Mamilioni ya Watu hufikia hatua ya kutaka kujiua kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Huzuni inayoweza kupelekea Upweke na Sonona (#Depression)
Uamuzi wa kujitoa uhai unaweza kusababishwa na Maamuzi ya haraka wakati wa Changamoto na kupoteza uwezo wa kushughulikia mafadhaiko ya Kimaisha
Kukumbana na Migogoro, Majanga, Vurugu, Unyanyasaji, au Kupoteza Kitu/Mtu na Hisia za kutengwa kunahusishwa kwa kiasi kikubwa na tabia za Kujiua.
Soma https://jamii.app/SuicidePrevention
#SuicidePreventionAwareness #MentalHealthMatters #JFAfyaAkili #JamiiForums

π2
Wanasaikolojia na Wanasosholojia wanasema kuna mambo ambayo ukiyaona kwa Mtu huenda ikawa ni dalili ya Mtu kutaka kujiua;
Dalili kuu za kumgundua Mtu anayetaka kujiua ni: (1) Kujitenga sana na Watu, hupenda sana kukaa peke yake japo sio wote wanaopenda kujitenga wana hatari ya kufikia Kujitoa Uhai
(2) Kiashiria kingine ni Mtu kulizungumzia sana suala la kujiua, mfano Mtu hutumia Maneno kama βnatamani kujiua, au Mkiskia nimekufa msishangaeβ
(3) Matumizi ya Dawa za Kulevya na kunywa Pombe kupita kiasi. Hivi ni vitu ambavyo baadhi ya Watu hutumia kama mbinu ya kupunguza Mawazo au Hasira
Soma https://jamii.app/SuicidePrevention
#SuicidePreventionAwareness #MentalHealthMatters #JFAfyaAkili #JamiiForums
Dalili kuu za kumgundua Mtu anayetaka kujiua ni: (1) Kujitenga sana na Watu, hupenda sana kukaa peke yake japo sio wote wanaopenda kujitenga wana hatari ya kufikia Kujitoa Uhai
(2) Kiashiria kingine ni Mtu kulizungumzia sana suala la kujiua, mfano Mtu hutumia Maneno kama βnatamani kujiua, au Mkiskia nimekufa msishangaeβ
(3) Matumizi ya Dawa za Kulevya na kunywa Pombe kupita kiasi. Hivi ni vitu ambavyo baadhi ya Watu hutumia kama mbinu ya kupunguza Mawazo au Hasira
Soma https://jamii.app/SuicidePrevention
#SuicidePreventionAwareness #MentalHealthMatters #JFAfyaAkili #JamiiForums
π2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anafungua Mkutano Maalum wa Siku 3 wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa #Demokrasia Nchini jijini Dsm
Mkutano huu ni kwa ajili ya Kutathmini utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi kazi na Hali ya Siasa Nchini
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #DemocracyWeek2023 #WikiYaDemokrasia #Governance #JFDemokrasia #Democracy

π4
Akiongea katika Mkutano Maalum wa Siku 3 wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Nchini, Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia (TCD), Prof. Ibrahim Lipumba amesema miongoni mwa Maazimio ya Kikao cha Wadau waliojadili hali ya Demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kufanyika kwa Mabadiliko Madogo ya vifungu vya Katiba ili kuwezesha Uchaguzi Huru na wa Haki 2024/2025 kwa kuwa muda uliobaki hautoshi kupatikana kwa #KatibaMpya
Miongoni mwa Mapendekezo hayo ni Kuwepo kwa Mgombea Binafsi wa Urais, Mshindi wa Urais atangazwe endapo tu ameshinda kwa zaidi ya asilimia 50 ya kura zote zilizopigwa na pia Uchaguzi wa Urais uweze kuhojiwa Mahakamani
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #WikiYaDemokrasia2023 #Governance #DemocracyWeek2023

