha #Uchaguzi na namna wanavyoweza kutumia ujuzi na nyenzo mbalimbali kuzihakiki
Washiriki walipata fursa ya kujifunza jinsi JamiiForums inavyopambana na taarifa potofu kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ambalo huwashirikisha Wananchi katika mchakato wa kuhakiki maudhui yanayopatikana ndani na nje ya Mtandao
Zaidi soma https://jamii.app/JamiiForumsMafunzoUhakikiTaarifa
#JamiiForums #InformationFactChecking #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck

👍3
JamiiForums kwa kushirikiana na #CIPESA kupitia Mfuko wa Haki za Kidijitali wa Afrika (The Africa Digital Rights Fund - ADRF) wameendesha mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari, Agosti 23, 2024 ambayo yalifanyika Dar es Salaam
Washiriki wamejifunza jinsi #JamiiForums inavyopambana na #TaarifaPotofu kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ambalo huwashirikisha Wananchi katika mchakato wa kuhakiki maudhui yanayopatikana ndani na nje ya Mtandao
Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea Washiriki uwezo katika majukumu yao, kwa kuweza kutambua taarifa potofu pamoja na athari zake, hususan katika kipindi cha Uchaguzi na namna wanavyoweza kutumia Ujuzi na nyenzo mbalimbali kuzihakiki
Zaidi Soma https://jamii.app/UhakikiWaTaarifa
#InformationFactChecking #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck

👍2