Una lipi la kumshauri mdau huyu?
Zaidi soma https://jamii.app/UshauriJF
#JamiiForums #Maisha #JFStories #LifeStories

๐3
GABON: Jeshi limemtangaza Jenerali Oligui Nguema aliyekuwa Kiongozi wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais Ali Bongo aliyepinduliwa, kuwa Rais wa Mpito wa Taifa hilo
Jenerali Nguema amewahi kuwa Mpambe na Mtu wa karibu wa Rais Omar Bongo (Baba yake Ali Bongo) aliyetawala Gabon kwa miaka 42 hadi alipofariki mwaka 2009. Mwaka 2018, Nguema aliteuliwa kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa
Soma https://jamii.app/GabonLeader
#JamiiForums #Govenance #Democracy #Accountability #GabonCoup

๐8
CARABAO CUP: MAN. UNITED vs CRYSTAL PALACE, NEWCASTLE vs MAN. CITY
Droo ya Raundi ya Tatu ya Kombe la #CarabaoCup imepangwa ambapo timu kadhaa za #PremierLeague zinatarajiwa kukutana kuwania taji hilo ambalo Bingwa Mtetezi ni #ManchesterUnited
Baadhi ya michezo ya hatua hiyo ni; Liverpool vs Leicester City, Chelsea vs Brighton, Ipswich vs Wolves, Aston Villa vs Everton na Brentford vs Arsenal
Soma https://jamii.app/CarabaoRound3/e1b2
#JFSports #JamiiForums

๐5
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange akimjibu Mbunge Florent Kyombo aliyetoa hoja kuwa kufutwa kwa matumizi ya Fomu za 2C kwa Watumiaji wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) katika Vituo vya Afya kumechangia baadhi ya Wagonjwa kukosa Huduma ya Dawa pindi inapotokea Dawa zinazohitajika hazipo katika hospitali anayotibiwa
-
Je, unadhani maelezo aliyotoa Naibu Waziri yatasaidia kupunguza changamoto ya kukosa Dawa Hospitalini?
-
#JFHuduma #Afya #JFUwajibikaji23 #jamiiForums

๐7
DAR: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kufanya Ukarabati wa Miundombinu katika Njia Kuu ya Msongo wa Kilovoti 132 Mbagala - Dege na Kurasini Sept. 1 na Sept. 3, 2023 kuanzia Saa 2 asubuhi hadi Saa 12 Jioni
Maeneo yatakayokosa Umeme ni Bandarini, Mbagala, Kurasini, Dege, Kibada, Mji Mwema, Kisarawe II, Pemba Mnazi, Avic Town, Tuangoma na Geza Ulole
Kwa mujibu wa TANESCO, marekebisho hayo yanalenga kuimarisha Upatikanaji wa Umeme kwa maeneo yanayopata huduma hiyo kutoka Vituo vya Kupooza Umeme vya Dege na Kurasini
Soma https://jamii.app/PowerSept
#JamiiForums #Governance #JFHuduma

๐6
Agosti 30, 2023, Rais Samia alimteua aliyekuwa Waziri wa Madini, Dkt. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, nafasi ya Uongozi ambayo mara ya mwisho ilitumikiwa mwaka 1994 na Hayati Augustino Mrema
Pia, Balozi Dkt. Salim Ahmed Salim ambaye amewahi kuwa Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, alihudumu katika nafasi hiyo mwaka 1986 hadi 1989 chini ya Serikali ya Rais Ali Hassan Mwinyi
Ikumbukwe, Katiba ya Tanzania Ibara ya 36(1) imempa Rais Mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka ya aina mbalimbali katika Utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Soma https://jamii.app/DPMTanzania
#JamiiForums #Governance #Accountability #JFProfiles

๐8๐ฅ2๐1
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, amesema Mila ya kuwekeza Mke tangu akiwa Tumboni inachochea ukatili wa kihisia, Ndoa za utotoni na inamnyima mhusika haki ya msingi ya kumchagua mwenza wa kuishi naye umri unapofika
Amesema Serikali imeandaa mwongozo wa Taifa wa uendeshaji wa majadiliano wa Mwaka 2022 kuhusu Mila na Desturi zenye madhara kwenye Jamii. Majadiliano yatahusisha Viongozi wa Mila, Dini, Wazee maarufu na wataalam katika ngazi ya Jamii ili kutokomeza mila hizo ikiwemo ya kuwekeza mke aliye tumboni kwa mama
Ufafanuzi umetolewa baada ya Mbunge Maryam Azan Mwinyi kuhoji mpango wa Serikali kutokomeza Mila ya kuwekeza Mke akiwa tumboni kwa Mama hasa katika Mikoa ya #Manyara na #Arusha
Soma https://jamii.app/BungeAgosti31
#JamiiForums #ChildRights #HumanRights #JFWomen #GenderEquality #SocialJustice