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akizungumza katika Mkutano wa kujadili Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeanza kuchukua hatua kwenye baadhi ya mapendekezo ya Kikosi Kazi na kwa mfano ni kwenye kuruhusu Mikutano ya hadhara
Amesema Mikutano ya Hadhara imeruhusiwa, Watu wanakwenda na yanayozungumzwa huko wanayasikia
Rais Samia ameongeza kuwa walishauriwa Kuunda Kanuni za kuendesha mikutano hiyo ambapo zimeundwa na zinatekelezwa
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023

π1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kuhusu Mikutano ya Hadhara, Rais Samia Suluhu amesema "La Mikutano ya hadhara, tumeruhusu tukiwa na nia ya Vyama vya Siasa vizungumze, Wananchi wasikie sera zao, mada zao, mipango yao ili Vyama vikue na virudishe Watu wale walio wapoteza. Vyama visimame, viwe madhubuti, ili tukienda kwenye Uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara"
Ameendelea "Hatukutoa fursa ile Watu wakavunje Sheria, Watu wakasimame kutukana, Watu wakasimame kukashfu, Watu wakasimame kuchambua Dini za Watu. Lakini sishangai kwanini haya yanatokea, kwa sababu ya kuzungumzwa hakuna"
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
Ameendelea "Hatukutoa fursa ile Watu wakavunje Sheria, Watu wakasimame kutukana, Watu wakasimame kukashfu, Watu wakasimame kuchambua Dini za Watu. Lakini sishangai kwanini haya yanatokea, kwa sababu ya kuzungumzwa hakuna"
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
π3
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais Samia Suluhu Hassan amesema "Tumieni hiyo fursa, kajijengeni kwa Wananchi, elezeni Sera zenu, mtafanya nini, ili Wananchi warudi wawaunge mkono ili tukienda kwenye Uchaguzi vyama vyote viwe vimejijenga vizuri"
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
π2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Uendeshaji wa Tanzania unahitaji fikra za kila mtu, hakuna mtu mwenye Hati ya Kuimiliki kwa kuwa hata kitoto kilichozaliwa leo kina Haki, hivyo ili tuendeshe vizuri Nchi yetu kila kundi litoe mawazo
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
π1π€1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais Samia Suluhu Hassan amesema "Tulitoa Uhuru wa maoni, maoni mengi sana yanatoka kwa Watanzania, tunayaona. Mazuri tunayachukua na mengine unayapima maoni yao. Nina Kikundi Maalumu kinachoangalia maoni yote na kuchukua yale mazuri na kuyaweka kwenye mipango yetu kuyafanyia kazi"
Ameongeza kwa "Kuna uhuru wa maoni lakini huu Uhuru wa Maoni una mipaka yake, sio tu kisheria, hata Kibinadamu. Na kila muungwana anajua"
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
Ameongeza kwa "Kuna uhuru wa maoni lakini huu Uhuru wa Maoni una mipaka yake, sio tu kisheria, hata Kibinadamu. Na kila muungwana anajua"
Fuatilia Mubashara https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023
π3π₯1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais Samia Suluhu Hassan amesema βKuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku.β
Soma https://jamii.app/MkutanoWaDemokrasia
#JamiiForums #Democracy #Governance #JFDemokrasia #WikiYaDemokrasia2023 #DemocracyWeek2023

JamiiForums imeendesha Mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC)
Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia Mabadiliko na kasi ya ukuaji wa Teknolojia Duniani ambayo huambatana na changamoto mbalimbali ikiwemo Usalama wa Kimtandao
Soma https://jamii.app/JFMTPC
#JamiiForums #DigitalRights #DigitalSecurity #JFDigitali #UsalamaMtandaoni

Mchakato wa kuwasiliana na wanaoelekea kuwa Washindi kwenye Shindano la #StoriesOfChange2023 umeanza
Kama ulishiriki Shindano hili unashauriwa kukaa karibu na Private Message (PM) kupitia akaunti yako ya JamiiForums.com
Ni vyema kutoa Ushirikiano (PM) kama ilivyoelekezwa kwenye Vigezo na Masharti ya Shindano hili
#JamiiForums #SoC2023 #StoriesOfChange #Accountability #Governance

π3β€1