Mkurugenzi wa Uchechemuzi (Twaweza), Annastazia Rugaba amechangia mjadala kwa kusema “Uchawa una viwango, kuna viwango vya juu, kati na chini, hata Wanawake wapo Machawa, wanatumiwa kama ngazi ili wanaowatumia wafike wanapopataka”
Ameongeza kwa kusema kuwa “Tumefanya makosa sana kuhubiri Maadili badala ya Uadilifu”
Amesema Maadili ni ile hali ya kuzingatia kanuni za Jamii lakini Uadilifu ni hali ya kuwa na mwenendo kuanzia ndani ya nafsi yako katika kufanya maamuzi sahihi
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance #TukemeeUchawa

Akichangia mjadala Francis Nyonzo (Mdau) amesema kuwa inatakiwa watu wafundishe kuwa na msimamo wa kusimamia kile wanachokiamini, hilo linatakiwa kwenda pamoja na Utawala wa Sheria
Ameongeza kwa kusema Uchawa ni kusifia tu hata kama jambo sio la kusifia, mfano tabia ya Watoto kuwa na utii bila kutoa hoja imekuwa ikitengenezwa na Wazazi na Walezi, kadiri inavyokuwa inamtengeneza Mtoto ambaye hawezi kubishana kwa hoja
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance #TukemeeUchawa
Ameongeza kwa kusema Uchawa ni kusifia tu hata kama jambo sio la kusifia, mfano tabia ya Watoto kuwa na utii bila kutoa hoja imekuwa ikitengenezwa na Wazazi na Walezi, kadiri inavyokuwa inamtengeneza Mtoto ambaye hawezi kubishana kwa hoja
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance #TukemeeUchawa
Akichangia mjadala Singularity(Mdau) amesema “Ikitokea kikundi ambacho kinataka kuishi chenyewe bila kujali maslahi ya watu wengine, hicho kikundi hakifai kwenye Jamii”
Ameongeza kwa kusema “Inapotokea katika Kundi la Watu Milioni moja, kati yao Watu Laki tisa wakiwa wanatoa kilio cha uhitaji maji, wakati huohuo kundi la Watu 100 wao wanasema kila kitu kipo sawa, huo ndio Uchawa ambao hauna faida, hiyo ni kama saratani inatakiwa kuondolewa”
Amesema mtu Mtu anapokusifia kitu ambacho unaona sio kweli, unatakiwa kumzuia, lakini Watu wanapokuwa katika nafasi fulani wanakuwa wanapenda kusifiwa hata kama ni sifa ya Uongo
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance #TukemeeUchawa
Ameongeza kwa kusema “Inapotokea katika Kundi la Watu Milioni moja, kati yao Watu Laki tisa wakiwa wanatoa kilio cha uhitaji maji, wakati huohuo kundi la Watu 100 wao wanasema kila kitu kipo sawa, huo ndio Uchawa ambao hauna faida, hiyo ni kama saratani inatakiwa kuondolewa”
Amesema mtu Mtu anapokusifia kitu ambacho unaona sio kweli, unatakiwa kumzuia, lakini Watu wanapokuwa katika nafasi fulani wanakuwa wanapenda kusifiwa hata kama ni sifa ya Uongo
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance #TukemeeUchawa
Leo ni siku ya mwisho ya kampeni yetu ya "Chagua Kiongozi Sio Pesa" lakini harakati za kupinga #RushwaYaUchaguzi zinaendelea siku zote
Kumbuka, Kila kura unayopiga ni sauti yako ya kudai Uongozi Bora na wenye uadilifu kwa manufaa ya Jamii ya leo na kesho
Usikubali pesa, ahadi za uongo au vitisho vikupokonye haki yako ya Kidemokrasia. Tanzania tunayoitaka kesho inaanza na maamuzi yako leo.
Simama imara, paza sauti kukemea rushwa ya uchaguzi na linda haki yako kwa kupiga kura kwa uhuru
#ChaguaKiongoziSioPesa #KemeaRushwa25 #Accountability #Democracy #ServiceDelivery #Uwajibikaji #Transparency

