Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Akijibu hoja ya Mbunge Joseph Mkundi aliyesema takwimu zinaonesha Wagonjwa wengi wa Saratani waliopo Hospitali ya Ocean Road wanatokea Kanda ya Ziwa, hivyo kushauri Serikali iboreshe Hospitali ya Rufaa ya Bugando Kitengo cha Saratani ili kusaidia mgawanyo wa Huduma, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema dhana hiyo ya utafiti sio sahihi
Dkt. Mollel amesema utafiti unaonesha Wagonjwa wengi waliopo kwenye Ocean Road wanatokea Kanda ya Kaskazini na sio Kanda ya Ziwa kama ambavyo imekuwa ikiaminika
Soma https://jamii.app/SarataniUtafitiMpya
#JamiiForums #Afya #PublicHealth

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani 2025, usikose kushiriki mjadala muhimu kuhusu nafasi ya Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) katika mabadiliko ya tasnia ya habari, ambapo tutajadili fursa, changamoto na mustakabali wa Uandishi Huru wa Habari
Ni Jumanne hii, Aprili 15, 2025, Saa 12 Jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kujiunga bofya https://twitter.com/i/spaces/1eaKbWezOjZGX
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Ni Jumanne hii, Aprili 15, 2025, Saa 12 Jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kujiunga bofya https://twitter.com/i/spaces/1eaKbWezOjZGX
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyoni, Kapteni John Chiligati, amesema kuna tabia za Rushwa zinaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi, akitoa wito wa kukomesha tabia hizo
Amesema "Embu Mwaka huu tujitahidi kabisa, kabisa hasa ndani ya CCM. Hawa watoa #Rushwa wanaotaka kununua Uongozi, Uongozi unakuwa kama bidhaa, kama ni mnada, mwenye hela nyingi ndio anapata, aibu kwa Chama chetu, aibu kabisa."
Soma https://jamii.app/UongoziMnada
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance #Demokrasia #KemeaRushwa

Ni kwa namna gani matumizi ya AI katika Sekta ya Habari yanaweza kuhakiki usahihi ukweli wa taarifa na kugundua Habari za uongo?
Kufahamu haya na mengine, usikose kujiunga nasi katika Mjadala maalum na Wataalamu, Jumanne hii kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kujiunga bofya https://twitter.com/i/spaces/1eaKbWezOjZGX
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia

DODOMA: Uamuzi huo umetolewa na jopo la Majaji Winfrida Korosso, Sam Rumanyika na Abdul-Hakim Ameir Issa, walipokubali rufaa iliyokatwa na Kamishna Mkuu wa TRA dhidi ya Vodacom, ambayo ilipinga uamuzi wa awali wa Bodi ya Rufaa ya Kodi pamoja na Baraza la Rufaa ya Kodi
Awali, Bodi na Baraza la Rufaa ya Kodi waliamua kuwa wajibu wa kulipa Kodi ya zuio unatokea wakati riba inalipwa, na si wakati mpokeaji wa riba anapopata haki ya kupokea malipo hayo. Hivyo, waliona kuwa Vodacom haikustahili kutozwa riba kwani ililipa na kuwasilisha kodi hiyo kwa mujibu wa kifungu cha 82(1) na 84(1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato
Hata hivyo, Mahakama ya Rufani imebatilisha maamuzi hayo na kusisitiza kuwa riba hiyo inapaswa kulipwa kutokana na Ucheleweshaji wa ulipaji wa kodi ya zuio
Soma https://jamii.app/VodacomNaTRA
#JamiiForums #Accountability

MAREKANI: Serikali kupitia Tume ya Biashara imeishtaki Kampuni ya #Meta, ikidai ununuzi wa Mitandao ya Kijamii ya #Instagram na #WhatsApp ulikuwa na nia ya kuondoa Ushindani katika Sekta ya Mitandao ya Kijamii
Kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa leo Aprili 14, 2025, Washington DC inatarajiwa kuchukua Wiki kadhaa, huku Mwanzilishi wa Meta, Mark Zuckerberg, pamoja na aliyekuwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji, Sheryl Sandberg wakitarajiwa kutoa ushahidi
Imeelezwa, ingawa FTC iliidhinisha manunuzi ya Mitandao hiyo, imeendelea kufuatilia athari zake kwa ushindani wa soko na kama itashinda kesi hiyo, Meta inaweza kulazimika kuuza Instagram na WhatsApp
Meta si Kampuni pekee ya Teknolojia inayochunguzwa kwa tuhuma za ukiritimba. Google pia inakabiliwa na uwezekano wa kulazimishwa kuuza kivinjari (Browser) chake cha #Chrome ili kuvunja utawala wake katika soko la Utafutaji mtandaoni (Online Search)
Soma https://jamii.app/MetaKuuzaIgNaWhatsApp
#JamiiForums #EmbracingTechnology #DigitalWorld

JamiiAfrica is seeking a visionary, tech-savvy and strategic leader to serve as the Digital Democracy Hub Coordinator. This is a pivotal role in advancing our vision of Digital Democracy; where technology and Digital Platforms are used to Amplify Citizen Voices, Promote Accountability and Enhance Participatory Governance
Qualifications and Experience:
• Bachelor’s or Master’s degree in Digital Media, ICT for Development, Public Policy, Political Science, Communication or related field.
• At least 5 years of experience in digital innovation, civic tech, media, governance, or related development work
• Proven track record in managing digital platforms or initiatives that promote social impact.
Send your CV, Cover Letter and Contact Details for three Referees to vacancies@jamii.africa with the subject line: Application for the Digital Democracy Hub Coordinator – JamiiAfrica
For more info visit https://jamii.app/DigitalDemocracyHubCoordinator
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities

