Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
JF KUMBUKIZI: Aprili 22, 2022 Mchambuzi wa Siasa, Said Miraji akiwa anahojiwa kuhusu Mchakato wa Uchaguzi wa Wagombea ndani ya Chamakatika ya Kituo cha Redio cha Bongo FM alisema "Hii tabia ya kuona kila Mkuu wa Mkoa anataka kugombea Ubunge ni ya kufikirisha sana kwani itafika wakati Wakuu wa Mikoa hawatafanya kazi kwaajili ya maendeleo bali watafanya kazi kujionesha ili kupata Ubunge"
Soma https://jamii.app/MaRCKuombaUbunge
#JamiiForums #Governance #Accountability

❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TABORA: Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema “Tusiwaache CCM peke yao. Twende tukapambane nao, twende tukalinde kura ndio maana tukasema Oktoba Linda Kura”
Amesema hayo katika mkutano wa hadhara, leo Julai 2, 2025
Soma https://jamii.app/ZittoKulindaKura
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Amesema hayo katika mkutano wa hadhara, leo Julai 2, 2025
Soma https://jamii.app/ZittoKulindaKura
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TABORA: Kiongozi Mstaafu wa Chama cha #ACTWazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.
Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Soma https://jamii.app/ZittoBungeKibogoyo
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Soma https://jamii.app/ZittoBungeKibogoyo
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
TABORA: Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amedai kuwa kuna ongezeko la Watanzania wanaoishi katika Dimbwi la Umasikini kutoka Watu Milioni 14 hadi Milioni 26 kati ya Mwaka 2020 hadi 2025
Soma https://jamii.app/ACTTabora
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Soma https://jamii.app/ACTTabora
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Usikubali mazingira yakukumbushe wewe ni nani, kumbuka thamani yako
Wakati mwingine, unapojikuta mahali usipojisikia huru, pengine ni ishara kuwa kuna kitu bora unachostahili
#JamiiForums #JamiiAfrica #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha

Tanzania, kama mataifa mengine, inakumbwa na wimbi la kuenea kwa taarifa potoshi, ambapo baadhi husambazwa kwa makusudi hasa hiki kipindi cha uchaguzi na nyingine watu husambaza bila kujua
Taarifa potoshi huweza kuchochea mgawanyiko, kutengeneza hofu na hata kuamsha kauli za chuki (hate speech) zinazolenga makundi fulani kwa misingi ya kabila, dini, jinsia au itikadi
Ili kuepuka kuwa chanzo cha kusambaza taarifa potoshi hakikisha unafuatilia vyanzo vya taarifa vya kuaminika. Kataa kuwa daraja la uongo, kuwa mlinzi wa taarifa sahihi
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa
Taarifa potoshi huweza kuchochea mgawanyiko, kutengeneza hofu na hata kuamsha kauli za chuki (hate speech) zinazolenga makundi fulani kwa misingi ya kabila, dini, jinsia au itikadi
Ili kuepuka kuwa chanzo cha kusambaza taarifa potoshi hakikisha unafuatilia vyanzo vya taarifa vya kuaminika. Kataa kuwa daraja la uongo, kuwa mlinzi wa taarifa sahihi
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
PEMBA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kushughulikia uboreshwaji wa Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani akidai sio salama kwa Watumiaji kutokana na kuharibika
Anadai kuwa katikati ya njia hiyo kuna 'drainage' za kupitishia maji ambazo zimetengenezwa kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu hali ambayo ni hatari kwa Vyombo vya Usafiri na Watu
Soma https://jamii.app/BarabaraKengejaHatari
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #ServiceDelivery

Mdau wa JamiiForums.com ameandika "Kuna matukio ya baadhi ya Wanasiasa kujitokeza na kugawa ‘zawadi’ mbalimbali katika Majimbo, wapo wanaofanya hivyo hadharani na wakati mwingine mbele ya Kamera, ninachojiuliza, je, wanachokifanya ni Rushwa au ni zawadi za kawaida?”
Ikumbukwe, Aprili 30, 2025, akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (#TAKUKURU), Crispin Chalamila aliulizwa swali la aina hiyo na kusema “Kuhusu zawadi, unatakiwa kuangalia je, inatolewa muda gani? Tunaishi wote eneo hili na hujawai kutoa zawadi, iweje leo uje utoe zawadi ili hali umetangaza kugombea eneo hilihili, hizo zawadi lazima ziangaliwe.”
Soma https://jamii.app/ZawadiWanasiasa
#JamiiForums #Accountability #Misinformation #Disinformation #ElectionInformation2025 #MisDis2025

