JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
#UCLDRAW: BAYERN, BARCA KUNDI MOJA. JUVE, PSG KUNDI MOJA

Katika Droo hiyo Kundi C na Kundi H yanaonekana kuwa makundi magumu

Hatua ya Makundi itaanza kuchezwa Septemba 6 & 7, 2022 hadi Novemba 1 & 2, 2022. Fainali ikichezwa Juni 10, 2023

Soma https://jamii.app/UCLDraw2023

#JFSports
👍3
UEFA: NEWCASTLE YATUPWA KUNDI LA KIFO, MAN. UTD USO KWA USO NA BAYERN

Droo ya kupanga makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa 2023/24 imechezeshwa leo ambapo Bingwa Mtetezi, Man. City amepangwa Kundi G linaloonekana kuwa jepesi kwake

Manchester United imeangukia Kundi A pamoja na Vigogo wa Ujerumani, Bayern Munich. Newcastle inayorejea kwenye michuano hiyo kwa mara ya kwanza tangu ishiriki msimu wa 2002/03 imepangwa kundi la kifo

#JamiiForums #UCLDraw #UCL
5👍3
UEFA 2022/23: GUARDIOLA KOCHA BORA, HAALAND MCHEZAJI BORA

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora kwa timu za Wanaume kwa msimu uliopita baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa Ubingwa

Aidha, Mshambuliaji wa timu hiyo, Erling Haaland ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume kwa msimu uliopita. Alikuwa Mfungaji Bora akiwa na Magoli 12

#JamiiForums #UCLDraw #UCL
👍103