RWANDA/CAMEROON: Wakati taarifa za Mapinduzi zikiendelea kutikisa Mataifa mbalimbali ya Afrika, Rais Paul Kagame (Rwanda) ameidhinisha kustaafu kwa Maafisa zaidi ya 678 waliotumikia Jeshi kwa muda mrefu pamoja na wengine 160 walioondolewa kwasababu za Kiafya
Kwa upande wa Paul Biya (Cameroon), amefanya mabadiliko katika Wizara ya Ulinzi ikiwemo Kikosi cha Ulinzi wa Rais, Viongozi wa Kikosi cha Anga, Maji na Jeshi la Polisi
Biya mwenye miaka 90, aliingia madarakani katika Mapinduzi ya Kijeshi mwaka 1982 na ndiye Rais mzee zaidi duniani.
Soma https://jamii.app/ArmyReshufle
#JamiiForums #Governance #Accountability #Accountability

๐6๐ฅฐ2๐2๐คฌ1
#FARAGHA: Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeagiza kufanyika uchunguzi kuhusu Utendaji wa Kifaa cha Anthropo-Biometric kinachodaiwa kupima Uwezo wa Akili (Vipaji) kwa Wanafunzi
Waziri wa Elimu, Prof Adolf Mkenda amewataka Wakaguzi wajue jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi kwa kubaini utendaji wa Ubongo, pia wachunguze taarifa za wenye Mifumo kufanya kazi na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Machi 4, 2023, Shule za Alfa za Jijini Dar zilizindua Mfumo wa Kupima Vipaji na kueleza kuwa unachukua Vinasaba vya Mwanafunzi na Shule huvituma Geneva kwaajili ya Uchakataji ili kuweza kubaini uwezo wa Mwanafunzi
Soma https://jamii.app/BiometricAlfa
#JamiiForums #Governance #DataProtection #Accountability #DataPrivacy

๐คฎ3๐2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amehoji hivyo wakati akichangia Azimio la Bunge katika mapendekezo ya kuridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ya Mwaka 2012 (SADC Protocol on Trade in. Services, 2012)
Amehoji โRais #JakayaKikwete alisaini Itifaki hii Mwaka 2012, ina marekebisho gani? Sekta ya Fedha, Dola zimeadimika, Serikali inasema Watalii wameongezeka, Uwekezaji umeongezeka, Dola zimeenda wapi? Serikali ni lazima iwajibike kwa kutotatua uhaba wa Dola Nchini."
Wanachama wa #SADC walisaini Itifaki ya Biashara ya Huduma (Agosti 2012) na ilianza kutumika Januari 13, 2022 baada ya kuridhiwa na theluthi mbili ya Wanachama, #Tanzania ni kati ya Nchi 5 ambazo bado hazijaridhia, nyingine ni #Angola, #DRC, #Madagascar na #Comoro
Soma https://jamii.app/BungeAgosti31
#Governance #Diplomacy #JamiiForums

๐17โค2
Baraza la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) limesema tabia hiyo ambayo hasa inafanywa na wenye Mabasi ya Safari Ndefu na Malori inachangia uharibifu wa mazingira na ni hatari kiusalama kwa kuwa wahusika wanaweza kukutana na Wadudu au Wanyama wakali
Mkurugenzi wa #NEMC, Dkt. Samuel Gwamaka amesema โTunatoa wito wa Halmashauri kujenga vyoo maeneo ya karibu na Barabara Kuu na wenye mabasi nao watoe elimu kwa abiria kabla ya safari. Kuanzia Wiki ijayo NEMC itatoa elimu kwa muda wa mwezi mmoja baada ya hapo basi litakalokamatwa likikiuka maelekezo litapigwa faini ya Tsh. Milioni tano.โ
Soma https://jamii.app/KuchimbaDawa
#Governance #ClimateChange #JamiiForums

๐3๐ค1
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetoa hukumu hiyo kwa Dkt. John Pima aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha na wenzake wawili baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi
Wenzake ni Mariam Mshana (aliyekuwa Mweka Hazina wa Jiji la Arusha) na Innocent Maduhu (aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji)
Mahakama imeeleza kuwa miezi 14 waliyokuwa kizuizini itazingatiwa, pia washtakiwa wana haki na nafasi ya kukata rufaa Mahakama Kuu endapo hawajaridhika na hukumu hiyo
Soma https://jamii.app/DktPimaHukumu
#Governance #JFUwajibikaji23 #JamiiForums

๐11โค3๐ข1
UEFA: NEWCASTLE YATUPWA KUNDI LA KIFO, MAN. UTD USO KWA USO NA BAYERN
Droo ya kupanga makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa 2023/24 imechezeshwa leo ambapo Bingwa Mtetezi, Man. City amepangwa Kundi G linaloonekana kuwa jepesi kwake
Manchester United imeangukia Kundi A pamoja na Vigogo wa Ujerumani, Bayern Munich. Newcastle inayorejea kwenye michuano hiyo kwa mara ya kwanza tangu ishiriki msimu wa 2002/03 imepangwa kundi la kifo
#JamiiForums #UCLDraw #UCL

โค5๐3