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (#TAKUKURU) imeagizwa kumhoji aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo katika uchunguzi wao kuhusu upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na Wadau kusaidia Bodaboda kwa kuwa alikuwa muasisi wa ukusanyaji fedha hizo
Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda Februari 27, 2025 wakati wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) alipohoji kuhusu fedha hizo na kueleza alipata malalamiko tangu akiwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi alipofanya ziara #Arusha
Ikumbukwe kwa nyakati tofauti, Gambo ambaye sasa ni Mbunge wa Arusha Mjini ameitupia lawama TAKUKURU kwa kutopata majibu ya walioiba fedha hizo huku akidai taarifa za benki zipo na zinaonesha waliozitoa, tarehe na hadi kiasi kilichotolewa, akiwatuhumu waliokuwa Viongozi wa Umoja wa Madereva Bodaboda Arusha (UBOJA)
Soma https://jamii.app/MakondaGambo
#JamiiForums #Accountability #Governance #KemeaRushwa25

❤1
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience, jumla ya Nchi 7 katika Bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni
Nchi zilizofanyiwa Utafiti ni Cambodia, Fiji, Malaysia, Pakistan, Sri Lanka, Taiwan na Thailand
Baadhi ya matukio yaliyojitokeza ni pamoja na ukusanyaji wa Taarifa Binafsi za Watu Mitandaoni, Gharama kubwa za Kanuni za Usalama wa Mtandao na kupelekea kuminywa kwa Uhuru wa Utumiaji Mtandao
Soma https://jamii.app/DigitalThreatsIndoPacific
#DigitalThreats #DigitalSecurity #DataPrivacy #DataProtection #IndoPacificRegion

👍1
Vipi Mdau, unaamini Karma ni halisi, kwamba utendapo mema au mabaya basi nawe ipo Siku yatakurudia?
Unaweza kushiriki Mjadala huu zaidi kwa kubofya https://jamii.app/KarmaHulipaHaki au tembelea JamiiForums.com
#JamiiForums #Maisha #JFStories #JFChitChats #LifeLessons

DAR: Mdau anadai alipofika kwenye Bucha moja (Mbezi kwa Msuguri), alipotazama mzani ulikuwa unasoma 0.266 kabla hajaanza kuwekewa nyama, akakaa kimya hadi ilipopimwa akafungiwa, ndipo akauliza “Mzani wako vipi mbona umeanzia kusomea mbali?", anasema hakujibiwa, akarudishwa hela yake
Je, Mdau umeshakutana na janja-janja kama hiyo? Nini kifanyike?
Soma https://jamii.app/NyamaVipimo
#JamiiForums #Accountability #PublicHealth

Mdau wa JamiiForums.com ameanzisha mjadala na kudai unatakiwa kuchukulia suala la kutengwa na Watu wa karibu kama vile familia, ndugu na marafiki katika hali ya kawaida
Je, Wewe huwa unatumia mbinu gani unapokutana na hali kama hii?
Soma https://jamii.app/WapotezeeWanaokutenga
#JamiiForums #LifeStyle #LifeTips

👍2
Mwanachama wa JamiiForums.com anasema kama Wanasiasa wangekuwa wanafanya kazi kama ambavyo wanafanya kipindi karibia na Uchaguzi kusingekuwa na malalamiko ya Watu kukosa Huduma za Maji
Anasema tusingekuwa tukipiga Makelele kila Siku kuhusu Madaraja na Barabara mbovu, gharama za Huduma muhimu zingekuwa nafuu na wala kusingekuwa na Utitiri wa Kodi zinazoanzishwa kila siku
Tembelea Mjadala huu https://jamii.app/UtendajiKaziUchaguzi
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025