HOJA: KWANINI SIKU HIZI VIJANA WADOGO WANA KIWANGO KIKUBWA CHA MSONGO WA MAWAZO?
> Mdau wa JamiiForums anadai miaka ya hivi karibuni imekuwa ni hali ya kawaida kukuta kijana wa Sekondari au Chuo Kikuu akilalamika kuwa na msongo wa mawazo hali inayopelekea baadhi yao kujidhuru au kujiua
> Anauliza hali hiyo husababishwa na nini? Je, ni kukosa malezi mazuri au ni hali ngumu za kiuchumi kwenye familia zao? Je, ni changamoto za kimapenzi?
Mjadala zaidi - https://jamii.app/DepressionVijana
#JFLeo #Depression

FAHAMU MSONGO WA MAWAZO NA VISABABISHI VYAKE
- Msongo wa Mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili kila siku
Kujua zaidi kuhusu visababishi vyake, fungua > https://jamii.app/MsongoMawazo
#Depression #MentalHealth

MSONGO WA MAWAZO: JINSI YA KUEPUKA MAWAZO YA KUHUZUNISHA (SEHEMU YA 1)
- Usiweke Malengo ambayo Hayafikiki: Kila mtu ana uwezo na vipawa vyake, unapoweka malengo yako hakikisha unazingatia uwezo, vipawa na muda ulionao ili kuyafanikisha
- Jifunze Kukubali Changamoto: Jifunze kukabili changamoto na sio kusikitika kwa nini mambo hayajawa kama ulivyotaka. Jaribu kukubali mambo kwa busara zaidi na utulivu
Soma - https://jamii.app/MawazoHuzuni
#Depression

MDAU: UMUHIMU WA MTU/JAMII KUIFAHAMU AFYA YA AKILI
1. Husaidia kuweza kutambua changamoto ndogondogo zinazoweza kupelekea tatizo la Akili ikiwemo Msongo wa Mawazo ambao usipopatiwa ufumbuzi, hupelekea tatizo la Akili liitwalo Sonona (#Depression)
2. Kuitambua Afya ya Akili kunasaidia kupambana na shida ya kiwewe (Post Traumatic #Stress Problem) inayosababishwa na majanga mbalimbali ikiwemo kufiwa na Mtu wa karibu sana
Msome - https://jamii.app/BenefitsAfyaAkili
#StoriesOfChange

Tatizo la Afya ya Akili lilisababisha Mtu 1 kati ya 100 kujiua Duniani Mwaka 2019 na asilimia 58 ya Watu wanaojiua ni wenye umri chini ya Miaka 50
Unyanyapaa, Ubaguzi na ukiukwaji wa #HakiZaBinadamu kwa Watu wenye Magonjwa ya Akili vimesambaa kwenye Jamii na kwenye Mifumo ya Afya: Katika Nchi 20 Duniani bado jaribio la kujiua ni kosa la jinai
WHO inasema tatizo la Akili ni sababu inayoongoza ya Ulemavu na Watu wenye tatizo kubwa la Afya ya Akili kwa wastani hufariki Miaka 10 hadi 20 mapema zaidi kutokana na Magonjwa ya Mwili yanayoweza kuzuilika.
#JamiiForums #JFAfyaAkili #MentalHealth #Depression #Stress

👍6
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana Duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa idadi kubwa ya Vijana wenye Miaka 15 hadi 29 kujiua
Magonjwa mawili ya Akili ambayo ni Unyogovu (#Depression) na Wasiwasi Uliopitiliza (#Anxiety), hugharimu Uchumi wa Dunia kwa zaidi ya Dola za Marekani Trilioni 1 kila Mwaka
Soma https://jamii.app/MHCosts
#JFAfyaAkili #MentalHealthAwareness

👍3
#JFAFYAAKILI: Kuwa na Mwenza asiyechaguliwa na mhusika mwenyewe kunaweza kusababisha uhusiano wa dhati kutoweka. Hii husababisha mtu kukosa uhusiano wa furaha na Mwenza wake, hali ambayo inaweza kuathiri furaha na ubora wa maisha yake yote
Vile vile, katika Jamii ambayo Mila ya kupangiwa Mume kabla ya Kuzaliwa inazingatiwa, mtu anayekataa maamuzi hayo anaweza kutengwa na kubaguliwa. Hali hii inaweza kusababisha matatizo ya Kihisia, Kujisikia kutengwa na hata matatizo ya Kisaikolojia, kama Upweke na Msongo wa Mawazo ambayo huweza kusababisha hisia za kujidhuru
Soma Zaidi https://jamii.app/AhadiZaNdoaKablaYaKuzaliwa
#JamiiForums #JFWomen #HakiMtoto #SocialJustice #Depression #MentalHealth #MentalWelliness #ChildProtection #WomenRights

👍1
Mamilioni ya Watu hufikia hatua ya kutaka kujiua kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Huzuni inayoweza kupelekea Upweke na Sonona (#Depression)
Uamuzi wa kujitoa uhai unaweza kusababishwa na Maamuzi ya haraka wakati wa Changamoto na kupoteza uwezo wa kushughulikia mafadhaiko ya Kimaisha
Kukumbana na Migogoro, Majanga, Vurugu, Unyanyasaji, au Kupoteza Kitu/Mtu na Hisia za kutengwa kunahusishwa kwa kiasi kikubwa na tabia za Kujiua.
Soma https://jamii.app/SuicidePrevention
#SuicidePreventionAwareness #MentalHealthMatters #JFAfyaAkili #JamiiForums

👍2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MBEYA: Kamanda wa Polisi, Benjamin Kuzaga akielezea tukio la Mwl. Mkuu wa Sekondari ya Mtanila-Chunya, Magwira Nkuta (41) alivyojiua kwa kunywa sumu baada ya kupata Msongo wa Mawazo kwa kutotengeneza Kibao cha 'Klabu ya TAKUKURU Rafiki' shuleni hapo licha ya kupewa hela za kazi hiyo
Zaidi Soma https://jamii.app/SumuMbeya
#JFAfyaAkili #JFMatukio #Depression #MentalHealth #MentalWelliness #KemeaRushwa #JamiiForums