JamiiForums
52.5K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
SIKU YA ULINZI WA FARAGHA YA TAARIFA BINAFSI

Januari 28 ni Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi, ikiwa ni jitihada za kimataifa kujenga ufahamu kuhusu umuhimu wa kuheshimu Faragha

Ulinzi wa Faragha ya Taarifa binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu

Soma - https://jamii.app/DPD2022

#DataPrivacyDay #DataPrivacy
MAMILIONI YA WATU HAWAJUI TAARIFA ZAO ZINAVYOTUMIKA

Uhitaji wa Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi sio kitu kipya kwani Taarifa hizo zimekuwa hatarini

Kuwepo Sheria ya #UlinziWaData kutahakikisha Haki ya Faragha inasimamiwa

Soma - https://jamii.app/DPD2022

#DataPrivacyDay #DataPrivacy
👍1
Watu wengi wamekuwa wakituma Picha na Video zao Mitandaoni kwa kigezo cha kukuza Jina au 'Brand' bila kujua kuwa baadhi zinaweza kuhatarisha Faragha zao

Ili kujua ni kwa namna gani unaweza kujenga 'Brand' bila kuhatarisha faragha yako au wateja wako, jiunge nasi katika #JFSpaces na Wataalamu wa Masuala ya Kidigitali, Jumatatu, Januari 30, 2023

#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DataPrivacyDay
👍5
SIKU YA ULINZI WA FARAGHA YA TAARIFA BINAFSI

Kila Januari 28, tunaadhimisha Siku hii inayolenga kuongeza Uelewa kuhusu Umuhimu wa Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Tunategemea #Teknolojia katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu; Hatuna budi kutafakari kuhusu Faragha na Usalama wa Taarifa zetu Binafsi

Soma https://jamii.app/DPD23

#DataPrivacyDay #HakiYaFaragha
👍4
Watu wengi wamekuwa wakituma Picha na Video zao Mitandaoni kwa kigezo cha kukuza Jina au 'Brand' bila kujua kuwa baadhi zinaweza kuhatarisha Faragha zao

Ili kujua ni kwa namna gani unaweza kujenga 'Brand' bila kuhatarisha faragha yako au wateja wako, jiunge nasi katika #JFSpaces na Wataalamu wa Masuala ya Kidigitali, Jumatatu, Januari 30, 2023

#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DataPrivacyDay
👍1
Tunapoadhimisha Siku ya Ulinzi Wa Faragha ya #TaarifaBinafsi, tunasisitiza kuwa kila Mtu ana Haki ya Faragha
-
Wanaoshughulika na Taarifa wana Wajibu wa kuheshimu na kulinda Faragha zetu
-
#JamiiForums #DigitalRights #DataPrivacy #HakiYaFaragha #DataPrivacyDay
👍1
TAARIFA ZAKO BINAFSI ZINA THAMANI, ZILINDE

Ingawa tunaishi katika Dunia ya Kidigitali, Watu wengi bado hawazingatii Umuhimu wa Faragha ya #TaarifaBinafsi mpaka pale wanapopata madhara

Katika Kuadhimisha #DataPrivacyDay Mwaka 2023, tunakukumbusha kulinda, kuthamini na kuheshimu Taarifa zako. Unapotumia Majukwaa mbalimbali Mtandaoni zingatia #HakiYaFaragha na heshimu Faragha za wengine
-
#JamiiForums #PrivacyMatters #DataPrivacy #DigitalRights
👍51
Watu wengi wamekuwa wakituma Picha na Video zao Mitandaoni kwa kigezo cha kukuza Jina au 'Brand' bila kujua kuwa baadhi zinaweza kuhatarisha Faragha zao

Ili kujua ni kwa namna gani unaweza kujenga 'Brand' bila kuhatarisha faragha yako au wateja wako, jiunge nasi katika #JFSpaces na Wataalamu wa Masuala ya Kidigitali, Jumatatu, Januari 30, 2023

Shiriki nasi kupitia https://twitter.com/i/spaces/1mrxmkAOMPdGy

#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DataPrivacyDay
👍1
Watu wengi wamekuwa wakituma Picha na Video zao Mitandaoni kwa kigezo cha kukuza Jina au 'Brand' bila kujua kuwa baadhi zinaweza kuhatarisha Faragha zao

Ili kujua ni kwa namna gani unaweza kujenga 'Brand' bila kuhatarisha faragha yako au wateja wako, jiunge nasi katika #JFSpaces na Wataalamu wa Masuala ya Kidigitali leo, Januari 30, 2023

👍2

👍73