JamiiForums
βœ”
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
SERIKALI YAFUTA MATOKEO YA UTABIBU NTA LEVEL 5

Kamati iliyoundwa kuchunguza udanganyifu ilibaini Mitihani ilisambazwa kwenye Mitandao ya #Telegram na #WhatsApp

NACTE imeagiza kurudiwa kwa Mitihani hiyo Wiki sita kuanzia Novemba Mosi, 2021

Soma - https://jamii.app/MatokeoUtabibu
#JFLeo
Jamii Forums inakualika kushiriki kwenye Mazungumzo ya Demokrasia Nchini #Tanzania kupitia Digitali. Mazungumzo yatafanyika Machi 17, kuanzia saa 3 asubuhi yakiongozwa na Balozi wa #Sweden, Anders SjΓΆberg

Lengo ni kujenga na kubadilishana uzoefu kati ya Viongozi Wakuu kama Wanasiasa, Watumishi wa Umma, Wawakilishi wa Mashirika ya kiraia kuhusu #Demokrasia ya Kidigitali kama njia ya kuimarisha Maendeleo

Ungana nasi kupitia Kurasa zetu za Mitandao ya Kijamii ikiwemo Twitter, #Facebook, Instagram na #Telegram kufuatilia yatakayojiri.

#JamiiForums #Democracy
BRAZIL: TELEGRAM YAZUILIWA KWA KUTOFUATA SHERIA

Mahakama Kuu imezuia matumizi ya Telegram baada ya kutofuata Sheria inayotaka udhibiti wa taarifa zisizo sahihi

#Telegram inatumiwa sana na Rais Jair Bolsonaro na wafuasi wake

Soma - https://jamii.app/TelegramBrazil

#DigitalRights
KENYA: WANACHUO WATATU MBARONI KWA KUTAPELI TSH. MILIONI 76 MTANDAONI

Wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi kwa ahadi ya kuwatumia Mitihani Mbalimbali ya Taifa

Soma https://jamii.app/SocialMediaScam

#CyberSecurity
πŸ‘7πŸ”₯1
ETHIOPIA: Taasisi inayofuatilia Uhuru wa Upatikanaji wa Intaneti (Netblocks) imesema, Mitandao ya #TikTok, #Facebook na #Telegram imefungiwa ili kudhibiti Maandamano ya kupinga Serikali kuligawa Kanisa la #Othodoksi

Soma https://jamii.app/NetBlocks

#Governance #DigitalRights
πŸ‘5πŸ₯°1😁1
Mtandao wa #WABetaInfo umeripoti kuwa watumiaji wa huduma za #WhatsApp hivi karibuni wataanza kuona mabadiliko kwenye 'App' hiyo ikiwemo kuruhusu mtumiaji achague Jina la Kipekee litakalomtambulisha badala ya kuweka namba ya Simu

Utaratibu huo tayari upo kwa watumiaji wa #Telegram ambaye ni mshindani mkubwa wa WhatsApp. Ikumbukwe hivi karibuni WhatsApp ilitangaza kuja na mabadililko yatakayomwezesha Mtumiaji kuhariri ujumbe uliotumwa chini ya dakika 15

Ni 'App' gani unaamini iko salama zaidi na inalinda Faragha yako?

Soma https://jamii.app/WhatsAppID

#JamiiForums #JFDigitali #Teknolojia #DataPrivacy #DataProtection
πŸ‘2❀1
ETHIOPIA: Mamlaka zimerejesha huduma za Kimtandao baada ya kufungia Mitandao ya #Facebook, #Telegram, #TikTok na #YouTube tokea Februari 9, 2023 kufuatia mvutano kati ya Serikali na Kanisa la #Orthodox

Kwa Miezi 5 wale tu waliokuwa wanatumia VPN ndio walioweza kuingia kwenye majukwaa ya Mitandao ya Kijamii, hivyo kuzidisha matumizi ya vifurushi vya #Internet

