Mdau ni kitu gani umewahi kusikia kuhusu popo lakini ukaja kugundua sio kweli?
Mjadala zaidi https://jamii.app/MamboKuhusuPopo
#JamiiForums #InternationalBatDay

DAR: CHADEMA imeomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu waliofungua kesi Mahakama Kuu wakiiomba Mahakama kutoa amri ya kusimamisha shughuli zote za Kisiasa za Chama hicho hadi shauri lao la msingi litakaposikilizwa na kutolewa maamuzi
Jambo TV imeripoti kuwa m Mawakili wamesema "CHADEMA wameambiwa wawasilishe majibu yao kabla au Mei 9, 2025, na kesi itakuja kutajwa Mei 12, 2025.”
Wapeleka maombi Saidi (aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA Zanzibar) na wenzake Ahmed Rashid Khamis na Maulida Anna Komu (Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini kutoka Zanzibar), wànadai wanatengwa, mgao wa mali hauzingatiwi na hata mishahara ni shida
Soma https://jamii.app/CHADEMAKesiUpdates
#JamiiForums #Kuelekea2025 #Democracy #Siasa

Vyombo huru vya Habari ni Sauti ya Jamii — tukivilinda, tunalinda Sauti zetu wenyewe.
#WorldPressFreedomDay #WPFD2025 #PressFreedom #MediaAndAI #AIForMedia

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DEMOKRASIA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kuna wengine wamesema wao hawashiriki uchaguzi na sio kazi yake kuwataka washiriki uchaguzi, kwa sababu ni haki ya kikatiba. Lakini msingi na jambo la maana ni je, mawazo yao yanatekelezeka kwa kipindi hiki?
Ameyasema hayo Aprili 17, 2025 Jijini Dodoma
Soma https://jamii.app/ReformsVsElections
#JamiiForums #Demokrasia #Accountability #Governance

👎1
MAISHA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Jamii kuzingatia kuwa Watoto hawachagui Wazazi wao, lakini Wazazi wana nafasi ya kuchagua aina ya Upendo na Maadili wanayowaachia Watoto wao
Mdau, Unadhani kuna sababu gani ya Mwanaume kutelekeza Mtoto anayejua ni wake?
Mjadala https://jamii.app/Kutelekeza_Mtoto
#JamiiForums #Maisha #Malezi

❤1
Ripoti ya CAG ya Miradi ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 imeeleza ukaguzi wa kiufundi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) haukuwa na Mpango wa dharura wa kuzuia na kukabiliana na maafa kwa jamii zilizo kando ya bwawa, hali ambayo inafanya wakazi wa maeneo hayo kuwa katika mazingira hatarishi
Vilevile, katika usimamizi wa Mikataba #TANESCO iliajiri kampuni ya kisheria bila kupata idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, jambo ambalo lilisababisha uwakilishi dhaifu wa kisheria katika kesi ya Bodi ya Usuluhishi wa Migogoro ya Mikataba
Aidha, jumla ya Tsh. Milioni 752.87 zililipwa kwa kampuni hiyo bila kukata kodi ya zuio ya Tsh. Milioni 143.94, pia fidia ya ucheleweshaji ya Tsh. Bilioni 327.93 haikukatwa kutoka kwa Mkandarasi, jambo lililopunguza uwajibikaji wa kimkataba
Soma https://jamii.app/CAGMiradiMaendeleo
#RipotiYaCAG25 #RipotiCAG2025 #Uwajibikaji #CAGMiradiMaendeleo #Accountability #JamiiForums #Transparency

👍2❤1
SIMIYU: Mtumiaji wa Jukwaa la JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka ikiwemo ya Bonde la Ziwa Viktoria ambao ndio wasimamizi wa Mradi, kuwafanyia tathmini ya ardhi ya Wananchi waliothiriwa na Ujenzi wa Bwawa la Maji katika Kijiji cha Iyogelo ili walipwe stahiki zao kama makubalino yalivyokuwa
Soma https://jamii.app/BwawaMaswa
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #SocialJustice #Governance #ServiceDelivery

🥰1
Taarifa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeeleza Watu tofauti wakiwemo Viongozi na Wanachama wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chama hicho, #TunduLissu anashikiliwa, lakini hawakufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo bila maelezo yoyote juu ya alipopelekwa
CHADEMA imelitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Lissu, huku ikisisitiza kuwa iwapo bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona
Soma https://jamii.app/LissuGereza
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa #Kuelekea2025

👍2
Ijumaa Kuu ni siku ya kutafakari upendo wa kweli na kujitoa kwaajili ya wengine
Tunawatakia Wakristo wote Ijumaa Kuu njema, yenye utulivu, imani na matumaini mapya
#JamiiForums #GoodFriday

👍1
UCHUMI: Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kwamba limefikia makubaliano ya awali na Serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa, itapokea Ufadhili wa takriban Tsh. Trilioni 1.18 (dola milioni 441.)
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika hilo makubaliano hayo yamefikiwa kama sehemu ya mapitio ya tano ya Mpango wa Mikopo ya Muda Mrefu (ECF) pamoja na mapitio ya pili chini ya Mpango wa Uhimilivu na Uendelevu wa Maendeleo (RSF).
Soma https://jamii.app/IMFUfadhiliTanzania
#JamiiForums #Transparency #JFUchumi #Economy

👍1👎1
DAR: Baada ya #CHADEMA kuzitaka Mamlaka za juu kueleza alipo Mwenyekiti wao, Tundu Lissu, wakidai hayupo katika Gereza la Keko, JamiiForums imewasiliana na Msemaji wa Jeshi la Magereza, Elizabeth Mbezi, ambaye amesema “bado sijazipata hizo taarifa
Alipoulizwa kama kuhamisha Watuhumiwa na Wafungwa ni siri, Elizabeth amesema "Inategemea na makosa, yapo makosa wanahamishwa kwa siri na yapo makosa hawahamishwi kwa siri."
JamiiForums ilipohitaji kujua tuhuma za Lissu ni kati ya ambazo zimo kwenye orodha ya wanaotakiwa kuhamishwa kwa siri, amesema "Ngoja nifuatilie kwanza."
Soma https://jamii.app/LissuGereza
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025