Uchaguzi ni fursa ya kipekee ya kuleta mabadiliko chanya katika Jamii yetu. Hata hivyo, Rushwa ya Uchaguzi inapofumbiwa Macho, inahatarisha mustakabali wa Jamii kwa kuruhusu Watu wasio na Maadili kuwa Viongozi
Pesa zinazotolewa ili kununua kura yako ni gharama utakayoilipa kwa Miaka mingi kwa Huduma duni na Uongozi usiojali maslahi ya Wananchi
Kataa #Rushwa ya Uchaguzi, linda #Demokrasia
#ChaguaKiongoziSioPesa #KemeaRushwa25 #Accountability #Democracy #ServiceDelivery #Uwajibikaji

❤1
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema upatikanaji wa Dawa za ARV unaenda sambamba na mchakato wa Serikali kuboresha Sekta ya #Afya ikiwemo ujenzi wa miundombinu ambapo imetumia Tsh. Bilioni 48 kwenye ujenzi wa Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati katika Mkoa wa Lindi
Amesema hayo Februari 20, 2025 alipoungana na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, katika uzinduzi wa Awamu ya Tatu ya Mradi wa Timiza Malengo ambao unatekelezwa katika Halmashauri 36 za Mikoa 10 ya Tanzania Bara
Februari 18, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alisema “Hivi karibuni kuna gazeti lilisema #ARV hazitapatikana hali hiyo ilisababisha taharuki kubwa kwa wenye uhitaji kuvamia vituoni wakitaka Dawa, niwaambie tu Watanzania Dawa zipo tuna Hifadhi ya Miezi sita ya Dawa hizo.”
Soma https://jamii.app/ARVUpdates
#JamiiForums #PublicHealth #Accountability

❤1👍1
Ni changamoto zipi wanazokutana nazo Waandishi wa Habari wanapojaribu kufichua ukweli katika mazingira ambayo baadhi ya Watu wanatetea makosa kwa maslahi binafsi?
Kujua hili na mengine, usiache kujiunga nasi katika Mjadala wa "Kujipendekeza 'uchawa' kuzorotesha Uwajibikaji: Tunatokaje hapa?", Alhamisi ya Februari 27 kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kujiunga Bofya https://jamii.app/KujipendekezaSpace
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance #TukemeeUchawa

❤2
Katika Jukwaa la Siasa ndani ya JamiiForums.com, Mwanachama ameanzisha Mjadala akitoa wito kwa Nchi Wahisani kutotoa Fedha za misaada kama hakutakuwa na mdahalo wa Urais kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema Watanzania wanatamani kuwaona Wagombea wa Urais wakinadi na kutetea sera zao Jukwaani na sio kukariri hotuba kisha kuwasomea Wananchi kama ilivyozoeleka
Unakubaliana na hoja za Mwanachama huyu?
Mjadala https://jamii.app/MdahaloWaUraisTz
#JamiiForums #Accountability #Democracy #Diplomasia #Uwajibikaji #Demokrasia

👍1
Serikali inawajibika kuhakikisha kila Mwananchi anapata Huduma za Kijamii kwa gharama nafuu na kwa Uhakika bila ubaguzi wowote.
Vipi Mdau, upatikanaji wa Huduma hizi kwenye eneo lako unaridhisha?
#MajiNiUhai #MajiSafiAfyaBora #JamiiForums #CivilRights #HakiZaKiraia #HudumaZaKijamii #ServiceDelivery

AFYA: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Deriananga, amesema bado kuna Mikoa yenye ushamiri mkubwa wa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) akitoa mfano Njombe 12.7%, Iringa 11.1%, Mbeya 9.6%, huku Kigoma ikiwa na Maambukizi ya kiwango cha chini cha 1.7%
Pia, amesema kiwango cha Maambukizi ya #VVU kwa Watu wenye umri kuanzia Miaka 15 - 45 kimepungua kidogo, kutoka 4.7% Mwaka 2017 hadi 4.4% Mwaka 2023
Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti #UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Catherine Joachim, amesema Watu Milioni 1.7 wanaishi na VVU Nchini na takribani Watu 60,000 wanapata Maambukizi hayo kila Mwaka
Soma https://jamii.app/ARVUpdates
#JamiiForums #PublicHealth #Accountability
Pia, amesema kiwango cha Maambukizi ya #VVU kwa Watu wenye umri kuanzia Miaka 15 - 45 kimepungua kidogo, kutoka 4.7% Mwaka 2017 hadi 4.4% Mwaka 2023
Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti #UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Catherine Joachim, amesema Watu Milioni 1.7 wanaishi na VVU Nchini na takribani Watu 60,000 wanapata Maambukizi hayo kila Mwaka
Soma https://jamii.app/ARVUpdates
#JamiiForums #PublicHealth #Accountability
Mwanachama wa JamiiForums.com ameanzisha Mjadala katika Jukwaa la JF Chitchats and Jokes amesema amekumbuka jinsi ambavyo Wazazi wenye Watoto watundu walikuwa hawakauki Shuleni kusuluhisha kesi za Watoto wao
Mdau, fikiria na huko kazini ukiharibu Mzazi anaitwa, wako angekuwa ameitwa mara ngapi hadi sasa? Au ungekuwa 'umekula' suspension' kadhaa na kuandikwa kwenye 'blackbook' kabisa?🤣
Mjadala https://jamii.app/UtunduShule
#JamiiForums #Maisha #LifeLessons

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia kauli alizoziita ni za Wahafidhina wa Mfumo Dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na kuwa wapo waliothubutu kusema "Tuna Rais wa kuambiwa afanye na akafanya, mwenye maamuzi ya Kitchen Party…"
Amesema hayo akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, leo Februari 21, 2025
Soma https://jamii.app/MaamuziYaRais
#JFMatukio #JamiiForums #Siasa

Kwa mujibu wa Kifungu cha 60 (3) (b) na 60 (6) (b) cha Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya 2022 ni makosa kwa Kampuni kufichua/kuruhusu Taarifa Binafsi kuonwa (Access) na asiye Mhusika wa Taarifa hizo
Mfano: Taasisi au Wafanyakazi wa huduma za kibenki zinapogawa au kuuza taarifa binafsi za wateja wao kwa makampuni mengine yanayotoa mikopo ili kuwapatia wateja.
Ukiukwaji wa Kifungu hiki kwa Kampuni au Shirika utapelekea Adhabu ya kulipa faini isiyopungua shilingi milioni moja na isiyozidi shilingi bilioni tano.
Soma https://jamii.app/SheriaTaarifaBinafsi2022
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #DigitalRights #JFDigitali

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Wanawake kuwa Mazingira ya Usomi au nafasi za Kiuongozi hazitakiwi kuwa vyanzo vya kuharibu umoja wa Familia zao
Amesema hayo akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, leo Februari 21, 2025
Soma https://jamii.app/FemaleFutureProgram
#Malezi #JFMatukio #JamiiForums #Maisha

Katika andiko hili la Shindano la Stories of Change 2024 Mshiriki ameeleza Umuhimu wa kuwepo kwa Haki ya kusahaulika katika Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi 2022
Mdau unadhani Haki ya Kusahaulika ina umuhimu gani mwingine katika kulinda Taarifa binafsi?
Mjadala zaidi https://jamii.app/HakiYaKusahaulika
#JFDigitali #DigitalRights #DataProtection #DataPrivacy #JamiiForums