Baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo dhidi ya Al Ahly (Ligi ya Mabingwa Afrika) na Mashujaa FC (Kombe la FA), #Simba imepata sare ya goli 1-1 dhidi ya #IhefuFC katika Mchezo wa Ligi Kuu Bara
Simba ambayo haijapata ushindi katika mechi nne mfululizo za michuano yote imefikisha pointi 46 katika michezo 20, ikiwa nafasi ya tatu, inatarajiwa kucheza dhidi ya Yanga katika mchezo ujao
#Yanga ndiyo inaongoza Ligi ikiwa na pointi 52 katika michezo 20 ikifuatiwa na #AzamFC yenye pointi 47 katika michezo 21
Soma https://jamii.app/IhefuSimbaSingida
#JFSports #JamiiForums

π10π4
KATAVI: Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema βAsije Mwanasiasa akakudanganya kuwa anao uwezo wa kubadili maamuzi ya Mahakama, tunaamini chombo cha kutoa haki kikatiba ni Mahakama. Tupo tayari kusikiliza kero zozote ambazo hazijaingia kwenye Mhimili wa Mahakama ili kupata haki"
Ameongeza βLazima Watu wetu wajue mambo yaliyo Mahakamani yanamalizwa Mahakamani, tutakachokupa ushauri ni kukata rufaa. Ukweli lazima usemwe itakuwa tunawadanganya tu Watu kwamba hili unajua lipo Mahakamani tutakusaidia, sio kweli.β
Naye, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema βHatutagusa masuala ambayo yapo Mahakamani, ndio utaratibu wa Utawala Bora, moja ya Sera muhimu ya #CCM ni kusimamia Utawala wa Sheria. Wakati wote tutakuwa tunahamasisha na kuziwezesha Mahakama kutenda haki bila kuingiliwa katika maamuzi yake.β
Soma https://jamii.app/MakallaNchimbi
#Siasa #Governance #Democracy #JamiiForums

π11β€2π1
Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliandika kauli hiyo kupitia Kitabu chake cha 'Tujisahihishe' kilichotoka Mei mwaka 1962, kauli ililenga kuonesha tofauti ya kuwa na Elimu na Kuelimika
JamiiForums inakutakia Jumapili yenye Baraka na Mafanikio katika Mipango yako
#JamiiForums #GoodMorning #AmkaNaJF #JFQuotes #Elimu

π10β€3π1
ISRAEL: Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi, Daniel Hagari amesema Jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuzuia 99% makombora zaidi ya 300 yaliyotumwa kutoka #Iran na wako tayari kwa lolote litakalojitokeza
Ameeleza kuwa baadhi ya Makombora yamefanikiwa kutua katika ardhi ya #Israel hasa katika eneo la Ngome ya Jeshi la Anga ya Nevatim na kusababisha madhara kiasi kwenye Miundombinu yake
Ikumbukwe, Iran imeripotiwa kuingia katika Mgogoro na Israel ikiituhumu kushambulia Ubalozi wake huko #Damascus na kuua Watu 7 akiwemo Jenerali wa Jeshi la Iran
Soma https://jamii.app/IranVIsrael
#JamiiForums #Governance #Diplomacy #HumanRights #IsraelVsIranWar

π14β€2π₯1
Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mtumishi wa Mkataba kutoka Hospitali ya Rufaa ya #KCMC amedai wamekuwa wakikatwa Fedha za kuchangia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (#NHIF) lakini hawanufaiki na huduma
Ametoa wito kwa Mamlaka husika kushughulikia haraka kero hiyo kwakuwa inawapa usumbufu wao na wategemezi wao hasa wasio na kipato cha kugharamia Matibabu
Kwa mjadala zaidi https://jamii.app/DokezoKCMC
#JamiiForums #SocialJustice #Governance #JFAfya #Accountability

π5β€1
Mdau wa JamiiForums.com kutoka #Nyamwage, #Rufiji Mkoani #Pwani ameshauri Shirika la Umeme Tanzania (#TANESCO) kufika eneo hilo na kurekebisha tatizo la Umeme kukatika mara kwa mara
Anasema kero hiyo inawapa usumbufu na inaweza kuwaharibia Vifaa vyao
Soma https://jamii.app/UmemeRufiji
#JamiiForums #JFHuduma #Governance #SocialJustice #ServiceDelivery

π2β€1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kuna mdau wa Soka ameuliza kwa utani "Je, kuna Klabu yoyote ya Tanzania inahitaji Mchezaji anayefunga Magoli kwa haraka kama huyu hasa kwa timu za Ligi Kuu?"
Kwa mijadala ya Utani zaidi tembelea Jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes ndani ya JamiiForums.com
Soma https://jamii.app/JFChitJokes
#JamiiForums #JFChitChats #UtaniWaJadi #JFJokes #JFSports

π1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MBEYA: Sehemu ya Mlima #Kawetere imeripotiwa kumeguka na kuporomoka ambapo udongo na tope lake limesamba na kuharibu takriban Nyumba 17 na sehemu ya Shule
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa #Mbeya, Abdi Isango amesema "Ni kweli sehemu ya mlima imeporomoka, Nyumba zimebomoka kabisa hazionekani, ni kama vile hakukuwa na nyumba, tope limesambaa hakuna kipande cha Bati au ubao."
Hata hivyo Kamanda Isango amesema kuwa hakuna madhara kwa binadamu isipokuwa wenyeji wanasema kuna Ngβombe Wanne wamesombwa. Chanzo kimeelezwa kuwa ni mvua kubwa zinazoendelea kunyesha
Soma https://jamii.app/KawetereFloods
#JamiiForums #JFMatukio #ClimateChange #ElNino

π4π2π’1
LIGI KUU BARA: Ikicheza mchezo wake wa 21, Yanga imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza
Magoli yamefungwa na Joseph Guede mawili na Stephene Aziz Ki, hivyo #Yanga imefikisha pointi 55, ikiongoza kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya #AzamFC inayofuatia ikiwa na pointi 47 kisha #Simba (Watani wao wa Jadi) alama 46
Ushindi huo unaiweka Yanga katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa #LigiKuuBara, mchezo ujao ikitarajiwa kukipiga dhidi ya Simba
Soma https://jamii.app/SingidaYangaMza

β€8π2π1
Mdau wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi, Urafiki ndani ya JamiiForums.com anaomba ushauri kutokana na kunyimwa Tendo la Ndoa na Mkewe
Tunamshauri nini mdau huyu?
Soma zaidi https://jamii.app/Kunyimana
#JamiiForums #Maisha #JFStories #Mapenzi

π4