❤3
TANZIA: Nyota wa #Liverpool, #DiogoJota (28) amefariki Dunia kutokana na ajali ya gari iliyotokea Nchini Uhispania ikiwa ni wiki mbili tangu afunge ndoa na Rute Cardoso, ambapo Wanandoa hao wana Watoto watatu
Taarifa zinaeleza ajali hiyo imetokea wakati akisafiri kwa gari akiwa na mdogo wake Andre (26) ambaye naye amepoteza maisha baada gari lao kuacha njia, na kwenda kugonga sehemu na kisha kuwaka moto
Winga huyo raia wa Ureno enzi za uhai wake alipata nafasi ya kucheza katika timu kadhaa; Paços de Ferreira, Atlético Madrid, Porto, Wolverhampton Wanderers kisha akatua Liverpool Mwaka 2020
Soma https://jamii.app/RIPDiogoJota
#JamiiForums #JFSports #RIPDiogoJota

DAR: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema tathmini iliyofanyika imebaini eneo la Kawe linalolalamikiwa na baadhi ya Wananchi wa Kawe kuwa barabara imezibwa kutokana na ujenzi wa Kanisa la Arise and Shine, sio sahihi
DC amesema licha ya Wananchi kutumia barabara hiyo muda mrefu, haipo rasmi kwenye ramani, ameelekeza busara itumike kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na uongozi wa Kanisa la Mwamposa waangalie uwezekano wa kuweka njia kwa ajili ya Wananchi na kuruhusu Watoto kutumia baadhi ya maeneo kwa michezo
Kuhusu madai ya miundombinu ya maji kuharibiwa, Mhandisi Erasto Mwakilulele wa #DAWASA Kawe amesema wameanza kazi ya kuboresha miundombinu ili huduma ya maji irejee haraka kwa Wananchi
Soma https://jamii.app/KaweUjenzi
#JamiiForums #Accountability #CovilRights #Governance #JFMatukio

🔥1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla amesema jumla ya Wanachama 4,109 wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025 kupitia chama hicho
Amesema "Kwa takwimu za haraka, waliochukua fomu katika majimbo yote Tanzania Bara wako 3,585 na Zanzibar 524. Kwa hiyo, katika Majimbo tu, wanachama walioonesha nia wako 4,109, na tuna Majimbo 272."
Aidha, ameongeza kuwa upande wa Wagombea wa Udiwani wanaendelea kuchakata lakini wanatarajia kuwa na zaidi ya Wagombea 15,000, na kwamba jumla ya Wagombea wote (Ubunge na Udiwani) wanatarajiwa kuwa zaidi ya 20,000
Soma https://jamii.app/WaliochukuaFomuCCM
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Amesema "Kwa takwimu za haraka, waliochukua fomu katika majimbo yote Tanzania Bara wako 3,585 na Zanzibar 524. Kwa hiyo, katika Majimbo tu, wanachama walioonesha nia wako 4,109, na tuna Majimbo 272."
Aidha, ameongeza kuwa upande wa Wagombea wa Udiwani wanaendelea kuchakata lakini wanatarajia kuwa na zaidi ya Wagombea 15,000, na kwamba jumla ya Wagombea wote (Ubunge na Udiwani) wanatarajiwa kuwa zaidi ya 20,000
Soma https://jamii.app/WaliochukuaFomuCCM
#Siasa #Democracy #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
❤3
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu inathamini Viongozi wa Dini na Dini kwa kuwa inaongoza Wananchi wenye dini, isingependa kuona Haki zao zinapuuzwa au kudogoshwa
Amesema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Julai 3, 2025
Soma https://jamii.app/Samiahakizakidini
#JamiiAfrica #HakiyaKuabudu #JamiiForums #HumanRights #Uwajibikaji

❤3👏1
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kushughulikia kero ya baadhi ya Makondakta wa Daladala kuongeza nauli wakati wa Usiku bila taarifa rasmi
Soma https://jamii.app/NauliKupandaUsiku
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji