Akizungumza katika mjadala kuhusu “AI na kesho ya Vyombo vya Habari:Fursa au Tishio” Mhariri Mtendaji Mkuu (The Chanzo), Tony Alfred amesema AI imesaidia kurahisisha kazi ambazo zingekuchukua muda mrefu, Mfano; kuandika hotuba
Ameongeza “Changamoto ni kwamba imesababisha mkanganyiko wa baadhi ya vitu kuwa na ugumu katika kutofautisha, mfano picha inaweza kutengenezwa kwa AI na ikawa ngumu kutambua kama ni halisi au la”
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy

Akizungumza katika mjadala kuhusu “AI na kesho ya Vyombo vya Habari:Fursa au Tishio” Mwandishi wa Habari (Crown Media), Imani Luvanga amesema Jamii haina budi kuichukulia AI kama fursa, kwani kila kitu kinachokuja kina faida na changamoto zake lakini hatuwezi kuikimbia
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kila Chombo cha Habari kutengeneza Sera kuhusu AI, kwa kuwa ili AI ifanye kazi inahitaji taarifa ambayo sisi ndio tunailisha
Ameongeza kwa kusema “ Kuna umuhimu wa kujiandaa na changamoto zake, Mfano; Kwenye suala la lugha inaweza kutafsiri tofauti na uhalisia, hivyo bila kuhakiki (fact check) inaweza kukupoteza na kukuondolea maana nzima”
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kila Chombo cha Habari kutengeneza Sera kuhusu AI, kwa kuwa ili AI ifanye kazi inahitaji taarifa ambayo sisi ndio tunailisha
Ameongeza kwa kusema “ Kuna umuhimu wa kujiandaa na changamoto zake, Mfano; Kwenye suala la lugha inaweza kutafsiri tofauti na uhalisia, hivyo bila kuhakiki (fact check) inaweza kukupoteza na kukuondolea maana nzima”
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
👍1
IMANI LUVANGA (Crown Media): Ukiendekeza uvivu kwa sababu ya matumizi ya AI ipo siku itakuaibisha, inaweza isiwe leo au kesho lakini itakapokuaibisha inaweza kuwa na madhara makubwa
Tusijifiche katika AI kuwa inatufanya kuwa wavivu, ukiona mtu wa hivyo ujue alikuwa mvivu siku zote ila anatumia tu AI kama kisingizio
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Tusijifiche katika AI kuwa inatufanya kuwa wavivu, ukiona mtu wa hivyo ujue alikuwa mvivu siku zote ila anatumia tu AI kama kisingizio
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Akichangia Mjadala Isack Nyaimaga ameshauri umakini wa taarifa tunazozipa AI ili kuepuka uwekaji wa Taarifa nyeti pamoja uhakiki wa taarifa kutoka AI kabla ya kuziweka mtandaoni
Ameongeza kuwa matumizi ya AI yamechochea ukuaji wa wa sekta mbalimbali ikiwemo uandishi, Ubunifu wa michoro sanifu n.k
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Ameongeza kuwa matumizi ya AI yamechochea ukuaji wa wa sekta mbalimbali ikiwemo uandishi, Ubunifu wa michoro sanifu n.k
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Akichangia Mjadala wa AI na kesho ya Vyombo vya Habari, Nuzulack Dausen (Nukta Africa) amesema wakati watu wakipoteza kazi kutokana na AI kuna watu wanapata kazi na fursa kutokana na uwepo wa AI
Ameeleza kuwa miaka kadhaa nyuma teknolojia ilipoingia majukumu ya Karani yalibadilika na inawezekana alipoteza kazi, kisha mtu mwingine akapata kazi kuratibu teknolojia husika
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Ameeleza kuwa miaka kadhaa nyuma teknolojia ilipoingia majukumu ya Karani yalibadilika na inawezekana alipoteza kazi, kisha mtu mwingine akapata kazi kuratibu teknolojia husika
#JamiiForums #WPFD2025 #AIForMedia #AIandMedia #PressFreedom #Democracy
Vipi wewe, 'Ex' wako alisema shida nini mpaka mkaachana?
Mjadala zaidi https://jamii.app/EXAboutYou
#JamiiForums #Maisha #LifeLessons #JFStories #JFChitChats

❤1
JamiiAfrica is seeking for a Monitoring, Evaluation and Learning (MEL) Specialist that will play a key role in strengthening our results-based programming through rigorous monitoring, insightful evaluation, and learning systems that inform adaptive management and strategic decision-making.
Qualifications & Experience:
- Bachelor’s Degree in Monitoring & Evaluation, Social Sciences, Development Studies, Public Policy or a related field. A Master’s degree is an added advantage.
- At least 5 years of progressive experience in MEL roles within NGOs, donor- funded projects, or civil society organizations.
- Proven expertise in both quantitative and qualitative MEL methodologies, tools, and software (e.g., Excel, Power BI, KoboToolbox, SPSS, etc.).
Send your CV, a Cover Letter and three References to vacancies@jamii.africa with the subject line: MEL Specialist– JamiiAfrica
For more info visit https://jamii.app/MELSpecialist
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
BUKOBA: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watanzania kupuuza Wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki Uchaguzi ni ya Kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo
Amesema "Vigezo vya kumzuia Mtu kushiriki Uchaguzi ni kama si Mtanzania, ana matatizo ya akili, amehukumiwa kwa kosa la jinai, au hana Kitambulisho cha MpigaKura. Kama hauna kasoro hizo, kwanini usitumie haki yako?"
Ameyasema hayo Aprili 14, 2025 katika Uwanja wa Mashujaa, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera
Soma https://jamii.app/WapingaUchaguziMsiwasikilize
#JamiiForums #Governance #Demokrasia #Uchaguzi2025

