#DEMOKRASIA: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC), kimetoa mapendekezo kwa Mamlaka za Serikali na Uchaguzi yanayoshauri kufanyiwa maboresho katika baadhi ya vipengele kwenye Sheria za Uchaguzi
Mapendekezo mengine ni Serikali itoe ruhusa Kisheria kwa Watanzania wanaoishi nje ya Nchi kuweza kupiga Kura kwenye Uchaguzi Mkuu
Pia, Serikali ifanye marekebisho kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa kuweka takwa la Ulazima wa kufanya Midahalo ya Wagombea katika Uchaguzi
Soma https://jamii.app/LHRCMapendekezo
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #Siasa

π3
Paul Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na Watumishi wa Jiji hilo wakati akikabidhiwa ofisi na John Mongella aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM
#JamiiForums #JFQuotes #Nukuu
#JamiiForums #JFQuotes #Nukuu
β€2π2
#MICHEZO: Ameshinda Mataji na Tuzo nyingi ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa, pamoja na mafanikio mengi lakini hajashinda Taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UEFAChampionsLeague)
Je, Mdau umetambua jina la huyu Mchezaji?
Soma https://jamii.app/NiNani
#JFSports #Football #BrainTeaser #JamiiForums

π1
#AFYA: Wataalamu wa Afya wanashauri kuzingatia Unywaji wa Maji ya kutosha ili kulinda Figo na Mwili kwa Ujumla
Je, unakunywa Maji kiasi gani kwa siku?
#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth #AfyaBora2024

DEMOKRASIA: Tume ya Uchaguzi (NEC) itabadilishwa jina ifikapo Aprili 12, 2024 ambapo sasa itaanza kutambulika kama Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi imesema hatua hiyo inafuatia tangazo la Serikali namba 225 la Machi 29, 2024 la Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba 2 ya mwaka 2024, inayoanza kutumika rasmi Aprili 12, 2024
Msemaji Mkuu amesema βHivyo, kuanzia Aprili 12, 2024 jina la Tume litabadilika na litakuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi au kwa kiingereza 'Independent National Electoral Commission',β
Ikumbukwe, Mabadiliko hayo yanakuja baada ya Bunge la #Tanzania kupitisha Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambazo zimesainiwa na kuridhiwa na Rais Samia Suluhu Hassan
Soma https://jamii.app/TumeHuruTZA
#JamiiForums #Governance #JFDemokrasia #Accountability

π3π3β€2π2π₯°1
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa #TaarifaBinafsi Nchini ambapo imetoa muda wa Miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo
Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba 14(1) cha Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Namba 11 ya Mwaka 2022
PDPC imeeleza kuwa Wakusanyaji na Wachakataji wote wanatakiwa kufanya Usajili kupitia Tovuti ya Tume ambayo ni www.pdpc.go.tz
Soma https://jamii.app/PDPCTZA
#JamiiForums #DataProtection #DataPrivacy #PersonalData #Governance

π9
Umewahi kujikuta katika hali ya kujutia matendo uliyowahi kufanya zamani hadi kutamani yafutike na je, unakabiliana vipi na hali hiyo?
Kwa mjadala zaidi tembelea Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi, Urafiki ndani ya JamiiForums.com
Soma https://jamii.app/Hatia
#JamiiForums #JFStories #Maisha

YANGA INAGAWA DOZI TU, YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0
βYanga wapo vizuriβ hiyo inaweza kuwa ni kauli ya mashabiki wengi wa timu hiyo baada ya kushuhudia ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika Raundi ya Nne ya Kombe la FA (CRDB Bank Federation) kwenye Uwanja wa Jamhuri, Mkoani Dodoma
Magoli yamefungwa na Emmanuel Martin aliyejifunga dakika ya 3 pamoja na Clement Mzize dakika ya 66 huku Dodoma wakikosa mkwaju wa penati uliopigwa na Iddi Kipwagile ambapo shuti lake lilipaa juu kipindi cha pili
Soma https://jamii.app/DodomaYanga
#JFSports #JamiiForums

π15π3β€1
Haki na Usawa ni misingi muhimu katika Jamii yenye Heshima
Haki inahusu kila Mtu kutendewa bila kujali tofauti za Kijinsia, Rangi, Dini, au Hali ya Kiuchumi
#JamiiForums #AmkaNaJF #GoodMorning

π6β€1
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo wakati akihutubia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), kupitia Baraza la Idd El Fitri lililofanyika kitaifa mkoani Dar es Salaam Aprili 10, 2024
#JamiiForums #Governance #Accountability #JFQuotes

β€2
#AFYA: Mdau wa JamiiForums.com anasema amepata mashaka kidogo kuhusu Mtindo wa Maisha alionao japo amejitahidi kupunguza matumizi ya Sukari, Soda pamoja na Juisi
Kwa sasa anapambana kupunguza matumizi ya Mafuta (Japo ni ngumu kuepuka) na ameongeza Unywaji wa Maji kwa kiasi kikubwa
Vipi wewe Mdau, unailinda vipi Afya yako dhidi ya Magonjwa yasiyoambukiza au yanayotokana na Umri kusonga mbele?
Mjadala https://jamii.app/MagonjwaUmri
#JamiiForums #AfyaBora2024 #PublicHealth

Vipi Mdau, Jina ulilopewa na Wazazi wako unalikubali au ingewezekana ungebadilisha?
Shiriki Mjadala zaidi https://jamii.app/KubadiliJina
#JamiiForums #Maisha #LifeStyle

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#ARUSHA: Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Kata ya #Themi anadai wakazi wa maeneo hayo na Kata za jirani wamekuwa wakiomba kujengewa Daraja bila mafanikio katika #MtoThemi ili kurahisisha mawasiliano kati yao na Kata nyingine zikiwemo #Lemara na #Sinoni
Mdau huyo wa JamiiForums.com anadai tangu kuharibika kwa Daraja lililokuwepo, mazingira yamekuwa si salama hasa wakati wa mvua, ambapo maji yanakuwa mengi na hivyo Wananchi kupata wakati mgumu kuvuka
Anaomba mamlaka kuwasaidia kujenga Daraja akidai baadhi ya Vijana wanaoweka Daraja la muda wanawatoza Wananchi Tsh. 200 kuvuka
Soma https://jamii.app/ThemiArusha
#JFHuduma #JFUwajibikaji #Governance #JamiiForums

π5β€1
Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums.com wamehoji kwanini Vyama vya Wafanyakazi viko kimya kipindi ambacho Wanachama wake wanateseka na Kikokotoo cha Mafao?
Mjadala zaidi https://jamii.app/ShairiKikokotoo
#JamiiForums #Governance #RetirementBenefits

π5