Mdau wa Jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na Urafiki ndani ya JamiiForums.com ameanzisha Mjadala akisema alikuwa kwenye mahusiano na Mtu ambaye alikuwa mchoyo, anadai jamaa alikuwa na malengo lakini baada ya muda aligundua kuwa alikuwa mchoyo wa muda, hisia na maamuzi yote yalimhusu yeye tu
Anadai kila alipojaribu kueleza hisia zake, alinyamazishwa au kupuuzwa, hali hiyo ilimfanya ahisi kama mzigo. Hatimaye alijitoa kwenye uhusiano huo akijifunza kuwa ukarimu kwenye mapenzi unahusu zaidi upendo muda na hisia, si pesa pekee
Mdau, umewahi kuwa na Mtu mchoyo? Ilikuwaje?
Mjadala https://jamii.app/MpenziMchoyo
#JamiiForums #Maisha #LifeStyle

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#BUNGENI: Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo,.amesema hayo leo Aprili 16, 2025 Jijini Dodoma
Soma https://jamii.app/UfisadiArushaGambo
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji #Accountability #Transparency

Mjadala umeibuka JamiiForums.com ambapo mdau ametoa wito kwa Serikali kuweka Mifumo madhubuti ya kudhibiti, kusimamia na kuelekeza Uwekezaji wa kigeni ili kuhakikisha faida za Uwekezaji huo zinawanufaisha Watanzania wengi zaidi
Akipendekeza njia mojawapo ya kufanikisha hilo, mdau anashauri wawekezaji wa kigeni wahimizwe kuanzisha Viwanda hapa Nchini na kuhakikisha idadi kubwa ya Waajiriwa ni wazawa, badala ya kushiriki moja kwa moja katika Biashara ambazo tayari zinafanywa na Wazawa
Je, ni mikakati ipi inaweza kusaidia kusimamia Wawekezaji wa kigeni wasijihusishe na Biashara ndogondogo zinazofanywa na Wazawa?
Mjadala https://jamii.app/BiasharaWachinaVsWazawa
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Uchumi #Biashara

JamiiAfrica is seeking a visionary, tech-savvy and strategic leader to serve as the Digital Democracy Hub Coordinator. This is a pivotal role in advancing our vision of Digital Democracy; where technology and Digital Platforms are used to Amplify Citizen Voices, Promote Accountability and Enhance Participatory Governance
Qualifications and Experience:
• Bachelor’s or Master’s degree in Digital Media, ICT for Development, Public Policy, Political Science, Communication or related field.
• At least 5 years of experience in digital innovation, civic tech, media, governance, or related development work
• Proven track record in managing digital platforms or initiatives that promote social impact.
Send your CV, Cover Letter and Contact Details for three Referees to vacancies@jamii.africa with the subject line: Application for the Digital Democracy Hub Coordinator – JamiiAfrica
For more info visit https://jamii.app/DigitalDemocracyHubCoordinator
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFOpportunities #JamiiOpportunities

👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku (Musukuma) amesema hayo Aprili 16, 2025 #Bungeni wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya TAMISEMI
Soma https://jamii.app/CHADEMAWaruhusiweKusaini
#JamiiForums #Governance #KuelekeaUchaguzi2025 #UchaguziMkuu2025

❤1
DRC: Boti iliyokuwa na takriban abiria 400 imeshika moto na kupinduka kwenye Mto Congo, Aprili 15, 2025 karibu na Mji wa Mbandaka, Kaskazini Maghariribi na kusababisha vifo vya Watu wasiopungua 50 na takriban Watu 100 kutoonekana
Kwa mujibu wa Kamishna wa Mto Congo, Competent Loyoko, ameliambia Shirika la Habari la Associated Press kuwa chanzo cha ajali hiyo ni Mtu mmoja aliyekuwa akipika kwenye Boti hiyo. Takriban waathirika 100 wamepelekwa kwenye makazi ya muda katika Ukumbi wa Mji wa Mbandaka
Ajali za Boti ni za kawaida katika Nchi hiyo ya Afrika ya Kati, ambapo Desemba 2024 Watu 38 walifariki baada ya Kivuko kuzama na Oktoba 2024 Boti moja ilizama katika Ziwa Kivu, na kuua Watu 78.
Soma https://jamii.app/BotiKuwakaMoto
#JamiiForums #JFMatukio

KENYA: Katika Wosia wa Jenerali Francis Ogolla ameacha mali zake zote, zikiwemo Ksh. Milioni 150 (Tsh. Bilioni 3) kwa Mkewe na Watoto wake Wawili pekee
Wosia haukuwataja ndugu zake wengine, hali iliyoibua mjadala Mkali mtandaoni baina ya pande tatu, upande mmoja ukisema ni ubinafsi, mwingine unasema ni haki yake lakini mwingine unasema inategemea na uhusiano uliopo baina ya ndugu
Mdau, unasemaje? Katika wosia wako ndugu nao watapata chochote kitu au wataambulia "Kila la Heri?"
Mjadala https://jamii.app/UmuhimuWaUrithi
#JamiiForums #Urithi #Maisha #UmuhimuWaWosia

