KENYA: Kiongozi wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga amelaani kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, baada ya kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi na kuwaua raia watakaosogelea kituo cha Polisi katika maandamano
Akizungumza na wakazi wa Bondo Juni 29, 2025, Raila amesema kuwa kuwa Polisi hawana leseni ya kuua, na kwamba matamshi ya aina hiyo yanakiuka utawala wa sheria na kuonesha dharau kwa thamani ya maisha ya binadamu.
Amesema "Polisi hawapaswi kamwe kuamrishwa kupiga risasi kuua, mtu akifanya kosa, apelekwe Mahakamani,"
Soma https://jamii.app/PolisiKuuaRaiaKenya
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #Accountability #Uwajibikaji

❤1
Upatikanaji wa taarifa sahihi ni silaha ya kwanza ya Raia katika kulinda Uhuru, Haki na Maendeleo ya Taifa lao.
Kama Wananchi hawapewi au hakuna upatikanaji wa taarifa sahihi, huwezi kuwategemea kufanya maamuzi ya Busara kuhusu Nchi yao. Hii huacha nafasi kwa Udanganyifu, Uongozi mbovu na Ukandamizaji.
#JamiiForums #JamiiAfrica #Democracy #RestlessDevelopment #CivicEducation #UraiaWenyeUelewa

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumza leo Juni 30, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amedai hotuba ya Rais Samia Suluhu aliyoitoa Ijumaa ya Juni 27, 2025, ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa Vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi
Soma https://jamii.app/HecheHotubaYaRais
#Democracy #JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025

Kila Juni 30, huwa ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mitandao Kijamii.
Kaulimbiu ya Mwaka 2025; “Kuwainua Wanaosema, Kujenga Jamii,” inaangazia jinsi majukwaa kama Facebook, Instagram, X (zamani Twitter), TikTok na LinkedIn yanavyowapa Watu na taasisi nguvu ya kusimulia hadithi zao, kuunganishwa na Dunia, na kuunda Jamii jumuishi na zenye ushirikiano.
Ni Mtandao gani wa Kijamii unaoupenda zaidi na kwa nini?
Soma https://jamii.app/SocialMediaDay
#JamiiForums #JamiiAfrica #SikuYaMitandaoYaKijamii #SocialMediaDay
Kaulimbiu ya Mwaka 2025; “Kuwainua Wanaosema, Kujenga Jamii,” inaangazia jinsi majukwaa kama Facebook, Instagram, X (zamani Twitter), TikTok na LinkedIn yanavyowapa Watu na taasisi nguvu ya kusimulia hadithi zao, kuunganishwa na Dunia, na kuunda Jamii jumuishi na zenye ushirikiano.
Ni Mtandao gani wa Kijamii unaoupenda zaidi na kwa nini?
Soma https://jamii.app/SocialMediaDay
#JamiiForums #JamiiAfrica #SikuYaMitandaoYaKijamii #SocialMediaDay
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Binadamu wote sio wakamilifu, tunafanya makosa mara kwa mara, tunatenda au kunena yale ambayo yanaweza kutuletea madhara katika maisha yetu na wenzetu
Pamoja na uhalisia huo, epuka kufanya tena makosa ambayo unajua kabisa kuwa ni makosa. Ukijua jambo si sahihi, usilifanye.
Soma https://jamii.app/UsirudieKosa
#JamiiForums #JamiiAfrica #AmkaNaJamiiAfrica #GoodMorning #Maisha

Mdau wa JamiiForums.com ameomba Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi (HESLB) kutatua Changamoto ya Uelewa wa Kipengele cha Anuani ya Makazi (NaPA) kwa Watendaji wa Mitaa na Vijiji au irejeshe Mfumo wa zamani ambao hauna changamoto kwa Waomba mkopo.
Soma https://jamii.app/NapaHeslbHakieleweki
#JamiiForums #Accountability #JamiiAfrica #Uwajibikaji #TEHAMA #SerikaliMtandao

DAR: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, #TunduLissu, inatarajiwa kutajwa leo Julai 1, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo tayari amefikishwa Mahakamani hapo na Ulinzi umeimarishwa
Kesi hiyo iliahirishwa Juni 16, 2025 kutokana na Mawakili wa Serikali, kupitia Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, kuomba ahirisho baada ya kuieleza Mahakama kuwa jalada la kesi lipo kwa DPP analipitia kisha atatoa taarifa kuhusu upelelezi ulipofikia na kama kesi hiyo iende Mahakama Kuu au hapana
Lissu alitangaza kujitetea mwenyewe akidai hakuna Mazingira rafiki ambayo yalikuwa yamemuwezesha kukutana na Mawakili wake ambao walikuwa wakienda Gerezani
Soma https://jamii.app/LissuJulai1
#JamiiForums #JamiiAfrica #CivilRights

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA Bara, John Heche akizungumza jana Juni 30, 2025, amesema Kilimo cha Tanzania kimefeli na hiyo imesababisha kuwe na ongezeko la uagizaji wa mazao kutoka nje, pia amesema Migodi inakabidhiwa kwa Wageni ambao ndio wanawekeza kwa wingi
Soma https://jamii.app/HecheJuni30
#Democracy #JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Soma https://jamii.app/HecheJuni30
#Democracy #JamiiForums #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
Vipi Mdau, unajali mwonekano wako Kimavazi au ni wale ili Mradi umevaa?😂😂😂
Mjadala zaidi, https://jamii.app/KuvaaVizuri
#JamiiForums #JamiiAfrica #Uwajibikaji #LifeStyle #Fashion #JFChitChats #JFStories
Mjadala zaidi, https://jamii.app/KuvaaVizuri
#JamiiForums #JamiiAfrica #Uwajibikaji #LifeStyle #Fashion #JFChitChats #JFStories
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa #CHADEMA Taifa, #TunduLissu, amesema baada ya malalamiko aliyowasilisha Wiki mbili zilizopita (Juni 16, 2025) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuhusu kutopata Huduma nzuri akiwa Gerezani, ameeleza malalamiko yake yamefanyiwa kazi na sasa anapatiwa Huduma kama alivyopendekeza
Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini linalomhusu
Soma https://jamii.app/LissuJulai1
#JamiiForums #JamiiAfrica #CivilRights
Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini linalomhusu
Soma https://jamii.app/LissuJulai1
#JamiiForums #JamiiAfrica #CivilRights
❤1
Mdau wa JamiiForums.com amelalamikia hali ya Vitambulisho vya #NIDA kufutika Maandishi kwa kipindi cha muda mfupi, huku akidai ukienda kwa Mamlaka husika kutoa taarifa unaambiwa ujaze fomu upya na kuleta 'loss report' halafu ulipie Tsh. 20,000 ili upewe Kitambulisho kingine
Vipi Mdau, umeshakutana na hali hii ya Kitambulisho cha NIDA kufutika Maandishi muda mfupi baada ya kukipata?
Soma https://jamii.app/NIDAKufutika
#JamiiForums #Accountability #JamiiAfrica #Uwajibikaji