Soma https://jamii.app/MitandaoEthiopia

#JamiiForums #DigitalRights #InternetAccess #HakiZaKidigitali #Governance #JFDigitali
πŸ‘2❀1πŸ€”1
IRAQ: Mtandao wa Kijamii wa #Telegram umefungiwa kutumika ambapo Wizara ya Mawasiliano imesema uamuzi huo unalenga kulinda Usalama wa Taifa baada ya kubaini 'App' hiyo imevujisha Taarifa Binafsi za Serikali na raia

#AmnestyInternational imeonesha wasiwasi juu ya Serikali baada ya kuwasilisha Miswada miwili Bungeni ambayo kama itapitishwa inatajwa kuwa itaminya kwa kiasi kikubwa Haki ya #UhuruWaKujieleza na Kukusanyika kwa Amani.

Soma https://jamii.app/TelegramIraq

#JamiiForums #DigitalRights #Governance #SocialJustice #DataPrivacy #DataProtection
πŸ‘4
JIUNGE NA 'CHANNEL' YA TELEGRAM YA JAMIICHECK UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZILIZOHAKIKIWA

JamiiForums kupitia Jukwaa lake la #JamiiCheck inaendelea kukupa nafasi ya Kuhabarika, Kuelimika na Kushiriki mchakato wa Kuhakiki Taarifa kila wakati na kwa haraka zaidi, ambapo hivi sasa imekuongezea sehemu nyingine ya kupata taarifa hizo kupitia Mtandao wa #Telegram

Jiunge sasa na 'Channel' yetu ya Telegram kwa kubofya https://t.me/JamiiCheck

#JamiiForums #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #FactsChecking #VisitJamiiCheck
πŸ‘2
JIUNGE NA 'CHANNEL' YA TELEGRAM YA JAMIICHECK UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZILIZOHAKIKIWA

JamiiForums kupitia Jukwaa lake la #JamiiCheck inaendelea kukupa nafasi ya Kuhabarika, Kuelimika na Kushiriki mchakato wa Kuhakiki Taarifa kila wakati na kwa haraka zaidi, ambapo hivi sasa imekuongezea sehemu nyingine ya kupata taarifa hizo kupitia Mtandao wa #Telegram

Jiunge sasa na 'Channel' yetu ya Telegram kwa kubofya hapa https://t.me/JamiiCheck

πŸ‘8❀1πŸ‘Ž1

JamiiForums kupitia Jukwaa lake la #JamiiCheck inaendelea kukupa nafasi ya Kuhabarika, Kuelimika na Kushiriki mchakato wa Kuhakiki Taarifa kila wakati na kwa haraka zaidi, ambapo hivi sasa imekuongezea sehemu nyingine ya kupata taarifa hizo kupitia #Telegram

Jiunge sasa na 'Channel' yetu ya Telegram kwa kubofya hapa https://t.me/JamiiCheck

#JamiiForums #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #FactsChecking #VisitJamiiCheck
πŸ‘4❀1
JIUNGE NA 'CHANNEL' YA TELEGRAM YA JAMIICHECK UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZILIZOHAKIKIWA

JamiiForums kupitia Jukwaa lake la #JamiiCheck inaendelea kukupa nafasi ya Kuhabarika, Kuelimika na Kushiriki mchakato wa Kuhakiki Taarifa kila wakati na kwa haraka zaidi, ambapo hivi sasa imekuongezea sehemu nyingine ya kupata taarifa hizo kupitia Mtandao wa #Telegram

Jiunge sasa na 'Channel' yetu ya Telegram kwa kubofya hapa https://t.me/JamiiCheck

#JamiiForums #HakikiTaarifa #Misinformation #Disinformation #FactsChecking #VisitJamiiCheck
πŸ‘1πŸ₯°1

JamiiForums kupitia Jukwaa lake la JamiiCheck.com inaendelea kukupa nafasi ya Kuhabarika, Kuelimika na Kushiriki mchakato wa Kuhakiki Taarifa kila wakati na kwa haraka zaidi, ambapo hivi sasa imekuongezea sehemu nyingine ya kupata taarifa hizo kupitia Mtandao wa #Telegram

πŸ™2

#JamiiCheck #Misinformation #Disinformation #FactsChecking #VisitJamiiCheck