Kuna wakati hatua fulani za Maisha zinaweza kukupa Maumivu kutokana na wanaokuzunguka kukosa Uvumilivu juu yako
Unamshauri nini Mdau, amsamehe Ex wake au aendelee na Maisha?
Mjadala https://jamii.app/DharauGari
#JamiiForums #StoriZaJF #Maisha #JFStories #ChitChat

❤1👍1
Kwenye Maisha kuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila Mtu hutamani kuyafikia Matamanio yake katika muda fulani
Ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo na unaona ulivipata kwa kuchelewa au bado unavitafuta mpaka sasa?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MaishaKuchelewa
#JamiiForums #Maisha #JFStories #ChitChat

👍2
Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?
Mjadala zaidi https://jamii.app/UdhalilishajiShuleUkubwani
#JamiiForums #Maisha #JFStories #ChitChat
Mjadala zaidi https://jamii.app/UdhalilishajiShuleUkubwani
#JamiiForums #Maisha #JFStories #ChitChat
👍1
Mdau anasema bado anajibana sana Kiuchumi ili aweze kujenga na kutunza Familia yake lakini anaona aibu kuwapeleka Watoto kusoma "Shule za Kayumba" kwasababu yeye kwao Wazazi walipambana kuwasomesha Shule za gharama
Unamshauri afanye Maamuzi gani kutatua changamoto anayoipitia kama Baba wa Familia?
Mjadala zaidi https://jamii.app/AibuKayumba
#JamiiForums #LifeLessons #LifeStyle #JFStories #ChitChat

Mdau wa Soka unamtaja Mchezaji gani hapa?
Soma https://jamii.app/UtaniWaSoka
#JFSports #ChitChat #JamiiForums
Soma https://jamii.app/UtaniWaSoka
#JFSports #ChitChat #JamiiForums
👍3
Mdau anasema "Usiombe Biashara ife au Kazi iote mbawa. Naishi Maisha ya kuungaunga Mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, nimekonda na kubaki Kichwa tu."
Je, umewahi kupitia nyakati za kuungaunga Maisha, ulifanyaje kukaa sawa?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MaishaKuungaunga
#JamiiForums #ChitChat #Maisha #LifeLessons

Mdau wa JamiiForums.com anasema "Mchawi" wa Maendeleo ya Wafanyakazi wengi ni wao wenyewe na sio kipato kidogo
Je, unakubaliana naye kwa kiasi gani au amewaonea Wafanyakazi?
Mjadala zaidi tembelea https://jamii.app/UmasikiniWafanyakazi
#Accountability #JamiiForums #Maisha #LifeLessons #ChitChat

Vipi Mdau, umeshawahi kupata Jirani 'Kichomi' mpaka ukatamani usingefahamiana naye?
Mjadala https://jamii.app/JiraniMbaya
#LifeLessons #Maisha #ChitChat #JamiiForums #JFStories

❤1
Haya Mdau, ujuzi wako wa kutumia Kisu na Uma ukoje au tukuache kwanza uendelee na Mikono na Vijiko?😂😂
#JamiiForums #ChitChat #Maisha #LifeLessons #TableManners

Kwenye Maisha tunahitaji Marafiki tunaoweza ku-share nao Maisha kwa kupeana motisha, kusaidiana, kukosoana, kusherehekeana n.k.
Vipi Mdau, unao Marafiki wa kusaidiana nao au upo kwenye Dunia ya 'Sitaki Marafiki'?
Mjadala zaidi https://jamii.app/UnaMarafiki
#JamiiForums #LifeLessons #Maisha #ChitChat

Mdau, huwa unaangalia/uliangalia Vigezo gani ulipotaka kuoa?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KuoaUzuri
#JamiiForums #Maisha #LifeLessons #ChitChat #JFStories

👍4
Ulishawahi kujiona au kuhisi umekosa Kazi fulani kabla hata Kampuni au Taasisi iliyokuita kwenye Usahili (Interview) haijakwambia kwamba umekosa Kazi?
Ulifanya kitu gani au ulikutana na nini?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KukosaKazi
#JamiiForums #JFStories #ChitChat #LifeLessons #Maisha

Haya Mdau, ukiwa unaosha vyombo huwa unafuata mpangilio upi?
Mjadala Zaidi https://jamii.app/MpangilioVYomboOsha
#JamiiForums #ChitChat #Maisha #LifeStyle

Mdau wa JamiiForums.com anasema kutokana na 'Stress' aliwahi kupokea simu, badala ya kusema "haloo" akasema "hodii"😅😅
Vipi Mdau, ni kitu gani ulikifanya ukagundua ulikuwa na Msongo wa Mawazo?
Mjadala zaidi https://jamii.app/TukioStressMaisha
#JamiiForums #ChitChat #LifeStyle

Mdau wa JamiiForums.com anasema Watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao, hadi wanaposikia kuna Mgeni anakuja ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi
Anauliza kwako una utaratibu gani Mdau? Tupe uzoefu wako!
Soma https://jamii.app/UgeniNyumbani
#Maisha #LifeStyle #ChitChat #JamiiForums

Mwanachama ndani ya Jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes ndani ya JamiiForums.com ameelezea kuhusu kisa chake cha kushindwa kutumia "ATM Machine" siku ya kwanza alivyokwenda kufungua akaunti ya Benki na kudai jambo hilo lilimfanya ajione mshamba na hawezi kulisahau
Mdau ni tukio au jambo gani umewahi kufanya ukajiona mshamba sana?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KituMshambasana
#JamiiForums #LifeStyle #ChitChat #Jokes

❤2