KENYA: Kiongozi wa Chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema Kenya ina Rasilimali za kutosha, lakini Mifuko ya umma inakauka kutokana na Ubadhirifu wa Viongozi walafi, ambao wangedhibitiwa basi wasingehitaji misaada kama ya Shirika la Marekani la USAID
Februari 5, 2025, USAID ilitangaza kuwa Wafanyakazi wake wote watawekwa kwenye likizo ya Kiutawala Duniani kote, isipokuwa wale walioteuliwa kushughulikia majukumu muhimu ya Shirika hilo, Uongozi wa Msingi, na Miradi maalum
Kufuatia tangazo hilo, mamia ya Miradi ya USAID yenye thamani ya Mabilioni ya Dola katika utoaji wa misaada ya kuokoa Maisha Duniani imesimama ghafla, hivyo kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu Ajira na athari zake kwenye Sekta ya Afya
Soma https://jamii.app/USAIDKenya
#JamiiForums #TrumpExcutiveOrders #Accountability #ServiceDelivery #Governance

#MICHEZO: Dirisha dogo la Usajili wa Januari 2025 limefungwa siku chache zilizopita, Klabu za Premier League zimetumia takriban Pauni Bilioni 2 (Tsh. Trilioni 6.3) katika madisha mawili ya 2024-25 season
Brighton ambayo imekuwa na matokeo ya kuridhisha msimu huu ndio ambayo imetumia fedha nyingi kuliko timu nyingine zote, imetumia Pauni Milioni 231.4 (Tsh. Bilioni 732.5) kwa muda huo
Soma https://jamii.app/KlabuUsajiliMsimu
#JamiiForums #JFMichezo

❤1
Nchini Tanzania, Serikali kwa kushirikiana na Wadau ili kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake ikiwemo Ukeketaji imeanzisha Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto 18,618 kwenye Mikoa, Halmashauri, Kata hadi ngazi za Vijiji/Mtaa
Pia, zimeanzishwa Nyumba salama 9 (Safe homes) kwaajili ya kuwatunza wanaokimbia na Waathirika wa Ukeketaji kwenye Mikoa yenye kiwango cha juu cha Ukeketaji, Vituo vya mkono kwa mkono 32 (one stop centres) Tanzania Bara na Dawati la Jinsia na Watoto katika vituo 420 vya Jeshi la Polisi Nchini
Soma https://jamii.app/FGMDay2025
#JamiiForums #FGM #EndFGM #InternationalDayofZeroToleranceforFemaleGenitalMutilation #HerVoiceMatters

FARAGHA: Unapojisajli kwenye Mtandao wowote, huwa kuna Sera ya Faragha (Privacy Policy) pamoja na Vigezo na Masharti (Terms & Conditions) zinazoelezea taarifa zinazokusanywa kwenye programu au Mtandao huo na jinsi gani taarifa hizo zinatumika, ambapo kama hukubalini na vigezo hivyo upo huru kutojiunga nao
Ni muhimu kusoma vigezo hivyo ili ujue wanachukua Taarifa gani na jinsi gani zinavyotumika ili kulinda Taarifa zako zisije kutumiwa vibaya.
Mjadala zaidi https://jamii.app/SeraFaraghaTaarifaBinafsi
#JamiiForums #DataPrivacy #DataProtection #TaarifaZakoMaishaYako

Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, jiulize, je, unachagua viongozi kwa maono yao na uwezo wa kuleta maendeleo, au kwa sababu ya pesa wanazokupatia wakati wa kampeni?
Rushwa katika uchaguzi si tu inavuruga demokrasia, bali pia inaingiza kwenye mzunguko wa uongozi mbovu unaoweka maslahi binafsi mbele ya mahitaji ya Wananchi. Usiuze haki yako kwa 'noti' za kampeni
#ChaguaKiongoziSioPesa #KemeaRushwa25 #Accountability #Demokrasia #ServiceDelivery #Uwajibikaji

BUNGENI: Akijibu swali la Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole ambaye alitaka kufahamu kuhusu mipango ya Serikali kulingana na mabadiliko ya Sera za nje ya nchi ambazo zinatajwa kuathiri Sera za Elimu, Afya na Uchumi Nchini, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ni muhimu kwa Watanzania kushirikiana kutumia Rasilimali na Maliasili zilizopo ili kuimarisha uchumi wa ndani
Soma https://jamii.app/MajaliwaFeb6
#JamiiForums #Governance #Diplomacy #Accountability

Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko amependekeza Serikali ipange kiasi sahihi ambacho Mwanafunzi atatakiwa kukilipa kwaajili ya chakula kwa Mwezi
Anasema Vipato vya Wazazi/Walezi wengi havipo sawa hivyo utaratibu wa kumtaka Mtoto aende na hela kila Siku Shuleni unakuwa mgumu kwa baadhi ya Watu
Soma https://jamii.app/MdauChakulaShule
#JamiiForums #HakiZaKiraia #CivilRights #Accountability #Uwajibikaji #ElimuKwaUsawa

Haki ya Kupiga Kura kwa Uhuru ndiyo huamua Serikali, Sheria na Sera zinazoweza kuimarisha au kudhoofisha Haki za Watu
Huamua ni Sera gani zitatungwa kuhusu Uhuru wa kujieleza, Usawa mbele ya Sheria na Uhuru wa Vyombo vya Habari. Wananchi wakinyimwa Haki hii, wanapoteza sauti yao katika maamuzi muhimu ya Taifa.
Soma zaidi https://jamii.app/HakiKupigaKura
#HakiYaKupigaKura #Demokrasia #JamiiForums #HakiZaKiraia #CivilRights #HumanRights

👍1
Mdau wa JamiiForums.com amelalamikia kero ya Vifusi ambavyo anadai vilimwagwa katika Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuachwa bila kusambazwa tangu Mwaka 2024, hali inayowasababishia changamoto ya usafiri hasa kwa Magari
Ametoa wito kwa TARURA Mkoani Mbeya kushughulikia kero hiyo
Soma https://jamii.app/VifusiBarabaraMbeya
#JamiiForums #ServiceDelivery #HudumaZaKijamii #JFMdau2025 #Accountability #Uwajibikaji