JamiiForums
โœ”
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
RAIS SAMIA AAGIZA TAKUKURU NA ZAECA KUCHUNGUZA MIRADI ILIYOBAINIKA KUWA NA WIZI

Amezitaka Taasisi hizo kuwachukulia hatua Wasimamizi wa Miradi iliyobainika kuwa na Ufujaji, Wizi, Matumizi Mabaya ya Fedha, na #Rushwa wakati wa zoezi la Mwenge

Soma https://jamii.app/RushwaMiradi

#KemeaRushwa
๐Ÿ‘1
KENYA: WASIOSAJILI LAINI ZA SIMU KUZIMIWA MAWASILIANO OKTOBA 15

Watumiaji wa Simu wamebaki na chini ya Saa 24 kukamilisha Usajili wa Laini kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijachukua uamuzi huo

> CAK imesema lengo ni kuwalinda Watumiaji

Soma https://jamii.app/LainiKE

#DigitalRights
๐Ÿ‘16๐Ÿ”ฅ1๐Ÿ‘1
Kumbukizi ya Baba wa Taifa

#NyerereDay #JamiiForums
๐Ÿ‘25๐Ÿ‘4
WASAFIRI KITUO CHA MAGUFULI KUPIMWA EBOLA

Utaratibu huo unawahusu abiria wanaotoka mikoa ya mipakani na Nchi jirani hasa wanaotokea mikoa ambayo Serikali imetangaza kwamba ipo kwenye hatari ya kupata maambukizi ya #Ebola

Soma https://jamii.app/KupimaEbola

#PublicHealth
๐Ÿ‘19๐Ÿ‘Ž4
MWANZA: UTORO NA MIMBA VYAKWAMISHA WANAFUNZI 70 KUMALIZA KIDATO CHA 4

Idadi hiyo ni kati ya Watoto 130 walioanza kidato cha kwanza Mwaka 2019 katika Shule ya Sekondari Kishinda, Sengerema

> Diwani aagiza Uongozi kuchukua hatua za haraka

Soma https://jamii.app/UtoroMWZ

#HakiMtoto
๐Ÿค”9๐Ÿ‘5
UGANDA: Rais Museveni amesaini Sheria yenye vifungu vya kuwabana Watumiaji Mitandao endapo watachapisha au kusambaza taarifa mbaya kuhusu Serikali au Watu Binafsi

Pia, inazuia kupata taarifa za Mtu mwingine bila idhini yake

Soma https://jamii.app/MitandaoUG

#DataProtection #DigitalRight
๐Ÿ˜7๐Ÿ‘Ž6โค2๐Ÿ‘1๐Ÿ‘1
LEBANON: WANANCHI WALAZIMIKA KUTUMIA SILAHA KUTOA FEDHA ZAO BENKI

Benki zimeweka masharti magumu ya kutoa Fedha kutokana na Mgogoro wa Kifedha unaoendelea

> Hivi karibuni Mwanamke mmoja ametumia Bunduki ya Bandia kutoa Hela kwa ajili ya Matibabu

Soma https://jamii.app/LebanonBenki
๐Ÿ‘12๐Ÿค”4๐Ÿ˜3๐ŸŒš2
GENEVA: TANZANIA YAOMBA MSAADA WA KUREJESHA WAKIMBIZI KWAO

Waziri Hamad Masauni ameiambia UNHCR hali ya Kisiasa imeimarika #Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu waondolewe

Tanzania ina Wakimbizi 136,221 kutoka Burundi

Soma https://jamii.app/RefugeTZ

#HumanRights
๐Ÿ‘14๐Ÿ‘1
JE, WAJUA?: Mwaka 2021, kati ya Wanafunzi 395 ni mmoja tu alifaulu ktk Shule ya Sheria ya #Zambia.

Ufaulu wa Wanafunzi wa sheria ni 4.1% kwa Tanzania, 18.4% Kenya na 9.8% Uganda.

