ZANZIBAR: Timu ya Yanga imethibitisha kuwa Msimu wa Mwaka 2024/25 ni ‘mali yao’, baada ya kutwaa Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 kwa kuifunga Singida Black Stars Magoli 2-0 katika Fainali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan
Wafungaji waliopeleka furaha kwa #Yanga katika mchezo wa leo Juni 29, 2025 ni Duke Abuya dakika ya 40 na Clement Mzize dakika ya 50
Ikumbukwe, Yanga ilianza msimu huu kwa kubeba Ngao ya Jamii, ikashinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo, na kwa kunogesha zaidi ubingwa huo ilishinda michezo yote miwili dhidi ya #Simba ambao ni Wapinzani wao wa Jadi, pia ilitwaa Kombe la Muungano
Soma https://jamii.app/FainaliZanzibar
#JFSports #JamiiForums #JamiiAfrica

❤2
Kusoma kwa undani habari hizi na mengine yaliyojiri juma lililopita bofya https://jamii.app/YaliyojiriJumaLililopita
#JamiiForums #YaliyojiriJumaLililopita #JFToons

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu 52 waliokamatwa jana Juni 29, 2025 kwa kufanya mkusanyiko usio halali wenye lengo la kuleta vurugu, huku wakitaka kuingia kwenye Barabara yenye magari mengi katika eneo la Ubungo-Kibo
Kamanda Muliro amesema Watu hao walikuwa wakisali Kanisa la Kiinjili la Afrika Mashariki (KKAM) na baada ya kumaliza ibada, wakati wenzao wakitawanyika kwa amani, wao walitoka na kufanya mkusanyiko huo
Soma https://jamii.app/52Wahojiwa
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance #Democracy #HumanRights

❤1
Ulitumia mbinu gani ili kuendelea na Maisha baada ya kumpoteza Ndugu/Rafiki wa karibu sana?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KumsahauAliyefariki
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFChitChats #JFStories #Maisha

Mdau wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki ndani ya JamiiForums.com ameanzisha mjadala kuwa simu huchangia sana ugomvi kwenye mahusiano
Mdau, simu zimewahi kuwa chanzo cha uhusiano wako kuvurugika? Ilikuwaje?
Mjadala https://jamii.app/SimuKuvurugaMahusiano
#JamiiAfrica #JamiiForums #Maisha #LifeStyle

Juni 16 hadi 20, JamiiAfrica iliendesha mafunzo kwa vitendo kwa Maafisa wa TAKUKURU kuhusu Usimamizi, Matumizi, Usalama na Utengenzaji wa Maudhui katika Mitandao ya Kijamii yaliyofanyika Dar es Salaam
Mafunzo haya yalilenga kuwajengea uwezo katika matumizi ya majukwaa mbalimbali ya Mitandao pamoja na uhakiki wa Taarifa Mtandaoni kwa ajili ya Mawasiliano ya Umma
Washiriki walijifunza namna ya kuandaa maudhui bora na kutumia zana tofauti ili kuendesha shughuli za kila Siku Mtandaoni. Pia, walipata Maarifa kuhusu kupanga Maudhui ya Wiki na kujilinda dhidi ya hatari za Usalama wa Kidigitali
#JamiiForums #JamiiAfrica #DigitalRights #SocialMediaManagement #InformationFactChecking

MARA: Mdau wa JamiiForums.com amependekeza Serikali iratibu utaratibu utakaohusisha Maafisa wa Kodi, mmiliki wa Kremu na Mmiliki wa Shimo la Uchimbaji Madini, kufanya Malipo ya 1% wanayotakiwa kuitoa kwa kila Shimo kwa kutumia 'Control Number'
Pia, amependekeza kila Shimo la Makinikia liwe na 'Control Number' yake na uratibu huu ufanywe chini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (#TRA) akidai Maafisa wa Madini wanahusika kwenye Ubadhirifu wa kuikosesha Serikali Mapato kwa kuuza Mgao wanaoupata kwa Matajiri wanaofahamiana nao na Pesa huishia Mifukoni mwao.
Soma https://jamii.app/WiziMaleraNyamongo
#JamiiForums #Accountability #JamiiAfrica #Uwajibikaji