Haki ya Kupiga Kura kwa Uhuru ndiyo huamua Serikali, Sheria na Sera zinazoweza kuimarisha au kudhoofisha Haki za Watu
Huamua ni Sera gani zitatungwa kuhusu Uhuru wa kujieleza, Usawa mbele ya Sheria na Uhuru wa Vyombo vya Habari. Wananchi wakinyimwa Haki hii, wanapoteza sauti yao katika maamuzi muhimu ya Taifa.
Soma zaidi https://jamii.app/HakiKupigaKura
#HakiYaKupigaKura #Demokrasia #JamiiForums #HakiZaKiraia #CivilRights #HumanRights

👍1
Mdau wa JamiiForums.com amelalamikia kero ya Vifusi ambavyo anadai vilimwagwa katika Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuachwa bila kusambazwa tangu Mwaka 2024, hali inayowasababishia changamoto ya usafiri hasa kwa Magari
Ametoa wito kwa TARURA Mkoani Mbeya kushughulikia kero hiyo
Soma https://jamii.app/VifusiBarabaraMbeya
#JamiiForums #ServiceDelivery #HudumaZaKijamii #JFMdau2025 #Accountability #Uwajibikaji

Wanachama wa JamiiForums.com wanajadili kuhusu umbali wa sehemu Mtu anapoishi na sehemu anayofanyia kazi
Je, ni zipi faida au hasara za kuishi mbali au karibu na sehemu yako ya kazi? Wewe utachagua ipi na kwanini?
Kushiriki mjadala huu tembelea Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko au bofya https://jamii.app/KuishiKaribuNaKazini
#JamiiForums #Maisha #LifeStyle #LifeLessons

DAR: Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake imeshindwa kuendelea ikidaiwa shahidi upande wa Jamhuri ambaye alitakiwa kutoa ushahidi hakufika Mahakamani
Kesi hiyo ambayo iliitwa Mahakamani hapo Februari 6, 2025 ili kuanza kusikilizwa ushahidi imeahirishwa mpaka Februari 17, 2025
Aidha, inaelezwa shahidi anayezungumziwa (jina linahifadhiwa) amedai alikuwepo Mahakamani hapo kuanzia Saa 3:00 Asubuhi kwa maelezo ameifuatilia kesi hiyo hatua zote tangu inaanza, hivyo ameshangazwa na taarifa ya kuwa hakuwepo Mahakamani
Soma https://jamii.app/SalehAyoubFeb7
#JamiiForums #CivilRights #Justice #Governance

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, 55% ya Wanawake waliokeketwa Nchini walifanyiwa vitendo hivyo na Wakunga wa Jadi wakati wa kuzaliwa, 26% walifanyiwa na Mangariba, 17% hawakujua nani aliwafanyia Ukeketaji na 1% walikeketwa na Wataalamu wa Afya
Soma zaidi https://jamii.app/WMJJWMReportFGM
#JamiiForums #FGM #EndFGM #InternationalDayofZeroToleranceforFemaleGenitalMutilation #HerVoiceMatters

PWANI: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka kushughulikia uboreshwaji na ukarabati wa Barabara ya Mtengu kupitia Kilongoni Sheli ya TSN kuelekea Njia Nne kabla ya Daraja la Mtikatika kwani ni kero na kusababisha changamoto ya Usafiri kwa wakazi wa eneo hilo
Soma https://jamii.app/BarabaraMtenguIrekebishwe
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #Uwajibikaji #JFMdau2025

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MOROGORO: Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa #DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire amesema Bwawa la Kidunda likikamilika Juni 2026 litasaidia kuufanya Mto Ruvu ambao ni tegemeo kwa chanzo cha maji katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kutokauka na hivyo kusaidia kuondoa kero ya kukosekana kwa huduma hiyo
Amesema “Wakati wa kiangazi mikoa hiyo imekuwa na uhaba wa maji kwa kuwa 87% ya maji yanayozalishwa (Pwani na Dar) yanategemea Mto Ruvu, hivyo Bwawa hilo ambalo likikamilika litahifadhi Lita Bilioni 190 pia litakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme Megawati 20.”
Ikumbukwe kwa nyakati tofauti, Wadau wa JamiiForums.com wamelalamika kukosa huduma ya maji kwa muda mrefu maeneo tofauti ya Dar na Pwani, baadhi yao wakisai wanapata kwa mgawo na wengine wakisema hawana huduma kwa zaidi ya mwaka
Soma https://jamii.app/BwawLaKidunda
Video Credits: Daily News Digital
#JFHuduma #JamiiForums

MAREKANI: Nyota wa Kikapu, #LeBronJames ameendelea kuonesha ukomavu baada ya kuiongoza Timu ya Los Angeles Lakers kupata ushindi wa Vikapu 120-112 dhidi ya Golden State Warriors katika Ligi ya NBA
LeBron amefunga Pointi 42, ‘Ribaundi’ 17 na Asisti 8 katika mchezo huo na kumfanya aungane na nguli wa mchezo huo Michael Jordan kuwa Wachezaji wawili pekee waliofunga zaidi ya Pointi 40 katika mchezo mmoja wakiwa na umri wa Miaka 40 katika NBA
Jordan alianza kuweka rekodi hiyo Mwaka 2003, kwa kufunga pointi 43 akiwa Washington Wizards ilipocheza dhidi ya New Jersey Nets, LeBron ameifikia hiyo Februari 7, 2025
Soma https://jamii.app/40PointsNBA
#JFSports #JamiiForums #JFNBA25

Mwanaharakati, Mwimbaji na Mtunzi wa Nyimbo, Angélique Kidjo aliwahi kusema "Ikiwa tunataka kuishi katika Jamii inayojiita ya Watu waliostaarabika, Kupiga Kura ni mojawapo ya mambo muhimu ya kufanya"
Anasema "Kuna sehemu Duniani ambapo Watu hawajawahi Kupiga Kura kabisa na hata hawajui maana yake. Hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa Watu Uhuru wa kuchagua wanayetaka kumpigia Kura."
Soma https://jamii.app/KidjoRightVote
#HakiYaKupigaKura #Demokrasia #JamiiForums #HakiZaKiraia #CivilRights #HumanRights #Democracy

UWAJIBIKAJI: Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai Mfumo wa TANCIS uliozinduliwa Januari 20, 2025 unasumbua katikia ufanisi wake, JamiiForums iliwasiliana na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi - TRA, Richard Kayombo ambapo amesema wamepokea maoni na wanayafanyia kazi
Kayombo amesema "Wasiwe na hofu kuhusu Mfumo, unaweza kuwa na changamoto za hapa na pale kwa kuwa ni mpya, cha msingi ni kujipanga, nawasisitiza yeyote mwenye maoni atuletee tutapokea.”
Ikumbukwe siku ya uzinduzi, Mwenyekiti wa Bodi, Kamishna Mkuu wa #TRA, Yusuph Juma Mwenda alisema Mfumo wa TANCIS umegharimu zaidi ya Tsh. Bilioni 100 katika ujenzi huku Mwenyekiti wa Bodi ya TRA, Mussa Abas Uledi akisema mfumo umeunganishwa na Mifumo 36 ya taasisi nyingine
Soma https://jamii.app/MajibuTRAFeb
#JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery #JFHuduma #JFMdau2025