Vijana wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko kupitia Siasa, lakini changamoto ya ukosefu wa Rasilimali ikiwemo Fedha za Kampeni imekuwa kikwazo kikubwa
Jiunge nasi kwenye Mjadala wa "Uwepo wa Rushwa Katika Uchaguzi: Je, Vijana Wanapata Nafasi ya Kushiriki Kuleta Mabadiliko?" kupitia X Spaces ya JamiiForums, Januari 28, 2025 kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 2 Usiku
Tutajadili nguvu ya Majukwaa ya kidigitali kwa Vijana katika kuuza sera zao, kushawishi wapiga kura, na kujenga Mitandao ya ushawishi bila gharama kubwa
Kushiriki, bofya https://x.com/i/spaces/1gqGvNNlpeeGB
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability

RUKWA: Miili ya Watu nane imepatikana katika Ziwa Rukwa wakati wa zoezi la kuwaokoa Wavuvi waliokuwa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa kufuatia upepo mkali uliotokea Januari 23, 2025 Wilayani Sumbawanga
Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amesema Wavuvi 550 wakiwa katika shughuli zao waliathiriwa na upepo huo, ambapo 540 kati yao waliokolewa hadi kufikia jana Januari 24, 2025, ndipo leo imepatikana miili hiyo
Amesema “Idadi hiyo ni kutokana na takwimu tulizokuwa nazo, zoezi la ukoaji linaendelea likiongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF John Masunga ambaye anatumia helkopta kuwasiliana na Vikosi Maalum vya Uokoaji ambao wanashirikiana na Wananchi pamoja wakiwa na vyombo 19.”
Soma https://jamii.app/ZiwaRukwa
#JFMatukio #JamiiForums

👍1
Mdau anadai mfumo wa kuomba mkopo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) unasumbua kwa zaidi ya wiki, anatoa wito kwa Mamlaka zishughulikie mapema kwa kuwa anaamini Taasisi kubwa kama hiyo haitakiwi kukosa wataalam wa kurekebisha hali inayojitokeza sasa kwa haraka
Pia, anashauri muda wa maombi kwa watakaodahiliwa Machi (March Intake) uongezwe kwa madai zimebaki siku chache kabla ya dirisha la maombi ya mkopo kufungwa (Februari 15, 2025) ili kutoa fursa kwa waombaji wote kukamilisha maombi yao bila shinikizo la muda
Soma https://jamii.app/MkopoDiploma
#JamiiForums #Accountability #DigitalWorld #ServiceDelivery

Mafanikio halisi hayapimwi kwa kulinganisha mafanikio yako na ya wengine, bali kwa maendeleo unayofanya wewe mwenyewe.
Badala ya kushindana na wengine, angalia ulitoka wapi na unaelekea wapi.
Kujilinganisha na wengine wana nini au wamepiga hatua wapi ni kujiibia furaha yako
#JamiiForums #MorningQuote #AmkaNaJF #LifeLessons #LifeTips #Maisha

KAGERA: Baada ya Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mhitimu wa Igabiro Training Institute of Agriculture, kueleza kwa takribani Miaka 2 hawajapata vyeti licha ya kukamilisha taratibu zote, hatimaye vyeti vimetolewa
Akizungumza na JamiiForums, Mkuu wa Chuo, Sadoki Stephano “Wanafunzi wote waliohitimu hapa wa Mifugo waje wachukue vyeti vyao kwa awamu zote mbili ambao walikuwa hawajapata. Upande wa Kilimo wao hawana changamoto.”
Aidha, amesema Vyeti vimetolewa kwa wote waliokidhi vigezo, lakini vya wale ambao walikuwa hawajakamilisha Masomo bado
Soma https://jamii.app/ChuoVyetiMuleba
#JamiiForums #Elimu #ServiceDelivery #JFHuduma #Governance #Accountability

❤2
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka kufanya maboresho ya Barabara ya PPF KISEKE kwani imekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo na inaongeza gharama ya matengenezo ya Magari
Soma https://jamii.app/BarabaraMbovuPPF
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #ServiceDelivery #HudumaZaKijamii

❤1👍1
Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, ni muhimu kujadili ili kupata utatuzi wa changamoto zinazokumba uwazi katika mchakato wa uchaguzi, hivyo kuwakwamisha Wananchi kupata Viongozi wanaowataka
Ili kutoa maoni yako shiriki katika mjadala huu kupitia X Spaces ya JamiiForums tarehe 30 Januari 2025, kuanzia saa 12 jioni hadi 2 usiku
Kushiriki Bofya https://jamii.app/MjadalaUchaguziJAN30
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability
Ili kutoa maoni yako shiriki katika mjadala huu kupitia X Spaces ya JamiiForums tarehe 30 Januari 2025, kuanzia saa 12 jioni hadi 2 usiku
Kushiriki Bofya https://jamii.app/MjadalaUchaguziJAN30
#JamiiForums #UchaguziMkuu25 #MaoniYaDemokrasia #Demokrasia #Governance #Accountability
👍1
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai mfumo wa kuomba mkopo wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) unasumbua kwa zaidi ya wiki na kushauri muda wa maombi uongezwe ili kutoa fursa kwa waombaji wote kukamilisha maombi yao bila shinikizo la muda, Bodi hiyo imeelezea
JamiiForums imewasiliana na #HESLB ambayo kupitia taarifa yao imeeleza "Bodi imepokea changamoto wanayopata Wanafunzi wa Stashahada wakati wa uombaji mikopo hususan katika eneo la kuingiza taarifa za RITA."
HESLB imeongeza kuwa inaishughulikia hilo ili kila mwombaji mwenye sifa aweze kuwasilisha maombi yake kwa kuweka taarifa zake kwa usahihi
Soma https://jamii.app/TunashughulikiaMfumoMikopo
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji #ServiceDelivery