SONGWE: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Maafisa wa Halmashauri ya Momba kusambaza vitabu katika Shule za Msingi kwani utaratibu uliopo ni changamoto kutokana na kuwalazimu Wakuu wa Shule kutumia gharama kubwa na kutembea umbali mrefu kufuata vitabu hivyo, magari ya Serikali yanaweza kutumika kurahisisha zoezi hilo
Soma https://jamii.app/UsambazajiVitabuSongwe
#JamiiForums #Governance #Accountability #JFUwajibikaji #ServiceDelivery

Mdau aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ameeleza baadhi ya Wanafunzi wanalazimika kujisajili upya kufanya mitihani kutokana na matokeo kuchelewa huku kukiwa hakuna maelezo ya kueleweka hali ambayo inaathiri mipango ya waliojipangia muda wa kuhitimu
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Adam Namamba amesema matokeo hayajachelewa sana, mitihani ilifanyika Desemba 20, 2024 na matokeo yalitakiwa kutoka mwezi mmoja baadaye, kwa sasa yanatarajiwa kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025
Soma https://jamii.app/MatokeoHayatokiKwaWakati
#JamiiForums #JFUwajibikaji #Accountability #ServiceDelivery

👍1
Rushwa inawaathiri vipi Vijana moja kwa moja na inaathiri kwa kiasi gani nafasi zao za kushiriki kikamilifu katika michakato ya Uchaguzi?
Usikose kushiriki kwenye mjadala wa “Uwepo wa Rushwa Katika Uchaguzi: Je, Vijana Wanapata Nafasi ya Kushiriki Kuleta Mabadiliko?” ambapo tutajadili nafasi ya Vijana katika kupambana na rushwa na kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya Vyama vya Siasa na uchaguzi kwa ujumla
Ni kupitia #XSpaces ya JamiiForums, Januari 28, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi 2:00 Usiku
Kushiriki, bofya: https://x.com/i/spaces/1gqGvNNlpeeGB
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaVijana #Demokrasia #MaoniYaDemokrasia #Governance #Uwajibikaji #KemeaRushwa

Mshiriki wa Shindano la Stories of Change Msimu wa 2024 anasema Wananchi wengi hawana Uelewa wa kutosha kuhusu umuhimu wa kutunza Mazingira na jinsi wanavyoweza kushiriki katika mchakato wa usimamizi wa Taka
Anapendekeza Elimu kwa Umma itiliwe mkazo, ambapo njia bora ni kuanzisha Programu za Mafunzo katika Shule ili kuwaandaa Watoto wawe Mabalozi wazuri katika usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
Pia, Serikali iweke Sera madhubuti za usimamizi wa Taka na kuzitekeleza kikamilifu ili kupunguza athari za taka kwa Mazingira na Afya ya Umma. Aidha, kuwe na Kanuni kali za kudhibiti uchafuzi wa Mazingira na utupaji wa Taka ovyo
Unaunga Mkono hoja zake?
Soma zaidi https://jamii.app/UsimamiziTakaSOC24
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #SOC2024 #TanzaniaTuitakayo

Lawyers Hub kwa kushirikiana na JamiiForums na wadau wengine wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba (AI). Tukio hili litawaleta pamoja wadau muhimu kujadili faragha na usimamizi wa teknolojia za AI, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, ambapo masuala ya AI, ulinzi wa taarifa na haki za kidijitali ni muhimu
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo atakuwa miongoni wa wazungumzaji wa mjadala huu wenye Lengo la kuhamasisha uelewa wa athari za AI katika faragha Barani Afrika huku ukijadili namna ya kutengeneza Sera zinazozingatia muktadha wa Kiafrika na kuimarisha ushirikiano wa wadau.
Ili kujisajili bofya https://jamii.app/AIPolicyDialogue
#JamiiForums #LawyersHub #ArtificialIntelligence #AI #AkiliMnemba

Kujipenda kunahusisha kujithamini, kujikubali, kujijali na kujiamini
Kujipenda hupelekea kufanya maamuzi bora, kuwa na misimamo na kuweka mipaka unapofanya maamuzi
Mtu anayejipenda hujifunza kutokana na makosa, husherekea hatua ndogo anazopiga na kufuata ndoto zake bila kujali maoni ya wengine
#JamiiForums #MorningQuote #AmkaNaJF #LifeLessons #LifeTips #Maisha

Mdau wa Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com ameshauri mambo kadhaa ya kufanya ili kuepuka Madeni
Mjadala zaidi https://jamii.app/EpukaMadeniKukopa
#JamiiForums #LifeLessons #LifeTips #Maisha