JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
BURUDANI: Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu kwa Kampuni ya Home Box Office (#HBO) kuwalipa Tshs. Millioni 700 Wasanii wa #BongoFleva, #SoggyDoggy na #Dataz kwa kutumia wimbo wao wa 'Sikutaki Tena' katika filamu ya "Sometimes in April"

#IdrisElba ni miongoni mwa Wasanii waliocheza Filamu hiyo

Wimbo wa 'Sikutaki Tena' ulitoka Mwaka 2000 chini ya Mtayarishaji Enrico

Soma https://jamii.app/HBOKuwalipaWasaniiBongoFleva

#JamiiForums #JFEntertainment #Social Justice
👍61