This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema akizungumza na Wanahabari kuhusu hoja mbalimbali zinazohusu Chama chake amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe naye alikimbia Nchi wakati wa Utawala wa Awamu iliyopita
Soma https://jamii.app/LemaPressJan17
#JamiiForums #JFMatukio #Siasa #Democracy

👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Godbless Lema, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) Kanda ya Kaskazini amesema Watu wanaoitwa waropokaji wanafanya kazi ya kuyapigia kelele makosa ambapo Rais akiyaona atayafanyia kazi kwa kuyarekebisha
Soma https://jamii.app/LemaPressJan17
#JamiiForums #JFMatukio #Siasa #Democracy
Soma https://jamii.app/LemaPressJan17
#JamiiForums #JFMatukio #Siasa #Democracy
👍2
KENYA: Serikali imeamuru Kampuni za Mitandao ya Kijamii nchini humo kuwa na Ofisi chini ya Mamlaka ya Wizara ya Mambo ili kuboresha uwajibikaji na kupambana na matumizi mabaya ya Majukwaa ya Kidijitali
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema kuwa kumekuwa na ongezeko la Visa vya unyanyasaji, uchochezi wa vitendo vya chuki na vurugu katika mitandao ya kijamii na hivyo inahitajika njia ya kudhibiti matukio hayo
Aidha, Wizara hiyo imetoa wito kwa Watoa Huduma za Mawasiliano (Telecommunications Providers) na Wamiliki wa Majukwaa ya Kidigitali kuchukua hatua kali dhidi ya shughuli za Uhalifu Mtandaoni
Soma https://jamii.app/KampuniDigitaliKuwaOfisi
#JamiiForums #Accountability #FreedomOfSpeech #CyberSecurity

UWAJIBIKAJI: Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa taarifa leo, Januari 17, 2025 kuwa inawatangazia wale wote ambao hawajajitokeza kuchukua Vitambulisho vyao na watakaopokea ujumbe (SMS) kufika Ofisi za NIDA za Wilaya walikosajili kuchukua Vitambulisho vyao kama watakavyoelezwa
Aidha, taarifa hiyo imeeleza kuwa atakayeshindwa kufanya hivyo matumizi ya Namba ya Utambulisho wake wa Taifa (NIN) yatasitishwa baada ya mwezi mmoja tangu kupokea ujumbe huo
Soma https://jamii.app/MatumiziNIDAKusitishwa
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji

DAR: Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake wanatarajiwa kuanza kutoa ushahidi Februari 6, 2025
Kesi hiyo imesikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Januari 16, 2025, ambapo Wakili wa Jamhuri, Harrison Lukosi ameiomba Mahakama kuridhia marekebisho katika Hati ya Mashtaka kuhusu tarehe ambazo mtuhumiwa anadaiwa kutenda tukio, Mahakama imeridhia na kuahirisha hadi Februari 6, 2025
Ikumbukwe mshtakiwa alipandishwa kizimbani siku moja baada ya Mdau wa Jamiiforum.com kuhoji kwa nini suala hilo halifikishwi Mahakamani licha ya mzazi wa Mwanafunzi kulifikisha Polisi
Soma https://jamii.app/KesiSalehAyoub
#JamiiForums #SocialJustice #CivilRights #Accountability

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa (76), amerejeshwa gerezani leo, Januari 17, 2025 baada ya Hakimu Beda Nyaki wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuahirisha shauri linalomkabili hadi Januari 23, 2025
Wakili wa Utetezi, Peter Madeleka amesema Dkt. Slaa anakabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia Mtandao wa X (Twitter), akidaiwa kutenda kosa hilo Januari 9, 2025, chini ya kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2025 ambapo alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Januari 10, 2025
Shauri hilo linatarajiwa kuendelea Januari 23, 2025, huku uamuzi wa pingamizi la utetezi ukisubiriwa kwa hamu na pande zote
Soma https://jamii.app/Jan17Slaa
#JFMatukio #JamiiForums #CivilRights

Huwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja. Tambua mambo yaliyo muhimu zaidi kwako na yape kipaumbele. Hapo ndipo utapata mwelekeo wa kweli maishani.
#AmkaNaJF #LifeLessons #JamiiForums #Maisha #Goodmorning #LifeTips #MorningQuote

Umepitia changamoto ya Mtoto wako kutopenda kula, ulitumia mbinu gani kufanya apende kula?
Mjadala https://jamii.app/MtotoHapendiKula
#JamiiForums #Maisha #JFStories #JFChitChats

👍3
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Halmashauri Kuu ya CCM imemteua Stephen Wasira kupigiwa kura ya kuchukua nafasi ya Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
Mchakato wa upigaji kura wa nafasi hiyo unaendelea muda kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete
Soma https://jamii.app/CCMJanuari18
#JFDemocracy #JamiiForums #Siasa

#PRESSFREEDOM: Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (CPJ) imetoa sensa yake ya kila Mwaka ya Waandishi wa Habari waliofungwaMwaka 2024, ikionesha China, Israeli, na Myanmar zinaongoza kwa kuwafunga waandishi wa habari Duniani
China na Myanmar zimekuwa zikitajwa mara kwa mara katika ripoti ya kila Mwaka ya CPJ kutokana na tawala zao kandamizi.
Upande wa Israeli katika kuwafunga Waandishi kunahusishwa na msako wake dhidi ya Vyombo vya Habari tangu kuanza kwa vita vya Gaza Mwaka 2023
Soma https://jamii.app/CPJReport2024
#JamiiForums #PressFreedom #Journalists #HimanRights #CPJReport