Vipi Mdau, ikitokea umezidishiwa Hela au Chenji huwa unafanyaje? Unarudisha au unaingia nayo Mitini?
Mjadala https://jamii.app/KuzidishiwaChenchi
#JamiiForums #Maisha #JFChitChats #JFStories

❤1
SIMIYU: Akizungumza na JamiiForums kuhusu changamoto Mgodi wa EMJ kutiririsha maji kwenye Mto Imalamate, Mkuu wa Wilaya ya Busega, Faiza Salim amesema "Mwaka 2024, sehemu ya kuhifadhia Maji ilipasuka, tukaita Watu wa NEMC ambapo taratibu zilifanyika, wahusika wa Mgodi wakapewa adhabu na Huduma zikasitishwa hadi walipotimiza maelekezo waliyopewa"
Ameongeza "Wahusika walikamilisha taratibu zote walizopewa na Watu wa Mazingira, wakapewa 'Certificate' wakaendelea na shughuli zao. Sijapokea changamoto mpya kuhusu suala hilo kama ipo"
Soma https://jamii.app/DCBusegaMajiDhahabu
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability

👍4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Askari wawili wa Usalama Barabarani wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kusambaa kwa video fupi Mtandaoni iliyodai walikuwa wakipokea Rushwa
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema watuhumiwa hao watachukuliwa hatua za Kijeshi kisha hatua nyingine za kinidhamu zitafuata
Soma https://jamii.app/AskariWakamatwa
#JamiiForums #Accountability #Governance

Usisubiri fursa zije kwako, zitengeneze mwenyewe. Kwa bidii, ubunifu na uthubutu, unaweza kufungua milango ambayo wengine hawajaiona
#MorningQuote #LifeTips #Goodmorning #Maisha #JamiiForums #LifeLessons #AmkaNaJF

SONGEA: Mdau wa JamiiForums.com ameeleza baadhi ya Wananchi waliamua kuhama mapema kwenye Bonde la Mto Ruhila badala ya kusubiri kuhamishwa ila wahusika walipofika ili kulipa fidia wakagoma wakidai hawawezi kuwalipa kwasababu wao hawalipi gofu bali Nyumba inayotumika
Wananchi hao walitakiwa kuhama ili kupisha sehemu hiyo ya Hifadhi.
Soma https://jamii.app/FidiaBondeRuhila
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance

KAGERA: Baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza mlipuko unaoshukiwa kuwa wa Virusi vya Ugonjwa wa #Marburg kuua Watu 8, Wizara ya Afya imesema imeshatuma Timu ya Wataalamu kwaajili ya kufanya uchunguzi wa suala hilo
Taarifa ya Wizara imesema mpaka tarehe 15 Januari 2025, majibu ya uchunguzi wa kimaabara kutoka kwa wahisiwa wote waliochukuliwa sampuli hizo hayajathibisha uwepo wa Virusi vya Marburg
Aidha, Wizara inawahakikishia Wananchi kuwa imeimarisha Mifumo ya ufuatiliaji wa Magonjwa na itaendelea kutoa taarifa zaidi.
Soma https://jamii.app/WizaraMarburgKagera
#JamiiForums #Afya #Governance #PublicHealth

👍3❤1
AFYA: Chama cha #ACTWazalendo kimeitaka Wizara ya Afya kueleza ukweli kuhusu mlipuko wa Ugonjwa wa #Marbug na itangaze hatua za tahadhari kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo Mkoani Kagera, baada ya Wizara hiyo kukanusha taarifa za uwepo wa ugonjwa huo nchini
Taarifa hiyo iliyotolewa na Waziri Kivuli wa Afya wa Chama hicho, Dkt. Elizabeth Benedict Sanga imesema Wizara ya Afya kukanusha uwepo wa Ugonjwa huu bila tahadhari, kunaiweka Tanzania mahali pabaya kimataifa na kunaishushia hadhi yake kubwa iliyojijengea hivi karibuni baada ya kushinda Kiti cha Ukurugenzi Mkuu wa WHO - Kanda ya Afrika, pia kunadhihirisha kuwa Wizara ya Afya haijali usalama wa Wananchi
Aidha, ACT Wazalendo imeitaka Wizara ya Afya itangaze haraka hatua za tahadhari kwa Umma juu ya namna ya kujikinga na kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo na kufanya uchunguzi zaidi kwa kila anayeingia na kutoka Mkoani Kagera
Soma https://jamii.app/ACTMarburgTamko

😁1
#Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano kwa lengo la kumaliza Miezi takriban 15 (tangu Oktoba 7, 2023) ya mzozo katika ukanda wa #Gaza
Makubaliano ya usitishaji mapigano ya kwanza yalifanyika Novemba 2023 na kudumu kwa takriban Wiki moja. Katika kipindi hicho, mateka 105 waliokuwa wakishikiliwa na #Hamas hasa Wanawake, Watoto, na Wazee waliachiliwa, huku Israeli ikiwaachia huru wafungwa takriban 240 wa Kipalestina
Aidha, Hamas na washirika wake wanashikilia Watu 94 (Hai na Wafu) waliotekwa kutoka Israeli ingawa idadi halisi inafikiriwa kuwa kubwa zaidi. Katika ya hao 84 ni raia wa Israeli, 8 ni raia wa Thailand, 1 kutoka Nepal na 1 kutoka Tanzania
Soma https://jamii.app/GazaCeasefireDeal
#JamiiForums #HumanRights

ARUSHA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mmalaka kushughulikia changamoto ya Daladala za Kilombero- Kiserian zinazokatisha ruti mida ya usiku na kusababisha kero ya usafiri kwa abiria
Soma https://jamii.app/DaladalaKuelekeaKiserianKero
#JamiiForums #Accountability #JFUwajibikaji