JamiiForums
52.6K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
VAN DER SAR AVUJA DAMU KWENYE UBONGO, ALAZWA ICU

Golikipa wa zamani wa #ManchesterUnited, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Walio Chini ya Uangalizi Maalum (ICU) nchini #Croatia

Taarifa iliyotolewa na Klabu ya #Ajax ambapo #VanDerSar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli huyo wa soka anaendelea vizuri

Soma https://jamii.app/VanDerSar_ICU

#JFSports
👍13😢2
#ManchesterUnited inahitaji Winga wa Kulia baada ya #Antony kuwa nje akishughulikia tuhuma zinazomkabili wakati #JadonSancho hatma yake haijulikani baada ya kutofatiana na Kocha wake, Erik ten Hag

El Ghazi (28) ni Mchezaji Huru baada ya kuondoka PSV Eindhoven ya Uholanzi wiki iliyopita kwa makubaliano maalum na klabu hiyo

Aidha, El Ghazi ni Mchezaji wa Zamani wa #Ajax, #AstonVilla na #Everton

Soma https://jamii.app/UsajiliWaUnited

#JFSports #JamiiForums
👍4👏1