Una maoni gani kwa ufaulu huu wa Wanafunzi wa Sheria

Soma https://jamii.app/LawSchoolZambia

#ServiceDelivery
๐Ÿ‘10๐Ÿค”5
#BRAZIL: Kampuni ya #APPLE imepigwa faini ya Tsh. Bil 46.6 kwa kuuza Simu bila chaja huku Jaji akiuita utaratibu huo 'Matusi ya Biashara' kulazimisha wateja kununua Bidhaa ya ziada

> Sept. 2022 ililipa Tsh. Bil 5.8 kwa suala hilo

Soma https://jamii.app/AppleChaja

#DigitalRights
๐Ÿ‘20
UTURUKI: MBUNGE AVUNJA SIMU YAKE KWA NYUNDO

Burak Erbay amefanya tukio hilo Bungeni akipinga Muswada unaotaka Mitandao ya Kijamii na Tovuti kutoa maelezo ya Watumiaji wanaoeneza Habari za kupotosha

Kifungo chake ni hadi Miaka 3 jela

Soma https://jamii.app/UturukiSheria

#DigitalRights
๐Ÿ‘11
#JFAFYA: Mtu Mzima anashauriwa kufanya Mazoezi mepesi kwa walau Dakika 150 kwa wiki ili kuimarisha Kinga ya Mwili dhidi ya Magonjwa mbalimbali

Hii ni sawa na dakika 30 kwa siku

Soma https://jamii.app/ExercisesTips

#JFAfyaJamii
๐Ÿ‘5
FAIDA ZA MAZOEZI MEPESI

Hupunguza Hatari ya kuugua Magonjwa ya Moyo, Kiharusi, Kisukari, Shinikizo kubwa la damu na Magonjwa ya Akili

Pia, huweka sawa uzito wa mwili, kuboresha mzunguko wa Usingizi na Utendaji Kazi wa Ubongo

Soma https://jamii.app/ExercisesTips

#JFAfyaJamii
๐Ÿ‘6
DAR: Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi dhidi ya Kampuni ya Kalynda E-Commerce inayodaiwa kutapeli kiasi kikubwa cha Fedha za wateja wake

> BRELA imeituhumu Kampuni hiyo kuendesha Biashara kinyume na leseni iliyotolewa

Soma https://jamii.app/PolisiKalynda

#JFGovernance #Uwajibikaji
๐Ÿ‘13
POLISI DAR: NDUGU NI CHANZO KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA KUFUTWA

Imeelezwa Kesi 949 kati ya 1271 zilizopelekwa Mahakama ya Wilaya Mwaka 2018/21 ziliondolewa baada ya Ndugu wa waathirika kuacha kufuatilia

Soma https://jamii.app/UkatiliDar

#SocialJustice #DomesticViolence
๐Ÿ‘4
UPATU NI KOSA: Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya Makosa Sura ya 16 iliyorekebishwa 2022, Kifungu cha 171A inakataza kuongoza, kusimamia au kushiriki katika Upatu

Adhabu ni faini hadi Tsh. Milioni 5 au Hukumu ya Kifungo Gerezani Miaka mitano

Soma https://jamii.app/UpatuNiJinai

#JFSheria
๐Ÿ‘5๐Ÿค”1
RAIS SAMIA: SUALA LA ZAENI TU HAPANA, PUNGUZENI 'SPIDI'

Amesema โ€œHilo la zaeni tu hapana. Jana nimesimama Buseresere naambiwa kituo kimoja kinazalisha Watoto 1000 kwa Mwezi. Baada ya Miaka 3 ni Madarasa mangapi? vituo vya Afya vingapi, tani za Chakula ngapi?

Soma https://jamii.app/HojaYaWatoto

#Siasa
๐Ÿ‘17๐Ÿ˜14๐Ÿ–•8๐Ÿ‘Ž3๐Ÿคจ2
SOKA: Oktoba 16, 2022, #Simba vs Agosto (10:00 Jioni), Azam FC vs Al Akhdar (1:00 Usiku), Al Hilal vs #Yanga (3:00 Usiku)

Man United vs Newcastle (10:00 Jioni), Real Madrid vs Barcelona (11:15 Jioni), Liverpool vs Man City (12:30 Jioni), PSG vs Marseille (3:45 Usiku)

#JFSports
๐Ÿ‘19๐Ÿ”ฅ1
OKTOBA 16: SIKU YA CHAKULA DUNIANI

Siku hii ilianzishwa na Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), ikilenga kupambana na Njaa na kuboresha Mifumo ya #Kilimo ili kuhakikisha Baa la Njaa linatokomezwa Duniani

Soma https://jamii.app/WFD2022

#HumanRights #WFD2022
๐Ÿ‘6๐Ÿ‘1
RAIS SAMIA: SISI NI WAKUSANYAJI WA FEDHA ZA KUWALETEA MAENDELEO, SIO TUZIBEBE

Akiwa Mkoani Geita, amesema Viongozi wa Serikali ni Wakusanyaji wa Fedha za Kufanya Miradi ya Kimaendeleo kwa ajili ya Wananchi na sio za kujinufaisha wao

Soma https://jamii.app/SamiaInGeita

#Governance
๐Ÿ‘7๐Ÿค”2