ENGLAND: 'Presha' inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa #ManchesterUnited, Erik ten Hag, inadaiwa baadhi ya wachezaji wake hawajafanya maamuzi ya kusaini mikataba mipya klabuni hapo kwa kuwa wanasubiri kujua mwelekeo wa ajira ya kocha huyo
Inadaiwa kuwa matokeo mabaya ya timu hiyo yanaweza kuwa kikwazo kwa Ten Hag kuendelea kubaki msimu ujao. Tetesi zilizopo ni kuwa kuna uwezekano akafukuzwa kazi mwishoni mwa msimu huu 2023/24
Soma https://jamii.app/TenHagUpdates
#JFSports #JamiiForums

👍3
Mastaa gani wa #BongoFlava unatamani kuwaona wakifanya 'collabo' pamoja lakini haitokei?
Wataje kwenye 'comment' hapo
Kushiriki mjadala bofya https://jamii.app/CollaboWasanii
#JamiiForums #JFEntertainment

PSG YAIVUNJAVUNJA BARCELONA, YAIPIGA MAGOLI 4-1
Kweli mchezo wa soka hautabiriki! Licha ya #FCBarcelona kupewa nafasi kubwa ya kushinda lakini imeambulia kipigo cha magoli 4-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa #PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza FC Barcelona ilishinda magoli 3-2
Robo Fainali nyingine, Borrusia Dortmund imefanya kile ambacho hakikutegemewa na wengi, imeshinda magoli 4-2 dhidi ya Atletico de Madrid, hivyo kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 5-4
Soma https://jamii.app/BarcaLose
#JFSports #JamiiForums #UEFAChampionsLeague

👍9
#RipotiYaCAG: Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi kwa mwaka wa fedha 2022/23 imebaini kutokuwepo kwa utambuzi wa watu wenye matatizo ya Afya ya Akili katika ngazi ya jamii badala yake utambuzi ulilenga watumiaji wa Dawa za Kulevya, Wazee, Walemavu, Watoto walio katika Mazingira Magumu, na waliopata Mimba za utotoni. Pia, hakukuwa na huduma za Kisaikolojia katika ngazi ya jamii
Hali hiyo ilichangiwa na ukosefu wa Fedha za kutosha kwa ajili ya huduma za Ustawi wa Jamii na kukosekana kwa Maafisa Ustawi katika ngazi za chini vikiwemo vijiji na mitaa. Pia, huduma za matunzo ya Kisaikolojia na usaidizi kutokuingizwa kikamilifu katika Mipango, Bajeti, Sera, Programu Afua, na Mikakati kwa ngazi zote za vituo vya Afya.
Zaidi Soma https://jamii.app/CAGUfanisi
#JamiiForums #RipotiYaCAG24 #Governance #MentalHealth #JFAfyaKili #CAGReport24 #RipotiUkaguziUfanisi

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KATAVI: Baadhi ya Wadau wa JamiiForums.com wameiomba Serikali kuboresha Daraja la Stalike lililopo Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda kwa kujenga Daraja kubwa wakidai lililopo sasa ni dogo na linajaa Maji wakati wa Mvua hivyo kuzuia Mawasiliano baina ya pande mbili
Wamedai Daraja hilo ambalo linatumiwa kwa ajili ya uelekeo wa Mkoani #Rukwa na #Mbeya kutoka #Katavi lipo chini na limejaa Maji kwa Siku kadhaa, wakidai hata wakati ambao hakuna Mvua bado ni changamoto kupita eneo hilo
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ameagiza Wananchi watumie Barabara ya Kibaoni - Stalike na kuitaka #TANROADS kuimarisha eneo hilo ili matumizi yaendelee
Soma https://jamii.app/DarajaStalike
#JFMatukio #JFHuduma #JamiiForums #JFUwajibikaji #Accountability #ServiceDelivery

Baadhi ya mijadala inayoendelea kwenye Jukwaa la Historia ndani ya JamiiForums.com
1. Unamjua Bibi Titi Mohamed? Fahamu historia ya aliyekuwa Mwanaharakati na kiongozi muhimu katika harakati za Uhuru wa Tanganyika.
Soma: https://jamii.app/BibiTitiHistoria
2. Je, uliwahi kujua kuwa ndege ya ATC ilitekwa ikiwa ni jaribio la kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere mwaka 1982?
Bofya https://jamii.app/JaribioTangayika kufahamu kuhusu tukio zima
3. Wadau mbalimbali wajadili mada Historia ya Mwanaharakati na Mwanasiasa Oscar Kambona
Kufikia mjadala huu bofya: https://jamii.app/UkweliOscarKambona

👍3❤1
Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali katika mifumo ya TEHAMA kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 inaeleza Mfumo wa Epicor katika Bohari ya Dawa (MSD) una upungufu katika kulinganisha kiasi cha andiko la manunuzi dhidi ya mahitaji halisi
Hali hiyo imesababisha kiasi cha Bidhaa 287 zilizoagizwa kuwa zaidi ya mahitaji halisi, na bidhaa 3,137 zilizoagizwa na kufadhiliwa na MSD kutokuwa na mahitaji linganifu
CAG ameeleza upungufu huo unaweza kusababisha Ubadhirifu, kama vile kuunda Mikataba ya manunuzi ambayo haikuidhinishwa au kupandisha gharama na hivyo kusababisha hasara za kifedha.
Soma zaidi https://jamii.app/CAGTEHAMA24
#JamiiForums #RipotiYaCAG24 #Governance #CAGReport24 #RipotiUkaguziTEHAMA

