Uangalizi wa Uchaguzi ni nyenzo muhimu ya kuboresha Uchaguzi kuwa Huru na wa Haki. Husaidia kujenga imani ya Umma katika michakato ya Uchaguzi, kuzuia Udanganyifu na Ulaghai, au kufichua Matatizo
Waangalizi wanapotoa ripoti chanya, hujenga Imani katika mchakato wa Kidemokrasia na kuongeza uhalali wa Serikali zinazotokana na Uchaguzi.
Soma https://jamii.app/ElectionObservation
#JamiiForums #Governance #Accountability #JFDemokrasia #DemocracyWeek2023 #WikiYaDemokrasia2023

👍3
Ili kuboresha Demokrasia ya Vyama vya Siasa, Kikosi Kazi kimependekeza Maboresho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ili kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa linaloundwa na Vyama vyenyewe, Mamlaka ya kulishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ndani ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya Maadili, yaani vyama vyenyewe vijisimamie
Pia, Kikosi Kazi kimeshauri Msajili wa Vyama vya Siasa aandae Mwongozo wa Uchaguzi wa ndani ya Vyama vya Siasa na kuwe na Masharti kwamba idadi ya Jinsi moja katika Vyombo vya Maamuzi ya Chama cha Siasa isipungue asilimia 40
Aidha, kimevitaka Vyama vya Siasa kuwa na Sera ya Ushirikishwaji wa Watu wenye Ulemavu katika shughuli za Chama husika
Soma https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #JFDemokrasia #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023

👍2👎1
Leo Septemba 11, 2023 ni kumbukumbu ya miaka 22 tangu Kundi la Al-Qaeda lililokuwa chini ya Osama Bin Laden lifanye shambulio kwa kutumia Ndege na kugonga Majengo Pacha ya World Trade Center (WTC) mwaka 2001 na kuua zaidi ya Watu 2,763
Ulikuwa wapi wakati shambulio hili linatokea?
Soma https://jamii.app/Sept11Anniversary
#JamiiForums #September11 #JFMatukio

MAONI YA WADAU KUHUSU MAREJESHO YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai anakatwa mkopo wa chuo ambacho hakuwahi kusoma, Wadau mbalimbali walionufaika na mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wametoa maoni yao juu ya changamoto za malipo walizopitia wakati wa marejesho
Je, unashauri nini kifanyike ili kutatua changamoto zilizopo kwenye Marejesho ya Mikopo hiyo?
Soma https://jamii.app/MkopoChuo
#JFUwajibikaji23 #JFHuduma #JFHakiElimu #KemeaRushwa #JamiiForums

👍1
Pamoja na utaalamu wako wa kuzungumza Lugha fulani kwa Ufasaha, inawezekana kuna Neno au Maneno yanakutatiza kutamka mpaka sasa
Tuambie Mdau, huwa unakwama kutamka Neno gani mara kwa mara?
#JamiiForums #Lugha #JFLugha

Kwa mujibu wa WHO, Katika Nchi za Kipato cha Juu, zaidi ya 80% ya Watoto walio na Saratani hupata Matibabu kamili na kupona, lakini Nchi nyingi za Kipato cha Kati na cha Chini, chini ya 30% ya Watoto ndio hupona
Sababu za viwango vya chini vya kuishi katika Nchi hizo ni pamoja na: kuchelewa kugundulika, kutokuwa na uwezo wa kupata Uchunguzi sahihi, Tiba isiyoweza kufikiwa na kuacha Matibabu
Soma https://jamii.app/CCAM2023
#JamiiForums #CCAM #ChildhoodCancer #CancerAwareness #PublicHealth

👎1
Saratani hutokea kwa Watu wa rika zote na inaweza kuathiri sehemu yoyote ya Mwili. Huanza na mabadiliko ya kijenetiki katika Seli moja, kisha hukua na kuwa Uvimbe (#Tumor), ambao huvamia sehemu nyingine za Mwili
Tofauti na kwa Watu wazima, idadi kubwa ya #Saratani za Utotoni hazina sababu inayojulikana. Tafiti nyingi zimebaini ni Saratani chache kwa Watoto zinazosababishwa na Mazingira au Mtindo wa Maisha
Takwimu za sasa zinaonesha takriban 10% ya Watoto wote walio na Saratani wana uwezekano walizipata kwasababu za Kijenetiki.
Soma https://jamii.app/CCAM2023
#JamiiForums #CCAM #ChildhoodCancer #CancerAwareness #PublicHealth
Tofauti na kwa Watu wazima, idadi kubwa ya #Saratani za Utotoni hazina sababu inayojulikana. Tafiti nyingi zimebaini ni Saratani chache kwa Watoto zinazosababishwa na Mazingira au Mtindo wa Maisha
Takwimu za sasa zinaonesha takriban 10% ya Watoto wote walio na Saratani wana uwezekano walizipata kwasababu za Kijenetiki.
Soma https://jamii.app/CCAM2023
#JamiiForums #CCAM #ChildhoodCancer #CancerAwareness #PublicHealth
👍2❤1
Vifungu vya 39 na 40 vya Sheria ya Kanuni za Adhabu vimeeleza matendo yanayoweza kutambulika kuwa ni makosa ya Uhaini pamoja na adhabu ya matendo hayo. Vifungu hivyo vimeeleza mtuhumiwa anapokutwa na Hatia ya Uhaini adhabu yake ni Kifo
Uhaini ni moja ya makosa makubwa ya Jinai kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni za Adhabu (Penal Code) Kifungu cha 39 (1)
Zaidi Soma https://jamii.app/Uhaini
#JFSheria #Governance #JamiiForums

👏1
#ManchesterUnited inahitaji Winga wa Kulia baada ya #Antony kuwa nje akishughulikia tuhuma zinazomkabili wakati #JadonSancho hatma yake haijulikani baada ya kutofatiana na Kocha wake, Erik ten Hag
El Ghazi (28) ni Mchezaji Huru baada ya kuondoka PSV Eindhoven ya Uholanzi wiki iliyopita kwa makubaliano maalum na klabu hiyo
Aidha, El Ghazi ni Mchezaji wa Zamani wa #Ajax, #AstonVilla na #Everton
Soma https://jamii.app/UsajiliWaUnited
#JFSports #JamiiForums

👍4👏1