JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
TAARIFA ZAKO BINAFSI ZINA THAMANI, ZILINDE

Ingawa tunaishi katika Dunia ya Kidigitali, Watu wengi bado hawazingatii Umuhimu wa Faragha ya #TaarifaBinafsi mpaka pale wanapopata madhara

Katika Kuadhimisha #DataPrivacyDay Mwaka 2023, tunakukumbusha kulinda, kuthamini na kuheshimu Taarifa zako. Unapotumia Majukwaa mbalimbali Mtandaoni zingatia #HakiYaFaragha na heshimu Faragha za wengine
-
#JamiiForums #PrivacyMatters #DataPrivacy #DigitalRights
👍51