WAOMBA JAJI BISWALO ASIMAMISHWE KUPISHA UCHUNGUZI WA PLEA BARGAIN
Ni baada ya CAG kusema wameanza uchunguzi kuhusu utaratibu huo wa kufuta kesi
> Wahanga wametaja kuwepo Ufisadi na Ukiukaji wa Haki za Binadamu katika mpango huo
Soma https://jamii.app/PleaBargain
#SocialJustice

👍12
CAF: SIMBA YAINGIA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
#Simba itacheza hatua hiyo baada ya kuifunga Agosto ya Angola goli 1-0 kwenye Uwanja wa Mkapa (Dar)
> Moses Phiri amefunga goli pekee na kufanya jumla ya goli kuwa 4-1
Soma https://jamii.app/Simba1Agosto0
#JFSports #CAFCL

👍18🔥4
#JFAFYA: Kipindupindu ni Ugonjwa wa Kuhara unaosababishwa na Maambukizi ya Vimelea vya Bakteria aina ya Vibrio cholerae
Vimelea hivi humwingia Mtu kupitia Matumizi ya Vyakula au Maji machafu yenye Masalia ya Bakteria
Soma https://jamii.app/CholeraTips
#JFAfyaJamii

👍7
YANGA YATOLEWA LIGI YA MABINGWA
Imetolewa kwa jumla ya magoli 2-1 baada ya kupoteza 1-0 katika mechi ya pili dhidi ya Al Hilal ya Sudan, leo Oktoba 16, 2022
Kwa matokeo hayo Yanga imeangukia katika mechi za Mtoano za Kombe la Shirikisho
Soma https://jamii.app/YangaOut
#JFSports

😁24👍11😱8👏2👎1🔥1
KILOMBERO : MENEJA TARURA KUPANGIWA MAJUKUMU MENGINE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI
Mhandisi Robert Magogo amesimamishwa kwa kushindwa kusimamia kikamilifu Miradi ikiwemo ujenzi wa Boksi Kalavati katika Barabara ya Kilomita 30 ya Mawala-Mofu-Ikwambi
Meneja huyo ndiye aliyesimamia Ujenzi wa Daraja la Mbao lililotumia gharama ya Milioni 31 mnamo Mwezi Agosti 2021 na kuzua sintofahamu
Soma https://jamii.app/TARURAMiradi
#Accountability

👍12😁3🔥2🤔2
IRAN YAISHUTUMU MAREKANI KWA KUCHOCHEA MACHAFUKO, UGAIDI
Rais Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai Rais wa Marekani, #JoeBiden anahamasisha machafuko Nchini humo kutokana na kifo cha #MahsaAmini anayedaiwa kuuawa Mikononi mwa Polisi
Soma https://jamii.app/IranUS
#Diplomacy

👍11
SUNGUSUNGU WATAKIWA KUZUIA NDOA KWA WAHITIMU WA DARASA LA 7
Jeshi la Jadi (Sungusungu) Manispaa ya #Shinyanga limepewa jukumu hilo ili kulinda wahitimu wa Darasa la 7 Mwaka 2022 wakati huu ambapo wakisubiri matokeo ya Mitihani ya Taifa
Soma https://jamii.app/LindaMtoto
#HakiMtoto

👍9
NAPE NNAUYE: Nikiwa MwanaCCM wa kweli naamini mikutano ya siasa ingeimarisha CCM kuliko hali ilivyokuwa. Huwezi kujipima wakati mwenzako amefungwa mikono
> Amesema Mikutano ina afya kwa Nchi, Demokrasia na Maendeleo
Soma https://jamii.app/NapeAnaongea
#Democracy

👍29👏3
KENYA: Rais William Ruto amemshutumu Mtangulizi wake, #UhuruKenyatta kwa kusababisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama, ambao alihitaji muda kuurekebisha
Amesema Wapinzani wao walitumia Miaka 5 kuharibu Nchi badala ya Kuijenga
Soma https://jamii.app/KenyanEconomy
#Governance

👍6👎3😁2🤔1
NAPE: MAFUNZO NI MUHIMU, UKUBWA UNALEWESHA
Waziri wa Habari, Nape Nnauye amesema akiwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM hakufanya vizuri kwenye kutengeneza Mfumo wa Mafunzo kwa Watendaji wapya Madarakani
Soma https://jamii.app/NapeAnaongea
#Uwajibikaji

👍4
MBEYA: Watumishi 4 wa Wilaya ya Mbarali Wamekutwa na hatia ya Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 11.7, Kughushi na Kutumia Nyaraka kwa Lengo la Kumdanganya Mwajiri na Kuwasilisha Nyaraka za Uongo
Wameamriwa kulipa faini au kwenda jela Miezi 6 na kurejesha kiasi chote cha Tsh. 11,765,000 walichofuja
Soma https://jamii.app/UbadhirifuMbarali
#KemeaRushwa

