#BURUDANI: Baada ya taarifa kusambaa zikimhusisha Msanii wa #BongoFleva, Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' kufunguliwa madai ya Uchochezi, #JamiiForums imezungumza na Wakili wake, #JebraKambole ambaye amethibitisha kuwa Mteja wake alipata wito wa Jeshi la Polisi Kituo cha Kati-Dar kwa tuhuma za uchochezi kupitia baadhi ya mashairi ya wimbo wake wa '#Amkeni'
Kuhusu Madai ya Nay wa Mitego kuzuiwa na #BASATA kufanya matamasha, Jebra amesema hakuna taarifa rasmi kutoka BASATA, japokuwa BASATA walikuwa wakiwasiliana na Maafisa Utamaduni wa Mikoa ambao ndio walimnyima Mteja wake vibali.
Pia, Jebra amesema BASATA imempa Nay wa Mitego wito wa kwenda Ofisini kwao bila Mwanasheria Septemba 8, 2023
Soma https://jamii.app/UchocheziNayWaMitego
#JamiiForums #Entertainment #Democracy #FreedomOfSpeech #FreedomOfExpression

👍8❤2😁1
Anaitwa Amani James Temba au ‘Mheshimiwa Temba’ ni msanii wa #BongoFleva, alitoa ujumbe huo kupitia mashairi aliyoimba katika Wimbo wa 'Umri' alioshirikiana na Wasanii wenzake kutoka Kundi la #TMKWanaumeFamily, Mwaka 2012
-
#JFEntertainment #AmkaNaJF #MorningQuote #Maisha #BeInspired #JamiiForums

❤4👍3
Ujumbe huu wa Msanii wa #BongoFleva, Rajab Abdul Kahali "#Harmonize" unapatikana kwenye Wimbo wa Never Give Up aliouweka YouTube, Mei 24, 2019 akisisitiza kutolipa kisasi, kuwa makini na marafiki na kutokata tamaa kwenye harakati za #Maisha
Video iliongozwa na 'director' Kenny na kurekodiwa katika Mikoa ya Mtwara na Dar es Salaam ambapo imetazamwa zaidi ya mara Milioni 17.7
#JFNukuu #GoodMorning #Entertainment #Quotes #AmkaNaJF #JamiiForums

👍9❤2
Msanii wa #BongoFleva, Sarah Michael Kitinga "Phina" aliimba ujumbe huu kupitia Wimbo wa "Sisi Ni Wale" aliouweka kwenye Chaneli yake ya YouTube, Desemba 29, 2023. Hadi sasa umepata Watazamaji zaidi ya Milioni 10.99
Wimbo ulilenga zaidi kumpa Mtu Moyo wa kuendelea kujituma katika #Maisha hata kama kuna wakati mambo hayaendi vizuri.
Soma https://jamii.app/SisiNiWale
#JFNukuu #JFGoodMorning #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums #JFEntertainment

👍4❤3
BURUDANI: Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu kwa Kampuni ya Home Box Office (#HBO) kuwalipa Tshs. Millioni 700 Wasanii wa #BongoFleva, #SoggyDoggy na #Dataz kwa kutumia wimbo wao wa 'Sikutaki Tena' katika filamu ya "Sometimes in April"
#IdrisElba ni miongoni mwa Wasanii waliocheza Filamu hiyo
Wimbo wa 'Sikutaki Tena' ulitoka Mwaka 2000 chini ya Mtayarishaji Enrico
Soma https://jamii.app/HBOKuwalipaWasaniiBongoFleva
#JamiiForums #JFEntertainment #Social Justice

👍6❤1
Mkongwe wa #BongoFleva, Rashid Ziada maarufu kama #KRMullah, Jibaba au Mzee wa Mapanga Shaa, kupitia mashairi haya anasisitiza umuhimu wa kupambana katika #Maisha na kuitumia vizuri Fedha unayoipata
KR ambaye awali alikuwa Memba wa Kundi la #GWM, ameghani kupitia Wimbo wa 'Umri' alioshirikiana na Wasanii wenzake wa Kundi la #TMKWanaumeFamily Mwaka 2012
#JFEntertainment #AmkaNaJF #MorningQuote #Maisha #BeInspired #JamiiForums
KR ambaye awali alikuwa Memba wa Kundi la #GWM, ameghani kupitia Wimbo wa 'Umri' alioshirikiana na Wasanii wenzake wa Kundi la #TMKWanaumeFamily Mwaka 2012
#JFEntertainment #AmkaNaJF #MorningQuote #Maisha #BeInspired #JamiiForums
❤1👍1
Malkia wa #BongoFleva, Judith Wambura maarufu kama #LadyJayDee, kupitia mashairi haya anasisitiza umuhimu wa Maendeleo ya Wanawake katika Jamii
Wimbo huo wa ‘Mwanamke Imara’ ulitolewa 2023
Mjadala zaidi https://jamii.app/MwanamkeImara
#JFEntertainment #AmkaNaJF #MorningQuote #Maisha #BeInspired #JamiiForums #JFWomen

👍8❤2
BURUDANI: Msanii wa #Bongofleva Rajab Abdul ‘#Harmonize’ atakiwa kuilipa Benki ya #CRDB fidia ya Millioni 10, gharama za kesi na Deni la Mkopo la Tsh. Milioni 103 baada ya kushindwa kulipa kikamilifu Mkopo wa Tsh. Milioni 300 tokea Mwaka 2019
Aidha, CRDB na Harmonize walikubaliana angefungua akaunti ya Kibiashara katika benki hiyo kisha kuweka Tsh. Milioni 100 na kuifanya akaunti hiyo kuwa akaunti yake kuu katika shughuli zake za Kibiashara, lakini alikiuka makubaliano hayo
Benki ya CRDB ilifikia uamuzi wa kwenda Mahakamani baada ya usumbufu wa ulipaji deni kutoka kwa msanii huyo, ambapo Mahakama ilitoa wito mara kadhaa kwa Msanii huyo lakini hakufika Mahakamani
Soma https://jamii.app/HarmonizeKuwalipaCrdb
#JamiiForums #Accountability

👍8❤1👏1
JamiiForums
Photo
📊Leo #JFPlaylist ina nyimbo za baadhi ya Wasanii waliofanya vizuri kupitia #BongoFleva, utabaki na kundi lipi?
Anonymous Poll
71%
A. Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature
21%
B. Alikiba, Matonya & MB Dog
8%
C. Joslin, Noorah & Mr. Blue
Staa wa #BongoFleva, Naseeb Abdul (#DiamondPlatnumz) amesema Mkataba wake wa kufanya kazi na Lebo ya Warner Music Group unamlipa Tsh. Bilioni 13.5, ikiwa ni jibu kwa Mwanachama wa JamiiForums.com aliyetoa hoja na kuuliza “Tanzania tunafeli wapi Wasanii wetu kusainiwa na Lebo za Kimataifa?”
Ikumbukwe, mbali na Diamond, Wasanii wengine waliowahi kufanya kazi na Lebo za Kimataifa ni Vanessa Mdee (Universal Music Group (UMG) na Rose Mhando aliyewahi kusainiwa na Sony Music Africa
Zaidi soma https://jamii.app/DiliYaDiamondNaWarner
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFBurudani #JFEntertainment #JFMdau2025

❤1