This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kulikuwa na tabia ya watia nia kutoa Fedha (Rushwa) kwa wajumbe wa mikutano mikuu ili wawapitishe kitendo ambacho amekiita ujambazi kwani wahusika walikuwa wakishachaguliwa hawafanyi kazi wanasubiri tena uchaguzi ufike watoe Rushwa na kupitishwa
Ameyasema hayo Februari 19, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya watendaji wa kata na makatibu tawi wa mkoa wa Dodoma
Ameongeza kwa kusema CCM imefanya mabadiliko ya kuongeza wajumbe katika Mikutano Mikuu ya Kata na Mikutano Mikuu ya Wilaya ili kupunguza mianya ya Rushwa iliyokuwa ikifanywa na watia nia
Soma https://jamii.app/KampeniZaRushwaUchaguzi
#JamiiForums #Governance #UchaguziMkuu25 #KemeaRushwa2025

Mdau wa Jukwaa la Siasa ndani ya JamiiForums.com ametoa wito kwa INEC na Serikali wa kuepuka makosa na dosari zinazoweza kusababisha Vyama Pinzani kulalamika katika Uchaguzi ujao ikiwemo tume kutenda #Haki, na kusiwe na figisufigisu za aina yoyote ile
Aidha, ametoa wito wa kuwaajiri Vijana waliomaliza Vyuo kusimamia Uchaguzi badala ya kuwatumia Watumishi wa Umma
Wewe unadhani dosari ipi nyingine ikishughulikiwa Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki?
Mjadala https://jamii.app/UchaguziWapinzani
#JamiiForums #Demokrasia #Democracy #FreeAndFairElection #Governance #Accountability #Transparency #Kuelekea2025

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SONGWE: Mkuu wa Mkoa, Daniel Chongolo, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kulipa madeni ya Watumishi na Wazabuni bila kuchelewa, akisisitiza "Lipeni madeni ya Watu, najua mlihitaji Huduma hizi kwasababu zilikuwepo kwenye bajeti, sasa hela ilienda wapi?"
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Februari 19, 2025, kupitisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26
Kupitia JamiiForums.com Wadau kadhaa waliojitambulisha ni Watumishi wa Umma na wengine Wazabuni, walidai wanapitia changamoto kutokana na kutolipwa baadhi ya stahiki zao. Mfano ni yule aliyedai Kada Mpya ya Afya Kilosa hawajalipwa Fedha za kujikimu na wakajulishwa watalipwa wakati hali ya kifedha itakapotengemaa
Soma https://jamii.app/MadeniWazawa
#Accountability #JamiiForums #Governance

❤2
Kwa Mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kifungu cha 60 ni kosa kwa mkusanyaji ambaye, bila sababu za msingi, atafichua taarifa binafsi kwa njia yoyote ambayo haiendani na madhumuni ambayo taarifa hiyo imekusanywa
Kwa mfano, Kampuni ya simu A kuuza au kutoa namba ya Simu kwa Kampuni B kwa madhumuni ya kutuma Matangazo ya Biashara au Michezo ya kubeti ni kosa linaloweza pelekea Kampuni zote mbili kulipa faini isiyopungua millioni moja na isiyozidi bilioni tano
Soma https://jamii.app/SheriaTaarifaBinafsi2022
#JFDigitali #DigitalRights #DataProtection #DataPrivacy #JamiiForums

Kwenye Mjadala unaoendelea Jukwaani, JamiiForums.com, Mwanachama anakumbushia kauli za Wazazi hasa Mama ambazo walikuwa wakizitoa kwa Mafumbo pale wanapotoa Maagizo kwa Watoto
Mfano akiwa anatoka anasema “Msiende kusanga hayo Mahindi nitakuja na Wali” au “Naenda kusuka Msiwape Ng'ombe Maji nitakuja na soda” au “Mtembee Mtaa wote wajue nilizaa watalii”
Wewe unakumbuka kauli gani kama hizo kutoka kwa Mzazi/Mlezi wako?
Soma https://jamii.app/MisemoMalezi
#JamiiForums #Malezi #Maisha #JFChitChats #JFStories