Shule za Msingi 35 na Shule za Sekondari 148 zilijengwa kwenye Ardhi isiyopimwa kwa Tsh. Bilioni 125.14, hali inayoweza kusababisha migogoro ya Ardhi na changamoto za uendelevu wa Miradi
Ripoti ya CAG ya Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 inasema pia Mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 13.45 ilisainiwa bila kupitia uhakiki wa kisheria, hali inayoongeza hatari za Kisheria na Kifedha. Pia, kulikuwa na riba ya Tsh. Bilioni 1.29 iliyotokana na ucheleweshaji wa malipo kwa Wakandarasi
Aidha, malipo ya awali ya Tsh. Bilioni 13.79 yalifanyika bila dhamana, jambo linaloongeza hatari za Kifedha kwa Serikali ikiwemo upotevu wa Fedha hizo iwapo Mkandarasi atashindwa kutekeleza wajibu wake
Soma https://jamii.app/CAGMiradiMaendeleo
#RipotiYaCAG25 #RipotiCAG2025 #CAGMiradiMaendeleo #Accountability #JamiiForums #Transparency

Vipi Mdau, una maoni gani kuhusu Mtazamo huu?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MkateWaMwingineUchunge
#JamiiForums #Lifestyle #JFChitChats

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa onyo kwa Wananchi kutofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025 wakati Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, atakapofikishwa kwaajili ya kusikiliza kesi ya #Uhaini inayomkabili
Kamanda Muliro amesema Jeshi limefuatilia mipango ya Viongozi wa Chama hicho na kubaini siku hiyo kutafanyika vurugu, hivyo kusisitiza yeyote atakayejitokeza Mahakamani Siku hiyo atachukuliwa hatua kwa mujibu wa Sheria
Onyo hilo ni kufuatia wito uliotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, Aprili 16, 2025 aliyehamasisha Wanachama na Wananchi kufika kwa wingi Mahakamani kumtia moyo Kiongozi wao
Soma https://jamii.app/KesiYaLissu
#JamiiForums #Accountability #Governance

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 inaeleza jumla ya Tsh. Trilioni 8.44 zilikuwepo kwa ajili ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ikijumuisha bakaa ya Miaka iliyopita na Fedha zilizopokelewa ndani ya Mwaka
Kati ya Fedha hizo, Tsh. Trilioni 5.93 zilitumika huku Tsh. Trilioni 2.50 hazikutumika hadi kufikia Juni 30, 2024 na kwamba tathmini ya Utendaji wa Kifedha ilibaini changamoto kadhaa, ikiwa ni pamoja na Fedha za Mradi kiasi cha Tsh. Milioni 635.44 zilizokopwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutorejeshwa
Pia, malipo ya Tsh. Milioni 892.92 yalifanywa bila ya kazi iliyokamilika kuthibitishwa na Mhandisi Mshauri.
Soma https://jamii.app/CAGMiradiMaendeleo
#RipotiYaCAG25 #RipotiCAG2025 #CAGMiradiMaendeleo #Accountability #JamiiForums #Transparency
Kati ya Fedha hizo, Tsh. Trilioni 5.93 zilitumika huku Tsh. Trilioni 2.50 hazikutumika hadi kufikia Juni 30, 2024 na kwamba tathmini ya Utendaji wa Kifedha ilibaini changamoto kadhaa, ikiwa ni pamoja na Fedha za Mradi kiasi cha Tsh. Milioni 635.44 zilizokopwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutorejeshwa
Pia, malipo ya Tsh. Milioni 892.92 yalifanywa bila ya kazi iliyokamilika kuthibitishwa na Mhandisi Mshauri.
Soma https://jamii.app/CAGMiradiMaendeleo
#RipotiYaCAG25 #RipotiCAG2025 #CAGMiradiMaendeleo #Accountability #JamiiForums #Transparency
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Familia ya Raphael Majembe ikizungumza na Wanahabari Aprili 11, 2025 ilidai ndugu yao, Nestory Raphael Majembe (29) amefariki akiwa chini ya ulinzi katika Kituo cha Tabata Shule na kudai kabla ya mauti kumkuta alishambuliwa kwa kipigo akituhumiwa kuiba Simu
Familia hiyo imedai Nestory alikamatwa Usiku wa Aprili 6, 2025, akawekwa mahabusu ambapo baadaye Polisi waliwajulisha amefariki kwa kujiua jambo ambalo wanapinga na kuomba Mamlaka za juu ziagize uchunguzi
JamiiForums imezungumza na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Jumanne Muliro, kuhusu tuhuma hizo na amesema “Ndugu wa karibu wa Marehemu walikuja, tukachunguza na wakaelewa vizuri. Mashahidi ambao ni Ndugu zao walikuwepo, walieleza jambo lilivyokuwa mpaka huyo Mtu akapoteza Maisha.”
Soma https://jamii.app/PolisiTabata
#JFMatukio #JamiiForums #HumanRights #CivilRights #Accountability

Mdau wa JamiiForums.com, Wakili Bashir Yakub, anakumbushia kesi ya Uhaini iliyopata umaarufu ambayo wahusika walituhumiwa kupanga, kuratibu mipango ya kuiondoa Madarakani isivyo halali Serikali ya Mwalimu Julius Nyerere Miaka ya 1970
Watuhumiwa walipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha Maisha jela isipokuwa Oscar Kambona ambaye hakuwepo ndani ya Nchi.
Soma https://jamii.app/KosaLaUhaini
#JFSheria #JamiiForums #CivilRights #JFKumbukizi