👍3❤2
Wadau kutoka JamiiForums.Com wamelalamikia michezo ya kubambikizwa Bili za Maji huku wakieleza kuwa pamoja na maji kukatika mara kwa mara lakini bili zinakuja kubwa tofauti na uhalisia wa matumizi yao
Baadhi ya Wadau wamehoji ikiwa 'unit' 1 ni takriban lita 1000 ambazo bei yake haizidi Tsh. 2000 lakini wanapewa bili inayoonesha wametumia units nyingi ikiwa na deni kubwa, hali inayotia mashaka kama Wasoma Mita wanatumia uhalisia au makadirio tu
Je, umewahi kukutana na hali hii?
Kushiriki mjadala soma https://jamii.app/UhalisiaBili
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance #JFHuduma #Accountability #UtawalaBora #JFToons

👍5
Katika usimamizi wa Matumizi kwa Mwaka wa fedha 2022/23, Ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ulibaini #TANROADS, #MOEST na TASAF hazikutoza kodi ya zuio yenye thamani ya Tsh. 1,118,230,367
Wakati huohuo #TASAF na TANROADS zilitoza kodi ya zuio lakini hazikuwasilishwa Mamlaka ya Mapato (TRA) kiasi cha Tsh. 5,216,572,492
Jumla ya kodi za zuio ambazo hazijatozwa na hazijawasilishwa TRA ni Tsh. 6,334,802,859.
Soma https://jamii.app/CAGMiradi24
#JamiiForums #RipotiYaCAG24 #Governance #RipotiUkaguziMiradi

#BUNGENI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amesema ujenzi wa Mradi wa Soko jipya la Kariakoo umefikia 93% ambapo kufikia Machi 2024 Mkandarasi alikuwa amelipwa Tsh. Bilioni 17.24. Aidha, ufunguzi unatarajiwa kufanyika ndani ya Mwaka 2024/25
Mchengerwa amesema Shirika la Masoko ya Kariakoo kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanatekeleza Mradi huo wa Soko jipya lenye Ghorofa Sita za Juu na Ghorofa Mbili za chini pamoja na ukarabati wa Jengo Kuu la Soko la Kariakoo
Mradi huo ulianza kutekelezwa Januari 2022 kwa gharama ya Tsh. Bilioni 28.03
Soma https://jamii.app/BungeniAprili16
#Governance #JFHuduma #JamiiForums

👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#BUNGENI: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo
Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwan Kikwete, kuhusu uendeshaji wa TASAF, Zungu amesema "Kuna Watu bado wanaingizwa kwa Upendeleo. Kuna Mama wa Miaka 70 kwenye Kata yangu Ilala wamekata Rufaa wamekataliwa, na hii inaelekea ni Nchi nzima"
Aidha, Naibu Spika ameitaka Serikali kuhakikisha wanaoingizwa katika mpango huo ni wenye sifa na sio watumishi wa TASAF kuwaingiza ndugu zao ili wanufaike na Fedha za Wazee
Soma https://jamii.app/ZunguTASAF
#JamiiForums #Governance #Accountability

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, amesema Serikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa Mafao yao yote
Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi Wananchi, yaani natakiwa nistaafu nikajitegemee sina nyumba halafu naenda kupata 30% lazima niondoke na mzigo liwalo na liwe. Watumishi wanalia na kikokotoo Serikali iwasikilize"
Soma https://jamii.app/MusukumaKikokotoo
#JamiiForums #Governance #SocialJustice #Accountability

👍2
#DUBAI: Safari za Ndege zimeahirishwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya Uwanja huo kujaa Maji kutokana na Mvua zilizonyesha Aprili 16, 2024 ikielezwa haijawahi kunyesha Mvua ya hivyo kwa Miaka 75
Mafuriko yameathiri Barabara nyingi Nchini humo na kupelekea Watu kuacha Magari Barabarani huku wengine wakilazimika kuondoka katika Nyumba zao na Shule kufungwa. Mamlaka zinashughulikia tatizo hili kwa kutumia Malori na Matanki kutoa Maji Barabarani.
Soma https://jamii.app/MvuaDubai
#JamiiForums #DubaiFloods #ClimateChange

👍4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KAGERA: Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa #Kagera, Faris Buruhan akizungumzia kuhusu matumizi ya Mitandao akiwa katika ziara katika Mji mdogo wa Rulenge Wilayani #Ngara, Aprili 16, 2024
Soma https://jamii.app/MtandaoKagera
#DigitalRights #DigitalWorld #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #ServiceDelivery #JFHuduma

👍1🤔1
#KENYA: Waziri wa Michezo, Ababu Namwamba, ameshutumiwa kwa kuweka Picha Yake mara kwa mara kwenye Vipeperushi rasmi ambavyo sio Mhusika Mkuu, Mfano: Vinavyowapongeza Wanamichezo au kuhusu Wizara yake
Katika tukio la hivi karibuni, Wakenya hawakupendezwa na Waziri huyo kuweka kipeperushi chenye picha yake kilichoambatana na Ujumbe wa kumpongeza Mwanariadha wa mbio za kati wa #Kenya, #HellenObiri, baada ya kufanikiwa kutetea taji lake la #BostonMarathon
Tabia hiyo imetajwa kama kutaka kuwapora 'Spot Light' wahusika.
Soma https://jamii.app/WMichezoKE
#JamiiForums #Governance

👍2👎1😁1