Jeshi la Polisi limewakamata Watu saba Mkoani Morogoro na wengine Watano Mkoani Mbeya wanaodaiwa kuendesha Biashara Haramu ya Fedha (Upatu) Mtandaoni bila kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
Watuhumiwa hao ni wawakilishi wa Kampuni ya Leo Beneth London (LBL) ambapo imebainika LBL imekuwa ikikusanya Fedha kwa kutumia mtandao kutoka kwa Wananchi pasipo kufuata taratibu zozote za kisheria
Soma zaidi https://jamii.app/MbaroniLBLMoroMbeya
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance

Japokuwa #Uwajibikaji ni msingi wa Maendeleo, tabia ya kujipendekeza kwa wenye Mamlaka (Uchawa) inazidi kuathiri Uwajibikaji wa Viongozi na Taasisi
Badala ya kuhoji, kusimamia, na kudai Uwajibikaji, baadhi ya Watu hujitokeza kutetea makosa kwa maslahi binafsi, jambo linalosababisha uvunjifu wa Maadili ya Utawala bora
Swali muhimu ni Je, ni kwa kiasi gani uchawa unachangia kuzorota kwa Uwajibikaji Nchini? Usikose kujiunga nasi katika kujadili tatizo hili na kutafuta suluhisho la kudumu kwa maslahi ya Taifa
Ni Alhamisi ya Februari 27 kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kujiunga Bofya https://jamii.app/KujipendekezaSpace
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance #TukemeeUchawa

❤1👍1
Mdau wa Jukwaa la Siasa ndani ya JamiiForums.com ameanzisha Mjadala kuhusu kuwasifia Viongozi badala ya kuwawajibisha kwa kushindwa kutumia Rasilimali zilizopo kuwaletea Wananchi Maendeleo
Anasema alidhani Wananchi wangewashtaki viongozi wa aina hiyo au kukaa kimya tu kwakuwa wamejitungia Sheria zinazokwamisha kuwajibishwa, lakini anashangazwa na tabia ya kuwasifia kwa kufanya vitu vidogo
Vipi Mdau, unadhani ni wakati gani Kiongozi asifiwe au awajibishwe? Na sawa kuwasifia hata wanapotimiza majukumu yao?
Mjadala https://jamii.app/ViongoziKusifiwaInTz
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance
Anasema alidhani Wananchi wangewashtaki viongozi wa aina hiyo au kukaa kimya tu kwakuwa wamejitungia Sheria zinazokwamisha kuwajibishwa, lakini anashangazwa na tabia ya kuwasifia kwa kufanya vitu vidogo
Vipi Mdau, unadhani ni wakati gani Kiongozi asifiwe au awajibishwe? Na sawa kuwasifia hata wanapotimiza majukumu yao?
Mjadala https://jamii.app/ViongoziKusifiwaInTz
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance
Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga (45) inadaiwa anashikiliwa katika Mji wa Juba tangu Februari 14, 2025 kwa tuhuma za kugonga na kusababisha kifo cha Mtu mmoja.
JamiiForums imewasiliana na Mke wa Dereva, Rehema Godfrey Mongi, aliyesema “Msaidizi wa Dereva, Hassan Juma Maganga ni Mtoto wangu, yeye aliachiwa, anazunguka kwa madereva Watanzania kuomba msaada wa chakula anampelekea baba yake, amesema Baba yake ana kidonda kikubwa kilichotokana na kipigo, hawampeleki hospitali, tunaomba Serikali itusaidie.”
Ameongeza “Pamoja na yote, mwanangu kasema kuna utata kuhusu Ajali hiyo, Mtu waliyemgonga ni Mwanaume lakini kwenye ripoti ya Polisi wanasomewa kuwa wamemgonga Mwanamke.”
Soma https://jamii.app/SudanKusiniAjali
#JFMatukio #JamiiForums #Diplomacy #JFDiplomasia

👍1
Mdau wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki ndani ya JamiiForums.com ameomba ushauri wa hatua za kuchukua baada ya Mzazi mwenzake kukata awaone Watoto kwa madai kuwa hakuhudumia Ujauzito
Mjadala zaidi https://jamii.app/HatakiNioneWatoto
#JamiiForums #LifeStyle #JFChitChats #LifeLessons #JFStories #Maisha