PWANI: Mdau wa JamiiForums.com amelalamikia kero ya baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha kuwa na lugha mbaya kwa Wateja, akisema ni jambo la kusikitisha kuona Watumishi wa Umma wakiwajibu Wananchi kwa namna isiyo na staha, tena ndani ya ofisi ya Umma na mbele ya watu wengine
Amesema hali hiyo inakuwa mbaya zaidi inapokuwa inajirudia mara kwa mara, akitoa wito kwa Watumishi wa Umma kuhudumia kwa weledi
Soma https://jamii.app/NHIFKibahaCudtomerCare
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #ServiceDelivery #JFMdau2025 #Governance

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SINGIDA: Wafanyakazi wanaojihusisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP) wamedai malipo ya mshahara yamekuwa yakichelewa na wanapolipwa mwajiri wao, Kampuni ya Nantong Construction Group (T) LTD anawakata makato ya Mfuko wa Jamii (#NSSF) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lakini Fedha hazifiki zinapotakiwa
Wafanyakazi hao 27 wamefika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kuomba msaada na kupokelewa na Afisa Tawala, Omary Ramadhani Kasele ambaye aliwaita #TRA waliowakilishwa na Meneja Msaidizi wa TRA Mkoa, Sadru Adam Kamugisha, na kuahidi kufuatilia suala hilo
Naye, Afisa Mafao Mwandamizi wa NSSF Singida, Mzee Shabani Mwinyi amesema “Kampuni za ujenzi mara nyingi zinalipia Dar, sisi ngazi ya Mkoa kazi yetu ni kuandikisha sio kufuatilia michango, tumehakikisha wote mmepata kadi, Mkoa ambao michango inaingia ndio wenye jukumu la kufuatilia.”
Soma https://jamii.app/ECOPSingida
#JamiiForums #JFMatukio #Governance

👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewaambia Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025
Amesema hayo wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma
Soma https://jamii.app/CCMSamiaFeb5
#Siasa #Democracy #JamiiForums #JFMatukio

AFYA: Shirika la Afya Duniani (WHO) limemteua Dkt. Chikwe Ihekweazu kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika huku likibainisha kuwa mchakato wa kuchagua Mkurugenzi Mpya wa kanda hiyo utafanyika mwezi Mei mwaka huu
Uteuzi huu unafuatia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa WHO Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia Novemba 27, 2024, nchini India, ambako alikuwa akipatiwa matibabu
Ikumbukwe, akizungumza katika hafla ya kuuaga mwili wa Dkt. Ndugulile mnamo Desemba 2, 2024, Rais Samia Suluhu alieleza Tanzania itaendelea kushiriki katika mchakato wa kutafuta mgombea mwingine mwenye sifa zinazostahili kuwakilisha nchi na kushindana katika ngazi ya kimataifa
Soma https://jamii.app/MrithiWaNdugulile
#JamiiForums #Governance #Diplomacy

Unamshauri nini Mdau wetu ambaye hawako vizuri na Mkewe kwa takriban Miezi 7 hata baada ya kujaribu kusuluhisha?
Ungekuwa wewe kwenye nafasi yake ungefanya nini?
Shiriki Mjadala huu uliopo Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi, Urafiki au bofya https://jamii.app/UshauriKwaMdau
#JamiiForums #Maisha #LifeStyle #LifeLessons

Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mtumiaji wa Mtandao wa TTCL, amedai kwa zaidi ya Mwezi sasa, Huduma ya kutuma pesa kutoka mtandao huo (T-Pesa) kwenda Mitandao mingine ya simu haipatikani, hali inayosababisha usumbufu kwa Wateja
Anadai, licha ya juhudi za kufuatilia kupitia Kitengo cha Huduma kwa Wateja kwa kupiga Namba 100, Wateja wameendelea kupokea majibu kwamba maboresho yanaendelea. Amehoji, ni maboresho ya aina gani yanayochukua muda mrefu kiasi hicho?
JamiiForums imewasiliana na Meneja Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi amesema amepokea hoja ya Mdau na watatoa mrejesho kuhusu suala hilo
Soma https://jamii.app/KutumaPesaTTCL
#JamiiForums #ServiceDelivery #JFHuduma #Governance #Uwajibikaji #Accountability

DAR: Yanga imerejea katika usukani wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kishindo baada ya kuifunga Timu ya KenGold kwa Magoli 6-1 kwenye Uwanja wa KMC, hivyo kuongoza msimao wa Ligi kwa kufikisha alama 45
-
Magoli ya #Yanga yamefungwa na Prince Dube dakika ya 1 na 46, Clement Mzize (5 na 42), Pacome Zouzoua (38) na Duke Abuya (85) wakati lile la #KenGoldFC mfungaji ni Selemani Bwenzi (86) aliyefunga kwa kupiga shuti kutoka katikati ya uwanja
-
Yanga imecheza michezo 17 imeishusha Simba yenye alama 43 ikiwa na michezo 16, wakati KenGold imebaki mkiani ikiwa na alama 6 katika michezo 17
-
Soma https://jamii.app/YangaKenGold
#JFSports #JFLigiKuu25 #JamiiForums

Mdau wa Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com ametoa wito kwa Washereheshaji (Ma-MC) kufuata Sheria na kupata ridhaa ya wahusika kabla ya kuchapisha video au picha kwenye akaunti zao za Mitandao ya Kijamii
Mdau, umeshawahi kujikuta kwenye mitandao ya kijamii ukiwa kwenye sherehe bila ridhaa yako na ulichukua hatua gani?
Mjadala zaidi https://jamii.app/FaraghaKwenyeSherehe
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako

❤1
Mwanachama ndani ya Jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes ndani ya JamiiForums.com ameelezea kuhusu kisa chake cha kushindwa kutumia "ATM Machine" siku ya kwanza alivyokwenda kufungua akaunti ya Benki na kudai jambo hilo lilimfanya ajione mshamba na hawezi kulisahau
Mdau ni tukio au jambo gani umewahi kufanya ukajiona mshamba sana?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KituMshambasana
#JamiiForums #LifeStyle #ChitChat #Jokes

❤2