❤1
JamiiAfrica seeks two skilled and creative Graphic Designers to join our Digital Democracy Hub. This is more than just a design role, you'll be a Visual Storyteller helping to shape how Citizens connect with Information, Express themselves and Engage with Governance issues.
Qualifications and Experience:
• At least 3 years of experience in graphic design, preferably within NGOs, social enterprises or advocacy-related work.
• Graphics Designer related Certificate or reference
• Familiarity with modern design software and technologies (Creative Suites and other graphic designing software)
• Strong portfolio showcasing a range of creative work.
• Bonus: Skills in motion graphics, animation or video editing.
Send your CV, a Cover Letter, and a Portfolio of your work (or a link to it) to vacancies@jamii.africa with the subject line: Application for Graphic Designer - JamiiAfrica
For more Info visit https://jamii.app/GraphicDesigners
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities
Qualifications and Experience:
• At least 3 years of experience in graphic design, preferably within NGOs, social enterprises or advocacy-related work.
• Graphics Designer related Certificate or reference
• Familiarity with modern design software and technologies (Creative Suites and other graphic designing software)
• Strong portfolio showcasing a range of creative work.
• Bonus: Skills in motion graphics, animation or video editing.
Send your CV, a Cover Letter, and a Portfolio of your work (or a link to it) to vacancies@jamii.africa with the subject line: Application for Graphic Designer - JamiiAfrica
For more Info visit https://jamii.app/GraphicDesigners
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkazi wa Goba Matosa, Uzaramoni kupitia Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com amelalamikia kero ya kuzingirwa na Maji kutokana na udogo wa Kalavati kwa takriban Miaka Miwili
Amedai wamelalamika mara kwa mara hadi kufikia hatua ya kuandika barua kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (#TARURA) lakini kila wanapofanya hivyo anadai kuna Maafisa wanaenda kupiga picha na kuondoka, bila kushughulikia tatizo
Ametoa wito kwa wahusika kushughulikia changamoto hiyo kwa kuwa inawaumiza wengi na inahatarisha Maisha Watu pia
Soma https://jamii.app/KalavatiGobaMatosa
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #HudumaZaKijamii

Tukilinda Uhuru wa Vyombo vya Habari, tunahakikisha Wananchi wanapata taarifa sahihi, kwa wakati, na kwa uwazi. Hii huwasaidia kufanya maamuzi sahihi
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia
DAR: Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) imeendelea Aprili 14, 2025, ambapo shahidi wa pili kati ya sita upande wa Jamhuri ametoa ushahidi wake
Shahidi huyo Mtaalamu wa Afya aliyetoa ushahidi wake kwa Saa tatu, amesema vipimo alivyofanya kwa Mtoto anayedaiwa kulawitiwa alipofikishwa Hospitalini, alibaini ameharibika kwa kiwango kikubwa sehemu yake ya haja kubwa
Baada ya ushahidi wake kukamilika na kufanyiwa 'Cross-Examination' na Wakili wa Utetezi, Mahakama imeahirisha shauri hilo mpaka Aprili 15, 2025 ambapo shahidi wa tatu upande wa Jamhuri anatarajiwa kutoa ushahidi wake
Ikumbukwe, Novemba 12, 2024, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?”. Novemba 15, 2024 Jeshi la Polisi likamfikisha Mtuhumiwa Mahakamani kwa mara ya kwanza
Soma https://jamii.app/TuhumaZaUlawiti
#JamiiForums

👍1
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com anasema Taarifa ya Februari 2025 ya Kamati Tendaji ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) baada ya kufanya Ukaguzi wa Ujenzi wa Soko hilo ilieleza kuwa ujenzi ulikuwa umefikia asilimia 99 lakini hadi sasa, Soko hilo halijazinduliwa rasmi na shughuli za Kibiashara hazijaanza
Ametoa wito kwa TAMISEMI na Mamlaka nyingine husika kufuatilia kwa karibu kama soko limekamilika basi lianze kutumika mara moja, na kama kuna ucheleweshaji usio na sababu, hatua zichukuliwe kwa wahusika ili kuweka Uwajibikaji mbele
Soma https://jamii.app/SokoKuuMwz
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #HudumaZaKijamii #Governance

Kadiri Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) inavyoendelea kukua kwa kasi katika maisha yetu ya kila siku, sekta ya Habari nayo haijaachwa nyuma. AI inabadilisha namna tunavyokusanya, kuchakata na kusambaza taarifa. Lakini je, inaathiri vipi Uhuru wa kujieleza? Inasaidia au inahatarisha Uadilifu wa Vyombo vya Habari?
Kufahamu haya usikose kushiriki katika Mjadala maalum kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, tukijadili kwa kina nafasi ya AI katika Sekta ya Habari, changamoto, fursa na wajibu wa wadau kuhakikisha matumizi yake yanakuwa ya Haki, salama na yenye kulinda misingi ya #Demokrasia
Ni Jumanne hii, Aprili 15, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia #Xspaces ya JamiiForums
Kujiunga bofya https://jamii.app/WPFD2025XSpace
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #PressFreedom #AIandMedia