#UGANDA: Mahakama ya Juu (Supreme Court) imeamuru kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika Mahakama za Kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika Mahakama za kawaida
Uamuzi huo umetolewa na Jopo la Majaji saba ambao wameeleza kuwa hakuna uhakika wa Uhuru wa Mahakama za Kijeshi katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa Majaji wake ni Wanajeshi walioteuliwa na Rais, hivyo zinaweza kuwa na upendeleo
Novemba 2024, Kiongozi wa Upinzani, Dkt. Kizza #Besigye, alishtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya kwa tuhuma za kumiliki Silaha kinyume cha Sheria, ambazo zilidaiwa kuwa ni mali ya Jeshi la Uganda (UPDF)
Soma https://jamii.app/SupremeVsMilitaryUG
#JamiiForums #HumanRights #CivilRights #Democracy

❤1👍1
DAR: Timu ya #Yanga imepata ushindi wa Magoli 4-0 dhidi ya #KageraSugar kwenye Uwanja wa KMC, matokeo ambayo yanaipeleka kileleni katika Ligi Kuu Bara kwa kufikisha pointi 42 huku Kagera ikibaki nafasi ya pili kutoka chini (15) ikiwa na alama 11
‘Waliocheka na nyavu’ katika mchezo huo ni Clement Mzize dakika ya 32, Mudathir Yahya (60), Pacome Zouzoua (77) na Kennedy Musonda (86)
Yanga ambayo imecheza michezo 16 ipo mbele ya Timu ya #Simba ambayo ina pointi 40 katika michezo 15
Soma https://jamii.app/YangaKagera
#JFSports #JamiiForums #JFLigiKuu25

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho hayo yanatakiwa kuendana na mazingira ya Walimu kuboreshwa na kuwa Serikali itapitia maslahi ya Kada ya Walimu
Uzinduzi huo umefanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, leo Februari Mosi, 2025
Soma https://jamii.app/SeraYaElimu2025
#JFMatukio #JamiiForums #ChildRights #Governance

👍1
Mara nyingi tunadhani furaha inatokana na kuwa na kila kitu tunachotamani, lakini ukweli ni kwamba furaha hutokana na kuthamini na kufurahia kile tulicho nacho
Furaha si lazima itokane na vitu vikubwa, inatoka ndani yetu tunapojifunza kushukuru na kufurahia vitu vilivyopo
#JamiiForums #AmkaNaJF #Maisha #LifeStyle #LifeTips #MorningQuote

Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia Huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, Mamlaka hiyo imetoa pole kwa Mdau na kumtaka awasilishe Taarifa zake za Uanachama kwaajili ya kupata msaada kwa haraka
Pia, PSSSF imewakumbusha wanachama wake kuwa tangu Agosti 2024, imehamasisha Matumizi ya Mifumo ya Kidigitali katika Uwasilishaji wa madai na upatikanaji wa Huduma
Soma https://jamii.app/MdauPSSSFDodoma
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #ServiceDelivery #HudumaZaKijamii #JFMdau2025

Mdau wa Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com amehoji kuhusu utunzwaji wa Taarifa Binafsi za Watu kwenye madaftari ya Lodge, Hotelini na Ofisini
Mdau, una maoni gani kuhusu ukusanyaji na utunzani wa Taarifa Binafsi katika madaftari kwenye maeneo kama haya?
Mjadala zaidi https://jamii.app/UtunzajiTaarifaMadaftari
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako #JFMdau2025

SHINYANGA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka kushughulikia uboreshwaji wa Barabara za Wilaya ya Kahama na kuziba mashimo yaliyopo katika barabara hizo, kwani ni kero kwa Watumiaji na zinahatarisha Usalama wa Watu na Vyombo vya usafiri
Soma https://jamii.app/BarabaraKahamaMashimo
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #ServiceDelivery #JFMdau2025

👍2
ENGLAND: Mshambuliaji wa #ManchesterUnited, Marcus Rashford anatarajiwa kukamilisha vipimo vya Afya, leo Februari 2, 2025 kuelekea kukamilisha mchakato wa kusajiliwa na #AstonVilla kwa mkopo
Mchakato ukikamilika, Villa italipa 70% ya Mshahara wake wa sasa wa Pauni 350,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki huku United ikilipa 30% iliyosalia, pia kama mambo yataenda vizuri anaweza kuuzwa moja kwa moja mwishoni mwa msimu huu kwa Pauni Milioni 40 (Tsh. Bilioni 126)
Inaelezwa kuwa tayari Rashford ambaye amefunga magoli 138 akiwa United katika mechi 426, aliwaaga wachezaji wenzake siku moja kabla ya kuruhusiwa kufanya vipimo vya afya
Soma https://jamii.app/RashfordToVilla
#JamiiForums #JFSports #JFEPL25

MICHEZO: Timu ya #Simba imeutafuna mfupa ambao ulimshinda mpinzani wake wa Jadi (Yanga), hiyo ni baada ya kuikandamiza Tabora United magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi katika Ligi Kuu Bara
Magoli mawili kutoka kwa Leonel Ateba na moja la Shomari Kapombe yameiwezesha Simba kufikisha pointi 43, hivyo kurejea katika usukani wa Ligi ikiishusha #Yanga yenye alama 42, timu zote zikiwa zimecheza michezo 16
Tabora United ambayo iliifunga Yanga magoli 3-1 imebaki na alama 25 ikiwa nafasi ya Tano katika michezo 16 pia
Soma https://jamii.app/TaboraSimba

Goli lililofungwa na Martin Ødegaard dakika ya 2 lilikuwa na baraka ya kuifanya #Arsenal kushusha mvua ya Magoli 5-1 dhidi ya #ManchesterCity katika Ligi Kuu ya England "#PremierLeague" kwenye Uwanja wa Emirates
Magoli mengine yamewekwa wavuni na Thomas Partey, Lewis Skelly, Kai Havertz na Ethan Nwari, huku City ikipata goli lake kupitia kwa Erling Haaland. Ikumbukwe mchezo uliopita baina ya timu hizo ulimalizika kwa sare ya 2-2
Arsenal imefikisha pointi 50, nyuma ya #Liverpool inayoongoza Ligi, ikiwa na alama 56 huku City imebaki nafasi ya 4 ikiwa na pointi 41
Soma https://jamii.app/ArsenalWin5
#JamiiForums #JFEPL25 #JFSports

Kusoma kwa undani habari hizi na mengine yaliyojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons

Leo ni fursa nyingine ya kujaribu tena, jifunze, na songa mbele. Usiruhusu muda upite bila kufanya kitu cha maana, na kujijenga kuwa bora zaidi.
Maisha hayangoji, na kila siku ni hatua moja mbele kuelekea Ndoto zako.