Mdau kutoka Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi, Urafiki ndani ya JamiiForums.com anaomba ushauri baada ya kuachana na aliyekuwa Mume wake, mambo yamemuendea vibaya. Anatamani kurudiana naye lakini Mume ameshaoa
Unamshauri afanye nini huyu Mdau?
Mjadala https://jamii.app/MdauMchepu
#JamiiForums #JFStories #Maisha #Mikasa #StoriNaJF

Viwango vya Sheria vya Kimataifa havitambui kashfa kuwa kosa la jinai, bali la Madai, hayo yameelezwa na Mwanahabari Mkongwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (EAPC), Kajubi Mukajanga
Anasema kuifanya kashfa kuwa jinai husababisha woga kwa Watu kutoa maoni yao waziwazi, hasa kuhusu viongozi na hata katika masuala ya Tuhuma za Ufisadi, Rushwa na matumizi mabaya ya Madaraka
Pia, hali hiyo huathiri utendaji wa Kazi ya Uandishi kwa kuwatia hofu Wanahabari (libel chill) na inakiuka Kanuni ya Ulinganifu wa kosa na adhabu (proportionality test)
Soma https://jamii.app/HakiYaKujieleza
#JamiiForums #Democracy #PressFreedom #PressFreedom24

UWAJIBIKAJI: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amepiga marufuku Wauzaji wa Viwanja Nchi nzima wanaoweka Mabango ya kutangaza Biashara hiyo mitaani huku akitoa siku 7 kwa Maafisa Ardhi kuondoa Mabango hayo
Waziri ametoa agizo hilo baada ya kusikiliza Kero za Wananchi wanaoituhumu Kampuni ya Digital Auction LTD kuwauzia viwanja kwenye eneo wasilolimiliki na kujipatia Tsh. Milioni 166
Slaa amesema “Huwezi kuuza kiwanja kwa ramani, kiwanja kinauzwa kwa hati. Serikali haiwezi kukaa kimya wakati Wananchi wanateseka na kutapeliwa fedha zao”. Pia, Waziri amezitaka kampuni zinazouza viwanja kuweka dawati la mauzo katika Ofisi za Ardhi za Wilaya na Mikoa yote
Aidha, amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa Mikoa kuharakisha mchakato wa utoaji wa hati na amewataka wenye makampuni ya ardhi wanaotaka kuuzia viwanja ofisini kwao waombe Hati za Viwanja wanavyopima
Soma https://jamii.app/ViwanjaMitaani
#JamiiForums #Governance #Accountability #SocialJustice #CivilRights

Kwa mujibu wa Ripoti iliyochapishwa na Mtandao wa #WomenForChange kuhusu Ukatili dhidi ya Wanawake, imeitaja #AfrikaKusini kuwa ndio Taifa lenye idadi kubwa ya matukio ya Ukatili kwa Wanawake na Wasichana Duniani
Ripoti hiyo inaonesha kila baada ya Dakika 150 kuna Mwanamke anauawa kikatili, pia, kati ya Mwaka 2022 na 2023 takriban Wanawake 4,169 waliuawa nchini humo
Aidha, katika kipindi hicho, Watoto 1,192 waliuawa huku Matukio 43,037 ya Ubakaji yakiripotiwa, Makosa ya Ukatili wa Kingono yaliyoripotiwa Polisi yalifikia 53,888. Hata hivyo, 95% ya matukio ya ukatili wa kingono bado hayaripotiwi.
Soma https://jamii.app/FemicideSA
#JamiiForums #Governance #EndFemicide #EndFemicide24 #JFDATA

Madaraka na Mamlaka ya Serikali hutoka kwa Wananchi. Wananchi ndio wanapaswa kuwa na sauti kubwa katika maamuzi yanayohusu Maisha yao na Jamii zao.
Tunakutakia Jumapili iliyo njema na Maandalizi mema ya kupokea Wiki mpya
#JamiiForums #MadarakaNaUwajibikaji #Democracy #AmkaNaJF #GoodMorning

Mdau, huwa unaangalia/uliangalia Vigezo gani ulipotaka kuoa?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KuoaUzuri
#JamiiForums #Maisha #LifeLessons #ChitChat #JFStories

Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF), Mtoto mmoja kati ya Watoto Wanne wenye umri chini ya Miaka mitano Duniani wanakabiliwa na Umasikini mkubwa wa Chakula, unaowaweka katika hatari ya kupata Utapiamlo kwa Asilimia 50
Ripoti hiyo imebainisha Asilimia 27 ya Watoto wenye umri wa Miaka Mitano, sawa na Watoto Milioni 181 wanapata milo isiyozidi Miwili kati ya Milo nane inayotambuliwa na #UNICEF, huku wengi wao wakipewa Maziwa, Mahindi, Ngano, Wali au Matunda pekee
Aidha, zaidi ya Theluthi Mbili ya Watoto Milioni 181 wasiopata Chakula cha kutosha wanaishi Asia Kusini (Watoto Milioni 64) na Kusini mwa Jangwa la Sahara (Watoto Milioni 59)
Soma https://jamii.app/ChildFoodPoverty
#JamiiForums #FoodSafety #FoodPoverty #ChildSafety #HumanRights #ChildSafety24

