Mdau wa JamiiForums.com ameanzisha Mjadala akiomba ushauri kuhusu urafiki wa Mama yake na Mganga wa Jadi
Amedai Mganga huyo amekuwa akifanya maamuzi ya familia na Mama yake kila akipata pesa anamtumia, hivyo familia inaishi maisha magumu
Unamshauri mdau afanye nini kuinusuru familia yao?
Mjadala https://jamii.app/MgangaWaMama
#JamiiAfrica #JamiiForums #Maisha

❤2
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuwa saa 02:36 asubuhi ya Juni 29, 2025, kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa, ambayo imesababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika Mikoa yote inayounganishwa na Gridi hiyo
Taarifa hiyo imeeleza kuwa timu ya wataalamu inafuatilia kwa karibu ili kubaini chanzo halisi cha hitilafu hiyo na kuhakikisha huduma ya umeme inarejea haraka
Soma https://jamii.app/GridiYaTaifaJuni29
#JamiiForums #JamiiAfrica #ServiceDelivery #Accountability #Governance

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Wilson Mahera Charles, amechukua fomu ya kuteuliwa kugombea Ubunge, Jimbo la Butiama (CCM)
Mnamo Oktoba 1, 2019, Hayati John Magufuli alimteua Dkt. Mahera kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ambapo kabla ya uteuzi huo, alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
Aidha, Februari 26, 2023, Rais Samia Suluhu alimteua Dkt. Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Soma https://jamii.app/DktMaheraUbunge
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery #KuelekeaUchaguzi2025
Mnamo Oktoba 1, 2019, Hayati John Magufuli alimteua Dkt. Mahera kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ambapo kabla ya uteuzi huo, alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
Aidha, Februari 26, 2023, Rais Samia Suluhu alimteua Dkt. Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Soma https://jamii.app/DktMaheraUbunge
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery #KuelekeaUchaguzi2025
❤2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti eneo lote la pembezoni mwa Barabara ya kutoka Ubungo Maji hadi Kibo kutawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, waumini hao wameibukia kwenye Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) na kuendelea na ibada leo Juni 29, 2025
Kanisa hilo lipo jirani na Makao Makuu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Kibo, Dar es Salaam
Soma https://jamii.app/WauminiWaGwajima
#JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #Governance #HumanRights
Kanisa hilo lipo jirani na Makao Makuu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Kibo, Dar es Salaam
Soma https://jamii.app/WauminiWaGwajima
#JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #Governance #HumanRights
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Muumini wa Kanisa la Ufufuo na uzima, amedaiwa kujeruhiwa kichwani na Polisi katika vurugu zilizojitokeza wakati Polisi wakiwatawanya waumini waliokusanyika karibu na Kanisa hilo kwaajili ya kufanya ibada, leo Juni 29, 2025
Soma https://jamii.app/MuuminiAjeruhiwa
#JamiiAfrica #JamiiForums #HumanRights #Governance #Democracy

❤1
Uwajibikaji unaanza na vitendo kama kushiriki mijadala ya Kijamii, kutoa maoni, kusaidia wenye uhitaji, kufuatilia sera na maamuzi ya viongozi na kujifunza haki na wajibu wetu kama raia
#JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #RestlessDevelopment #CivicEducation #UraiaWenyeUelewa

ZANZIBAR: Timu ya Yanga imethibitisha kuwa Msimu wa Mwaka 2024/25 ni ‘mali yao’, baada ya kutwaa Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 kwa kuifunga Singida Black Stars Magoli 2-0 katika Fainali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan
Wafungaji waliopeleka furaha kwa #Yanga katika mchezo wa leo Juni 29, 2025 ni Duke Abuya dakika ya 40 na Clement Mzize dakika ya 50
Ikumbukwe, Yanga ilianza msimu huu kwa kubeba Ngao ya Jamii, ikashinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo, na kwa kunogesha zaidi ubingwa huo ilishinda michezo yote miwili dhidi ya #Simba ambao ni Wapinzani wao wa Jadi, pia ilitwaa Kombe la Muungano
Soma https://jamii.app/FainaliZanzibar
#JFSports #JamiiForums #JamiiAfrica

Kusoma kwa undani habari hizi na mengine yaliyojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu 52 waliokamatwa jana Juni 29, 2025 kwa kufanya mkusanyiko usio halali wenye lengo la kuleta vurugu, huku wakitaka kuingia kwenye Barabara yenye magari mengi katika eneo la Ubungo-Kibo
Kamanda Muliro amesema Watu hao walikuwa wakisali Kanisa la Kiinjili la Afrika Mashariki (KKAM) na baada ya kumaliza ibada, wakati wenzao wakitawanyika kwa amani, wao walitoka na kufanya mkusanyiko huo
Soma https://jamii.app/52Wahojiwa
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance #Democracy #HumanRights

Ulitumia mbinu gani ili kuendelea na Maisha baada ya kumpoteza Ndugu/Rafiki wa karibu sana?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KumsahauAliyefariki
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Maisha

Mdau wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki ndani ya JamiiForums.com ameanzisha mjadala kuwa simu huchangia sana ugomvi kwenye mahusiano
Mdau, simu zimewahi kuwa chanzo cha uhusiano wako kuvurugika? Ilikuwaje?
Mjadala https://jamii.app/SimuKuvurugaMahusiano
#JamiiAfrica #JamiiForums #Maisha #LifeStyle

Juni 16 hadi 20, JamiiAfrica iliendesha mafunzo kwa vitendo kwa Maafisa wa TAKUKURU kuhusu Usimamizi, Matumizi, Usalama na Utengenzaji wa Maudhui katika Mitandao ya Kijamii yaliyofanyika Dar es Salaam
Mafunzo haya yalilenga kuwajengea uwezo katika matumizi ya majukwaa mbalimbali ya Mitandao pamoja na uhakiki wa Taarifa Mtandaoni kwa ajili ya Mawasiliano ya Umma
Washiriki walijifunza namna ya kuandaa maudhui bora na kutumia zana tofauti ili kuendesha shughuli za kila Siku Mtandaoni. Pia, walipata Maarifa kuhusu kupanga Maudhui ya Wiki na kujilinda dhidi ya hatari za Usalama wa Kidigitali
#JamiiForums #JamiiAfrica #DigitalRights #SocialMediaManagement #InformationFactChecking