DAR: Taarifa ya Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi imeelekeza Watumishi wa Umma kuwa wanatakiwa kufanyia kazi nyumbani kwa siku mbili Januari 27 na 28, 2025 isipokuwa wale ambao mazingira yao yatawalazimu kuwepo katika vituo vya kazi kutokana na Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kuhusu Nishati utakaofanyika Dar siku hizo zilizotajwa
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Mkutano huo utahudhuriwa na Viongozi wa Nchi 24 za Afrika pamoja na wawakilishi wa Taasisi za Kimataifa na nchi nyingine kadhaa, ambapo kutafungwa kwa baadhi za barabara
Aidha, taarifa hiyo imesema waajiri wa sekta binafsi wanashauriwa kuruhusu Watumishi wao kufanyia kazi nyumbani au kuweka utaratibu ambao hautasababisha changamoto ya usafiri kutokana na kufungwa kwa barabara kadhaa
Soma https://jamii.app/WatumishiKaziNyumbani
#JamiiForums #Governance

❤2👍1
DAR: Taarifa ya Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi imeelekeza Watumishi wa Umma wanatakiwa kufanyia kazi Nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025 isipokuwa wale ambao mazingira yao yatawalazimu kuwepo katika vituo vya kazi
Soma https://jamii.app/WatumishiKaziNyumbani
#JamiiForums #Governance
Soma https://jamii.app/WatumishiKaziNyumbani
#JamiiForums #Governance
Jiunge nasi katika Mjadala ili kufahamu mchango wa Vyama vya Siasa katika kutatua changamoto na kuhakikisha Uchaguzi Huru na wa Haki, kwa maendeleo ya Taifa
Ni Alhamisi ya Januari 30, 2025, kuanzia saa 12 jioni hadi saa 2 usiku, kupitia #Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki, bofya https://jamii.app/MjadalaUchaguziJAN30
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability

👍1
Kusoma kwa undani habari hizi na nyingine zilizojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons

Muda ni Rasilimali ambayo ikipotea huwezi kurudisha
Tumia muda wako vizuri ili kufanikisha malengo yako na kufanya mambo yenye faida
#JamiiForums #MorningQuote #AmkaNaJF #LifeLessons #LifeTips #Maisha

Shiriki kwenye mjadala wa "Uwepo wa Rushwa Katika Uchaguzi: Je, Vijana Wanapata Nafasi ya Kushiriki Kuleta Mabadiliko?" ili kutoa maoni yako kuhusu nafasi ya vijana katika kuleta mabadiliko ya kweli
Usikose kujiunga nasi Januari 28, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums. Sauti yako ni muhimu
Kushiriki, bofya https://x.com/i/spaces/1gqGvNNlpeeGB
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability
Usikose kujiunga nasi Januari 28, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums. Sauti yako ni muhimu
Kushiriki, bofya https://x.com/i/spaces/1gqGvNNlpeeGB
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability
DAR: Wakili Peter Madeleka ameandika kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) “Kwa mujibu wa taarifa niliyopewa muda mfupi uliopita na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, ni kwamba, Dkt. Wilbrod Slaa ataendelea kusota magereza hadi Januari 30, 2025, kwa sababu “Kuna ugeni wa marais.”
Ameendelea “Haki kwa mahabusu gerezani, Kitendo cha Mahakama kushindwa kutoa huduma kwa sababu ya “Ugeni wa Marais” ni kuwatesa mahabusu. Naomba Mahakama Mtandao itumike ili kuwatendea haki watu waliopo magerezani.”
Madeleka na Jopo la Mawakili wanaomwakilisha Mwanasiasa huyo katika Kesi ya Jinai Namba 993 ya Mwaka 2025, waliwasilisha maombi Mawili katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar, kupinga kunyimwa dhamana kwa mteja wao na kupinga uhalali wa kesi ya msingi iliyopo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Soma https://jamii.app/SlaaJan27
#JamiiForums #CivilRights #JFMatukio

👍2
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka kufuatilia kero ya Moshi karibu na Uwanja na Shule ya Msingi Nyamagana kwani hali hiyo inaweza kuathiri Afya za Watu kutokana na uchafuzi wa hali ya Hewa
Soma https://jamii.app/KeroMoshiNyamagana
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Imeelezwa Jeshi la Polisi Kanda Maalum limezuia Mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), John Mnyika pamoja na Waandishi wa Habari uliokuwa umepangwa kufanyika leo Jumatatu Januari 27, 2025 Saa Tano Asubuhi
Pia, imeelezwa Polisi wamewataka Waandishi wa Habari kuondoka eneo hilo huku sababu zinazoelezwa za kuzuiwa kwa mkutano huo ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300) unaokutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika Jijini Dar es Salaam
Soma https://jamii.app/PolisiMkutanoMnyika
#JamiiForums #Democracy #Governance #Siasa

Ili kufahamu nafasi ya Vijana katika kupambana na rushwa katika Vyama na kuleta mabadiliko ya kweli katika Siasa za Nchi yetu, usikose kujiunga nasi kwenye mjadala wa “Uwepo wa Rushwa Katika Uchaguzi: Je, Vijana Wanapata Nafasi ya Kushiriki Kuleta Mabadiliko?”
Ni Jumanne ya Januari 28, 2025 kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi 2:00 Usiku, kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Kushiriki, Bofya https://x.com/i/spaces/1gqGvNNlpeeGB
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #Demokrasia #Uwajibikaji #Accountability #Uwajibikaji #KemeaRushwa

Kupitia Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi, Urafiki lililopo ndani ya JamiiForums.com, Wadau wamejadili njia mbalimbali wanazotumia ili kupata utulivu wanapopitia Msongo wa Mawazo
Ukiwa na Msongo wa Mawazo ni mambo gani huwa unapendelea kuyafanya ili kujipa Utulivu?
Mjadala https://jamii.app/UfanyayoMsongoMawazo
#JamiiForums #PublicHealth #JFAfyaAkili #MentalHealth

❤1
Kuelekea Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani ambayo inaadhimishwa Januari 28, Lawyers Hub kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali akiwemo JamiiForums wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba (AI). Tukio hili litawaleta pamoja wadau muhimu kujadili faragha na usimamizi wa teknolojia za AI, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, ambapo masuala ya AI, ulinzi wa taarifa na haki za kidijitali ni muhimu
Lengo ni kuhamasisha uelewa wa athari za AI katika faragha Barani Afrika, kutengeneza Sera zinazozingatia muktadha wa Kiafrika na kuimarisha ushirikiano wa wadau. Pia, kuainisha mbinu bora za matumizi ya taarifa na utekelezaji wa Akili Mnemba kwa uwajibikaji, kuhakikisha uwiano kati ya ubunifu na haki za faragha.
Ili kujisajili bofya https://jamii.app/AIPolicyDialogue
#JamiiForums #LawyersHub #ArtificialIntelligence #AI #AkiliMnemba