Ulishawahi kujiona au kuhisi umekosa Kazi fulani kabla hata Kampuni au Taasisi iliyokuita kwenye Usahili (Interview) haijakwambia kwamba umekosa Kazi?
Ulifanya kitu gani au ulikutana na nini?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KukosaKazi
#JamiiForums #JFStories #ChitChat #LifeLessons #Maisha

Je, wewe ni Mdau wa Masuala ya Ajira na Utumishi Nchini? Ni mabadiliko gani ungependa kuyaona kwenye Sekta hii?
Msimu wa Nne wa Shindano la Stories of Change (SoC 2024) unakupa fursa ya kuandaa andiko kuhusu wazo bunifu litakaloweza kuleta Mabadiliko Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 ijayo
Andiko lako litakuweka katika nafasi ya kuwa miongoni mwa wanaoshindania Kitita cha zaidi ya Tsh. Millioni 50 . Maandiko yote yawasilishwe kupitia jukwaa la “Stories of Change 2024" ndani ya JamiiForums.com.
Kuwasilisha andiko lako bofya https://jamii.app/SoC04
#JamiiForums #StoriesOfChange2024 #SoC2024 #TanzaniaTuitakayo #AndikaNaUshinde

Onyango Otieno, Mwanaharakati kutoka Nchini #Kenya alinukuliwa na BBC Januari 2024 akisema "Wanaume wengi hawakufundishwa wala kuelimishwa jinsi ya kuishi pamoja na Wanawake wakiwa kama Binadamu sawa"
Je, ni kwa namna gani Malezi kwenye Familia yanachangia kuendelea kuwepo kwa Unyanyasaji na Ukatili wa Kijinsia?
Soma https://jamii.app/GBVMalezi
#JamiiForums #HumanRights #EndFemicide #EndFemicide24 #GenderBasedViolence #Parenting #Malezi

Ujumbe huu wa Msanii wa #BongoFleva, Rajab Abdul Kahali "#Harmonize" unapatikana kwenye Wimbo wa Never Give Up aliouweka YouTube, Mei 24, 2019 akisisitiza kutolipa kisasi, kuwa makini na marafiki na kutokata tamaa kwenye harakati za #Maisha
Video iliongozwa na 'director' Kenny na kurekodiwa katika Mikoa ya Mtwara na Dar es Salaam ambapo imetazamwa zaidi ya mara Milioni 17.7
#JFNukuu #GoodMorning #Entertainment #Quotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Mahakama ya Afrika iliamua katika kesi ya Agenda ya Haki za Vyombo vya Habari na Nyingine (Media Rights Agenda and Others) dhidi ya Nigeria – 2000 kuwa, Watu wanaochukua nafasi za uongozi zenye maslahi makubwa kwa Umma hawawezi kuepuka Ukosoaji na kufuatiliwa kama ilivyo kwa raia wa kawaida
Mwenyekiti wa Chama cha Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (EAPC), Kajubi Mukajanga anasema hayo na “Vinginevyo hata mijadala yenye maslahi kwa Umma itauawa katika Jamii. Hii ina maana Sheria haipashwi kuweka ulinzi maalum kwa Watu hao”.
Soma https://jamii.app/HakiYaKujieleza
#JamiiForums #Democracy #PressFreedom2024 #Accountability #JFUwajibikaji

UTAFITI: Ripoti ya Utafiti ya Hali ya Uripoti wa Habari Tanzania 2022 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (#UDSM) imeeleza ilichukua sampuli 370 ya kazi za Kihabari upande wa #Zanzibar kutoka ZBC Radio, Micheweni FM, Zanzibar Leo, Zenji FM, Hits FM na ZBC TV
Mada zilizoripotiwa kama ilivyo kwa Tanzania Bara, uripoti ulitoa kipaumbele katika masuala ya Kimaendeleo ikiwemo Elimu, Afya, Kilimo, Mazingira na Maji, vikifuatiwa na masuala tete (Migogoro, Haki za Binadamu, Matatizo ya Kijamii, Rushwa, Utawala Bora na masuala ya Kiuchumi)
Maeneo hayo yanaakisi kinachopendelewa na Viongozi wa Kiserikali kwa kuwa wao ndio vyanzo vikuu vya taarifa kwenye Vyombo vya Habari
Soma https://jamii.app/UDSMSurveyReport
#JamiiForums #JFUwajibikaji #PressFreedom #PressFreedom24 #DigitalRights

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Japan ni miongoni mwa Nchi zinazoongoza kuwa na Miji Misafi Duniani, kwasababu ya utamaduni wa #Uwajibikaji binafsi na mifumo madhubuti ya usimamizi wa taka.
Je, njia hizi zinaweza kutumika Nchini #Tanzania?
#JFLifestyle #JamiiForums