KENYA: Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua amedai kuwa tangu aondolewe Madarakani, nyumba zake nyingi zinalengwa na mashambulizi na pia amedai Maafisa wa Usalama wa Taifa wa Kenya (NIS) wamekuwa wakimfuatilia kwa siri, yeye na familia yake kupitia magari
Katika Barua yake kwa IGP, Gachagua alisema kuwa Novemba 2024, alivamiwa na kundi la watu alipokuwa msibani na alikoswakoswa kuuawa na pia mwezi Januari 2025, Mkewe alishambuliwa na kundi la wahalifu walioitwa "Well Known To You" lakini aliweza kutoroka
Gachagua amehoji kwanini hata baada ya kutoa taarifa kwenye mamlaka hakuna kitu kilichofanyika na hivyo amemuomba IGP Kanja ampe ulinzi binafsi
Soma https://jamii.app/GachaguaAombaUlinzi
#JamiiForums #Governance #Accountability #KenyapPolitics

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mdau ndani ya JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka kushughulikia kero ya chemba kutiririsha Maji taka yenye harufu katika baadhi ya Mitaa ya Kariakoo tangu Machi 2025
Amedai hali hiyo imekuwa changamoto ya kuzua hofu kwa Wakazi wa eneo hilo hasa kipindi hiki cha Mvua kwani Watu wapo hatarini kupata Magonjwa kutokana na chemba hizo kuwa karibu na Makazi na Biashara
Aidha, amedai kuna Maafisa wa #DAWASA walifika kuangalia hali hiyo siku kadhaa nyuma, hakukuwa na utatuzi uliofanyika na sasa hali inaendelea kuwa mbaya zaidi, Maji ni mengi na yanatoa harufu
Soma https://jamii.app/MajiTakaKeroKariakoo
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Mdau2025

ZANZIBAR: Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Kiongozi wa Chama hicho, Dorothy Semu, amesema baada ya tafakuri ya kina, Kamati ya Uongozi ya Taifa imeamua kuwa watashiriki kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi zote za Urais wa JMT, Urais wa Zanzibar, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani
Amesema Maamuzi hayo yamezingatia uchambuzi wa kina wa Kisiasa Nchini na uzoefu kutoka katika Nchi mbalimbali zilizo katika hali kama yetu Kisiasa
Soma https://jamii.app/PressACTApr16
#JamiiForums #Democracy #Governance #UchaguziMkuu2025 #KuelekeaUchaguzi2025

🙈1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DEMOKRASIA: Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema Uzoefu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019, Uchaguzi Mkuu 2020 na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaonesha kuwa thamani ya kura imepotea
Amesema Viongozi hawachaguliwi tena kwa kura za Wananchi na badala yake ni nguvu ya dola inayoamua nani awe Kiongozi, akiongeza kuwa ni mapinduzi dhidi ya Haki ya raia ya kuchagua Viongozi wao na ni hujuma isiyovumilika
Soma https://jamii.app/PressACTApr16
#JamiiForums #KuelekeaUchaguzi2025 #Governance #UchaguziMkuu2025

KENYA: Wanaume wanne ikiwemo raia wawili wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na raia mmoja kutoka Kenya wanashikiliwa kwa tuhuma za kumiliki na kufanyabiashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai 5,000 kwenye mirija 2,244 bila kibali.
Washtakiwa hao walikamatwa Aprili 5, 2025 katika maeneo tofauti, raia wa Ubelgiji walikamatwa katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Nakuru huku wengine walikamatwa Tofina Muthama Apartments, Nairobi
Aidha, Mzigo huo unakadiriwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 20.5, Watuhumiwa hao wamezuiliwa na wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Kituo cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA).
Soma https://jamii.app/MalkiaSiafu5000
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability

Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums.com wameshauri kutoajiri Marafiki katika Biashara au Kampuni yako kwani itakuwa ngumu kumuwajibisha
Je, unakubaliana na mtazamo huu?
Mjadala zaidi https://jamii.app/KumuajiriRafikiYako
#JamiiForums #JFChitChats #Lifestyle #LifeLessons #Maisha

❤1👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
UNGUJA: Mwenyekiti wa Chama cha #ACTWazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amesema wanaingia kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 wakiamini wao ni washindi kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar na kusisitiza kuwa Watawala waliopo Madarakani hawajawahi kushinda kwa Haki katika Chaguzi zote zilizopita
Othman ambae pia ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar amesema hayo Vuga Mjiji, leo Aprili 16, 2025 baada ya kurejesha fomu ya kugombea Urais kupitia Chama hicho
Soma https://jamii.app/OthmanApril16
#JamiiForums #UchaguziMkuu2025 #KuelekeaUchaguzi2025 #Governance #Democracy