Usikose kuungana nasi Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi. Je ni rushwa? Wananchi wanatofautishaje?
Katika Mjadala huu pia tutajadili namna vitendo vya rushwa vinavyoweza kuathiri maamuzi ya wapiga kura na mustakabali wa uongozi bora
Washiriki watapata fursa ya kushiriki kwa kutoa maoni, mapendekezo au kuuliza maswali
Kushiriki, bofya hapa: https://twitter.com/i/spaces/1ZkKzYMNvbDxv
#ChaguaKiongoziSioPesa #Accountability #Demokrasia #ServiceDelivery #Uwajibikaji

Haki za Mtuhumiwa wakati wa Kuhojiwa (Rights During Interrogation) zinamlinda Mshukiwa dhidi ya vitendo vya Udhalilishaji na Ukatili wakati wa uchunguzi. Haki hizi zinahakikisha Uchunguzi unafanyika kwa Haki na kwa kuheshimu Utu wa Mtuhumiwa
Haki Muhimu zinajumuisha Mtuhumiwa kutolazimishwa kujitoa hatiani au kutoa ushahidi unaoweza kumletea madhara. Pia, ana Haki ya kutotoa maelezo yoyote yanayoweza kutumiwa dhidi yake Mahakamani
Pia, ana Haki ya kuhakikisha Wakili wake anakuwepo wakati wa mahojiano ili kuepuka Unyanyasaji au matumizi mabaya ya Sheria na kuhakikisha ushahidi unapatikana kwa njia halali na ya Haki.
Soma zaidi https://jamii.app/RightToFairTrial
#JamiiForums #HakiZaKiraia #CivilRights #HumanRights #KesiYaHaki #HakiZaBinadamu #UtawalaWaSheria

Mwanachama wa JamiiForums.com amelalamikia changamoto ya Mtandao kwenye kutuma maombi ya nafasi za Ajira zilizotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (#TRA) na kutoa wito kwa Mamlaka hiyo kutatua tatizo hilo ili waombaji wapate Huduma kwa urahisi
Soma https://jamii.app/AjiraMtandaoTRA
#JamiiForums #TEHAMA #ICT #SerikaliMtandao #DigitalSpace #DigitalRights #JFMdau2025

👍1
Hajat Fatma Mwassa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera aliyasema hayo Februari 11, 2025 wakati wa Kikao cha Wadau wa Elimu, Kata ya Bakoba ambapo amewasisitiza Vijana kutokuwa na tabia ya Uchawa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuonesha Ufukara wa Akili
Soma https://jamii.app/MwassaNukuu
#JamiiForums #Governance #JFNukuu #JFQuotes

🔥1
SINGIDA: Siku moja baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kukerwa na tabia ya kuchelewesha uzoaji taka Mitaani, taka zimeanza kuchukuliwa katika Makazi ya Watu leo, Februari 12, 2025
Mdau alidai Wananchi wanatoa taka nje Siku ya kubeba ila Wahusika hawaji kuchukua na kuwa hiyo ilikuwa ni Wiki ya tatu hawajafika huku taka zikizagaa kwenye Mitaa
Soma https://jamii.app/TakaZabebwaSingida
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #HudumaZaKijamii #JFMdau2025

Katika Mjadala huu, TAKUKURU itafafanua maana ya rushwa katika uchaguzi na vitendo vinavyoweza kuchukuliwa kama rushwa, huku Washiriki wakipata fursa ya kushiriki kwa kutoa maoni, mapendekezo au kuuliza maswali
Jiunge nasi Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 usiku, kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Kushiriki, bofya https://twitter.com/i/spaces/1ZkKzYMNvbDxv
#ChaguaKiongoziSioPesa #Accountability #Demokrasia #ServiceDelivery #Uwajibikaji
Jiunge nasi Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 usiku, kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Kushiriki, bofya https://twitter.com/i/spaces/1ZkKzYMNvbDxv
#ChaguaKiongoziSioPesa #Accountability #Demokrasia #ServiceDelivery #Uwajibikaji
AFYA: Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya, Dkt. Ntuli Kapologwe ameshinda nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA – HC) na kuwashinda Wagombea wengine sita waliokuwa wakiwania nafasi hiyo
Dkt Ntuli atachukua nafasi ya Prof. Yoswa Dambisya kutoka #Uganda aliyeshikilia nafasi hiyo kwa miaka 10
Hii ni mara ya pili kwa Tanzania kushika nafasi hiyo katika kipindi cha miaka 51 cha Jumuiya hiyo, kwa mara ya kwanza, Mtanzania Dkt. Winny Mpanju alihudumu kama Mkurugenzi Mkuu kati ya mwaka 1983 na 2000.
Soma https://jamii.app/DktNtuliECSAHC
#JamiiForums #Governance #Accountability

🔥3👍1
Mjadala unaoendelea Jukwaa la Siasa ndani ya JamiiForums.com, mwanachama anasema ahadi za kutatua changamoto ya Ajira kwa Vijana inatumika Kisiasa tu ila hakuna Mwanasiasa anayejua hasa nini atafanya ili kutatua hili
Unakubaliana naye?
Unaweza kushiriki Mjadala huu zaidi kwa kubofya https://jamii.app/TatizoAjiraVijana
#JamiiForums #EmploymentCrisis #Politics

Moja ya Maandiko yaliyowasilishwa kwenye Shindano la Stories of Change 2021, Mshiriki alitaja mambo kadhaa ambayo Mtu akiyafanya yanaweza kuwa sababu ya Laana na Mikosi kwenye Maisha ikiwemo kumdhulumu Mtu kitu ambacho ni halali yake/amekitolea Jasho kukipata
Unaongezea kitu gani ambacho unaamini kinaweza kumpa Mtu Laana na Mikosi anapokifanya Maishani?
Soma zaidi Andiko hili https://jamii.app/LaanaMikosiSOC01
#JamiiForums #Maisha #StoriesofChange2021 #SOC2021

Mdau wa Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com ameanzisha mjadala kuhusu kuchukua tahadhari unapompa mtu simu yako aitumie
Mdau, huwa unafuatilia unapompa au kumuazima mtu mwingine simu yako aitumie?
Mjadala zaidi https://jamii.app/UsimpeMtuSimuYako
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako