MWANZA: Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia ukosefu wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi na kutoa wito kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kushughulikia kero hiyo, Mamlaka imeelezea kuhusu kero hiyo
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa MWAUWASA, Vivien Temu amesema maeneo ya Nyakagwe, Kigoto na Luchelele yana changamoto ya usambazaji, kwa kuwa miundombinu iliyopo kwasasa ni chakavu na haikidhi mahitaji ya watu
Ameongeza "Tayari kuna mradi ambao umeshapangwa kufanyika, Mkandarasi ameanza kazi ya kuchimba akianzia Luchelele, akitoka hapo ataelekea Kigoto kisha kumalizia Nyakagwe. Tumeshazungumza na Mkandarasi agawanye watu wake maeneo tofauti ili kazi iende kwa kasi"
Soma https://jamii.app/ChangamotoMajiNyegezi
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #ServiceDelivery

Mshiriki wa Shindano la Stories of Change 2023 alipendekeza mbinu za kutumia Maji ya Ardhini ili kuongeza upatikanaji wa Huduma ya Maji kwa Wananchi kwa kusema Serikali ipunguze au ifute gharama za kibali na ada za kila Mwaka kwa wenye Visima
Anasema Uwepo wa gharama hizo unavunja Moyo wenye lengo la kuchimba Visima ili kusaidiana na Serikali kufikia lengo la kuongeza upatikanaji wa Huduma ya Maji. Kwa kuwa tayari kuna Kodi ya umiliki wa Ardhi na Kodi ya Majengo, kumtoza Fedha Mwananchi anayechimba Kisima kwenye Ardhi yake sio sawa
Soma https://jamii.app/MajiArdhiniSOC23
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #SOC2023
#ServiceDelivery #HudumaZaKijamii

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KENYA: Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka Viongozi wa Afrika kuepuka utegemezi wa misaada ya kigeni kufuatia maamuzi ya Rais wa Marekani Donald Trump kusitisha misaada ya kifedha duniani kote
Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya Kanda ya Afrika Mashariki 2025 "East Africa Region Global Health Security Summit 2025" uliofanyika Januari 29, 2025 amesisitiza Mataifa ya Afrika kupaswa kushirikiana kutengeneza mifumo ya kujitegemea ili kupata fedha za kusaidia usimamizi wa majanga na kuwa utegemezi wa kupindukia mara nyingi huzuia maendeleo ya uchumi akitaja kuwa uamuzi wa Trump ni wito wa kuamsha Viongozi wa Afrika
Soma https://jamii.app/TrumpRemovesForeignAid
#JamiiForums #JFUwajibikaji #Governance

👍4
Tambua kinachokupa furaha badala ya kujaribu kuwafurahisha wengine kwa kuweka malengo ambayo jamii inatarajia uyafikie
Jiamini na chagua kuishi maisha unayoyataka
#JamiiForums #MorningQuote #AmkaNaJF #LifeLessons #LifeTips #Maisha

❤2👍1
Tunapoukaribia Uchaguzi Mkuu, ni muhimu kutathmini changamoto za chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kushirikiana katika kutafuta suluhisho
Jiunge nasi kwenye mjadala maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums tarehe 30 Januari 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku.
Shiriki kwa kusikiliza, kuuliza maswali na kutoa maoni kuhusu hatma ya demokrasia yetu
Kushiriki, bofya https://jamii.app/MjadalaUchaguziJAN30
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability

MOROGORO: Mdau wa JamiiForums.com amelalamikia kero ya ubovu wa Barabara ya Kisaki-Mikese, licha ya Viongozi wengi kuitumia kwenda Mvuha Wilayani na Bwawa la Nyerere
Anasema Mwaka 2024, Rais alikuwa na ziara Mkoa wa Morogoro na yalifanyika maboresho ya muda ambapo Mashine zilikwangua na mashimo kuzibwa lakini baada ya hapo hakuna linaloendelea, hali imerudi kama zamani
Anahoji, kama Barabara hiyo sio kipaumbele kwanini Wananchi wanatozwa ushuru huku hakuna Maendeleo?
Soma https://jamii.app/KeroKisakiMikese
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #HudumaZaKijamii #JFMdau2025

Mshiriki wa Shindano la Stories of Change 2023 alipendekeza katika Mfumo wa Utoaji Taarifa, ziongezwe jitihada katika uchakataji na utoaji wa haraka wa taarifa mbalimbali ili kupunguza sintofahamu kwa Wananchi na kuondoa taarifa za upotoshaji
Pia, kuimarisha Mifumo ya kusikiliza Umma kwa kuanzisha Mifumo madhubuti ya kusikiliza maoni na malalamiko ya Wananchi kuhusu masuala mbalimbali ili kuboresha #Uwajibikaji na kutatua changamoto za Kijamii
Aidha, Serikali inaweza kuweka viwango vya juu vya Uwazi katika Taasisi zake na kuhakikisha Taarifa zinazohusiana na Matumizi ya Rasilimali za Umma, Miradi ya Maendeleo, na Sera zinapatikana na kueleweka kwa urahisi Umma
Soma zaidi https://jamii.app/MfumoTaarifaSerikali
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #SOC2023
#AccessToInformation #HumanRights

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu jijini Dar es Salaam imegiza shauri la Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake
Dkt. Slaa na Mawakili wake walifungua shauri la mapitio la kesi yake katika Mahakama Kuu akipinga mwenendo wa Mahakama ya Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa dhamana yake kutokana na maombi ya kupinga dhamana yaliyotolewa na Jamhuri
Dkt. Slaa alikosa dhamana tangu alipofikishwa Mahakamani Januari 10, 2025 kusomewa shtaka linalomkabili la kusambaza taarifa za uongo kupitia Mtandao wa X.
Soma https://jamii.app/SlaaDhamanaMHKuu
#JamiiForums #HumanRights #Governance

👍1
Tunapokaribia Uchaguzi Mkuu wa 2025, ni muhimu kujadili masuala yaliyojitokeza katika chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kutafuta njia za kuboresha #Demokrasia yetu
Mjadala huu utatoa fursa ya kutathmini changamoto na kutengeneza mustakabali bora wa mfumo wa uchaguzi nchini
Tafadhali jiunge nasi kwenye mjadala huu maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums, Januari 30, 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku
Kushiriki, bofya: https://jamii.app/MjadalaUchaguziJAN30
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability
Mjadala huu utatoa fursa ya kutathmini changamoto na kutengeneza mustakabali bora wa mfumo wa uchaguzi nchini
Tafadhali jiunge nasi kwenye mjadala huu maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums, Januari 30, 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku
Kushiriki, bofya: https://jamii.app/MjadalaUchaguziJAN30
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability
👍1
KIGOMA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Uongozi wa Shule ya Sekondari Teule ya Ujiji ufanye maboresho ya Madarasa katika shule hiyo kwani ni kero na usumbufu kwa Wanafunzi mvua zinaponyesha na kufanya Walimu wasitishe mchakato wa masomo
Soma https://jamii.app/MadarasaKuvujaUjiji
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #JFUwajibikaji #ServiceDelivery