PREMIER LEAGUE: Mbio za ubingwa katika Ligi Kuu ya England zinazidi kushika kasi, hiyo ni baada ya #Arsenal ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Emirates, kukubali kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa #AstonVilla
Matokeo hayo yamepatikana muda mfupi baada ya Liverpool ikiwa Uwanja wa Anfield kufungwa goli 1-0 kutoka kwa Crystal Palace
Hivyo, #ManchesterCity inaongoza Ligi ikiwa na pointi 73 ikifuatiwa na Arsenal na Liverpool zenye pointi 71, timu zote zikisaliwa na michezo Sita kila upande
#JFSports #JamiiForums

👍10😁3❤2🔥1
Mdau wa JamiiForums.com kutoka Mwanagati, Ukonga amelalamikia hali mbaya ya Barabara hasa kipindi hiki cha Mvua na kueleza kuwa ni muda mrefu kero hiyo imekosa ufumbuzi
Soma https://jamii.app/KeroMwanagati
#JamiiForums #JFHuduma #SocialJustice #ServiceDelivery
Soma https://jamii.app/KeroMwanagati
#JamiiForums #JFHuduma #SocialJustice #ServiceDelivery
👍6❤1
#DIPLOMASIA: Rais #JoeBiden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, #BenjaminNetanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024
Tishio la vita ya wazi kati ya #Iran na Israel ambaye ni mshirika mkubwa Marekani, linaliweka eneo la Mashariki ya Kati katika hali ya wasiwasi, hali inayosababisha Mataifa ya Kiarabu na Mamlaka za Kimataifa kama #UN kuingilia kati
Iran imeripotiwa kuingia katika Mgogoro na #Israel ikiituhumu kushambulia Ubalozi wake huko #Damascus na kuua Watu 7 akiwemo Jenerali wa Jeshi la Iran
Soma https://jamii.app/IsraelVsIran2024
#JamiiForums #IranVsIsrael #MiddleEastWar #Diplomacy

😱3👍2👎1😁1
#KATAVI: Mdau anadai baadhi ya Wananchi wa #Mpanda wamejeruhiwa kwa kuchapwa na Askari kisha wakalazimika kwenda kujiuguza nyumbani kwa kuwa walipoomba Fomu ya PF3 ili wakatibiwe Hospitali hawakupewa
Anadai walipofikisha malalamiko yao Kituo cha Polisi Kati Mpanda na hata kuwaripoti baadhi ya Askari waliohusika katika kufanya unyanyasaji huo hakuna hatua zilizochukuliwa, hivyo anaomba Mamlaka za juu kuchukua hatua ili suala kama hilo lisijirudie
Soma https://jamii.app/AskariMpanda
#JFMatukio #CivilRights #JFUwajibikaji #Governance #JamiiForums

👍1💔1
Mdau wa JamiiForums.com kutoka Mkoani Morogoro ametoa wito kwa Mamlaka kuweka Alama za kupunguza Mwendo katika Barabara ya Ifakara - Kidatu (Kilombero) ili kudhibiti Ajali zitokanazo na Mwendokasi wa Vyombo vya Moto
Soma https://jamii.app/BarabaraIfakara
#JamiiForums #ServiceDelivery #JFHuduma #Accountability #Uwajibikaji
Soma https://jamii.app/BarabaraIfakara
#JamiiForums #ServiceDelivery #JFHuduma #Accountability #Uwajibikaji
👍7
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#BUNGENI: Ripoti 21 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) zinazohusu Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2022/2023 zimewasilishwa Bungeni leo baada ya tukio la kukabidhiwa kwa Rais, Machi 28, 2024
Miongoni mwa Ripoti hizo ni pamoja na Ukaguzi wa Taarifa za Fedha za Serikali Kuu, Taarifa za Fedha za Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taarifa za Fedha za Miradi ya Maendeleo
Awali akiwasilisha Ripoti hizo kwa Rais Samia, CAG Kichere alisema Ukaguzi umebaini baadhi ya Mashirika ya Umma yakiwemo Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya Uwekezaji (TANOIL) na Shirika la Posta Tanzania yamepata hasara.
Soma https://jamii.app/CAGReports24
#JamiiForums #Governance #RipotiYaCAG24 #Accountability #JFSC

❤1👍1
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa uongozi unaomiliki na kusimamia Uwanja wa CCM Kirumba kuzingatia #Afya za Watumiaji kwa kuwa wapo hatarini kupata magonjwa kutokana na uchafu uliokithiri kwenye vyoo
Soma https://jamii.app/UwanjaWaKirumba
#CivilRights #PublicHealth #JFUwajibikaji #JamiiForums
Soma https://jamii.app/UwanjaWaKirumba
#CivilRights #PublicHealth #JFUwajibikaji #JamiiForums
👍3❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
#BUNGENI: Mbunge wa Viti Maalum, Neema Gerald Mwandabila amesema suala la Kikokotoo limekuwa na kelele nyingi kiasi cha Wananchi wengi kuhisi Serikali inawadhulumu jambo ambalo anaamini si kweli na kuwa kinachokosekana ni elimu juu ya kikokotoo hicho cha kustaafu
Soma https://jamii.app/MradiWaSGR
#JamiiForums #JFUwajibikaji #Governance #Accountability #CivilRights
Soma https://jamii.app/MradiWaSGR
#JamiiForums #JFUwajibikaji #Governance #Accountability #CivilRights
❤1🥰1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
#BUNGENI: Mbunge wa Manyoni Magharibi, Yahaya Omary Massare akichangia Hotuba ya Waziri Mkuu ametoa mapendekezo kuwa Wananchi walioathiriwa kwa maeneo yao kuchukuliwa ili kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa (#SGR) Wilayani Itigi, Mkoani Singida walipwe kwa haki na katika kiwango kinachoendana na thamani ya ardhi iliyochukuliwa
Amesema hayo leo Aprili 15, 2024 Bungeni, Dodoma

👍5❤1