Leo ni Maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umasikini
Siku hii inalenga kutoa Heshima na Kutambua Juhudi za Mamilioni ya Watu Wanaoteseka kutokana na Umasikini Duniani
Soma https://jamii.app/IDOEP2022
#DayFortheEradicationOfPoverty

👍5
NAPE NNAUYE: UTARATIBU WA KUSAJILI LAINI ZA SIMU ULIKUWA MBOVU
Amesema "Usimamizi wa usajili laini ulikuwa mbovu, ndio maana inakuja Sheria ya kulinda Taarifa Binafsi. Watakaokiuka Adhabu itakuwa kubwa, itawagusa hadi Kampuni za Mawasiliano
Soma https://jamii.app/NapeAnaongea
#DataProtection

MUSWADA WA SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19 wadau watawasilisha maoni, Oktoba 20 na 21 kutakuwa na mjadala mwingine, kisha utapelekwa katika Bunge la 11 kujadiliwa
Ukipitishwa Bungeni utasubiri hatua ya kusainiwa na Rais kuwa Sheria kamili
Soma https://jamii.app/MuswadaBungeni
#DataPrivacy #DataProtection

BAADA YA KUJARIBU KWA MIAKA 30, KOROSHO YA TANZANIA YAPATA SOKO MAREKANI
Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa ziliondoka Oktoba 5, Kontena nyingine 5 zitasafirishwa Novemba 2022
> Zitauzwa kati ya Tsh. 46,640 hadi 116,600 kwa kilo
Soma https://jamii.app/KoroshoUSA
#JFGovernance

👍16👏2🥰1
#JFAFYA: Kawaida Kipindupindu hutokea kwenye Jamii zisizotunza Usafi
Ni muhimu kuzingatia na Kudumisha Usafi Binafsi na wa Mazingira Kwa Ujumla ukiwemo wa Vyakula na Maji tunavyotumia kila siku
Soma https://jamii.app/CholeraTips
#JFAfyaJamii
Ni muhimu kuzingatia na Kudumisha Usafi Binafsi na wa Mazingira Kwa Ujumla ukiwemo wa Vyakula na Maji tunavyotumia kila siku
Soma https://jamii.app/CholeraTips
#JFAfyaJamii
👍7
MDAU: SERIKALI KUTOWEKA WAZI RIPOTI ZA UCHUNGUZI KUNALINDA UHALIFU
Anasema kumekuwa na usiri wa Matokeo ya Uchunguzi au kutojulikana hatua zilizochukuliwa huku akitolea Mfano matukio ya Soko la Kariakoo kuungua, Mtuhumiwa na Askari kufia Polisi Mtwara, Watendaji wa BOT kujilipa mamilioni na n.k.
Anashauri uwepo Utaratibu wa Tume hizo kutoa matokeo ya Uchunguzi kwa Wananchi na hatua zinazochukuliwa ziwe wazi kwa ajili ya kuhakikisha kunakuwa na #Uwajibikaji wa Kisheria ili kudhibiti matukio hayo kujirudia
Soma https://jamii.app/Uchunguzi
#JamiiForums #JFHakiRaia #Accountability #Transparency

👍7❤2
DAR: POLISI YAKAMATA WANAODAIWA KUIBA MAGARI 23
Ni Mohamed Amani, Salome Richard na wenzao 8
> Wanatuhumiwa kuiba magari ktk mikoa mbalimbali na kuyabandika Namba za Usajili za magari yaliyopata ajali na kuuzwa kama chuma chakavu
Soma https://jamii.app/WiziMagari
#JamiiForums

👍10
ZANZIBAR: Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa #Tiktok na kuwaambia Wazanzibari kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka wabadilike
Soma https://jamii.app/MaudhiZnz
#DigitalRights
Soma https://jamii.app/MaudhiZnz
#DigitalRights
👍12👎9😁1😢1
#JFMALEZI: Ni wajibu wa Mzazi/Mlezi kutimiza mahitaji ya Mtoto ili awe mwenye Afya, apate Elimu na ashiriki katika Ujenzi wa Nchi yake sasa na atakapokuwa mtu mzima
Mtoto ana Haki ya kupewa nafasi ya kushiriki katika kutoa mawazo au maamuzi ya masuala yanayohusu Maendeleo yake katika hatua mbalimbali za ukuaji wake
Soma https://jamii.app/HakiMtoto
#HakiMtoto #ChildRights